Nuel27
JF-Expert Member
- Jul 3, 2026
- 475
- 959
Singida mkuuNahitaji alizeti gunia za kutosha mkoa gani naweza kupata kwa bei nzuri.
Singida mkuuNahitaji alizeti gunia za kutosha mkoa gani naweza kupata kwa bei nzuri.
Mbowe alikuwa kipenzi cha at least 90% or so ya watanzania/ wanachadema. Again Lisu was one of my favorite politician. Kama unakumbuka, concern yangu ilikuwa approach yake katika kutafuta uenyekiti. Sikutaka uchaguzi uache mpasuko. Short of that sikuwa na tatizo na Mbowe wala Lisu! Nilisali sana chadema kupata smooth transition of power/ leadership in Chadema. Wote ni viongozi wazuri ingawa hawakosi mapungufu!Mkuu mbona wewe ulimuamini na kumpambania sana kamanda Mbowe lakini hujapoteza credibility yako?
Sidhani kama ni sahihi kutumia single factor au kigezo kimoja kutoa credibility .
Siyo miaka mi5 tena mpaka 2031? Kama anaenda kulalia Shuka safi Tegeta A basi safi.Kwenye alizeti wamepata mtu aisee! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni
Britanicca
yale yale ya L na R. "Kukarishwa" ndio nini ?Kwenye alizeti wamepata mtu aisee! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni
Britanicca
Zetu Dua kwa alizeti... Ila kwenye vituo vya mwendokasi naona Kuna askari kibao wa kogofyaKwenye alizeti wamepata mtu aisee! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni
Britanicca
Bei gani kwa gunia boss.Singida mkuu
Unataka kusema nini?yale yale ya L na R. "Kukarishwa" ndio nini ?
Lissu hatoboi, lazima achukue mvua kati ya 2-5. Atakwepa kunyongwa lakini kifungo kipoKwenye alizeti wamepata mtu aisee! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni
Britanicca
Duh...!, Mkuu Burita, britanicca , naona umejipakulia minyama, unakwenda kulamba points tatu za mezani!,Kwenye alizeti wamepata mtu aisee! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni
Britanicca
Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha kati ya roho mbaya na uchawi.Lissu hatoboi, lazima achukue mvua kati ya 2-5. Atakwepa kunyongwa lakini kifungo kipo
So be it ohhh creatorKwenye alizeti wamepata mtu aisee! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni
Britanicca
Jikoni🍽Duh...!, Mkuu Burita, britanicca , naona umejipakulia minyama, unakwenda kulamba points tatu za mezani!,
P
Burita ni mtu wa jikoni, anajipakulia tuu minyama ya motomoto kutupa tuanze kujitafunia hata kabla ya sherehe kuanza!.Jikoni🍽
Naam na wewe sio mpishi kwani mkuu? Maana naona unakubaliana na mpishi mkuu kuwa mambo ni 100%Burita ni mtu wa jikoni, anajipakulia tuu minyama ya motomoto kutupa tuanze kujitafunia hata kabla ya sherehe kuanza!.
P
Kwenye alizeti wamepata mtu aisee! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni
Britanicca
Ni dhaifu sana ILA majaji wachache tu ndio wamegomea 'impunities' za mfumo dhaifu wa mhimili.Ni Uimara wa mifumo yetu ya kimahakama.