Karafuu imekalishwa na alizeti 2026

Karafuu imekalishwa na alizeti 2026

Utimilifu wa unabii!
Tanganyika ilipata Uhuru Ili iwe huru!
Tanganyika ikasomesha watu wake ili wawe wazalendo kwa Taifa lao.
Tanganyika is coming back just like!
Alizeti anatakiwa awe makini sana akiwa nje ya lupango kule lupango alilindwa na wenye moyo safi!huku nje Kuna mchanyato ,na hii ni hatari sana kwake
 
Kwamba atashinda kesi ndio take home message ya thread yako. Ikitokea kinyume unapoteza credibility uliyoijenga ujue! Nitatunza uzi huu.
Mkuu mbona wewe ulimuamini na kumpambania sana kamanda Mbowe lakini hujapoteza credibility yako?

Sidhani kama ni sahihi kutumia single factor au kigezo kimoja kutoa credibility .
 
Back
Top Bottom