Karafuu imekalishwa na alizeti 2026

Karafuu imekalishwa na alizeti 2026

ALizeti ilikua itoe maua siku ambayo KITAMBI alichomoa betri MJENGONI... mfumo ulimaind sana.

Ninachojua Alizeti ilikua na sharti moja tu MVUA INYESHE na ielezwe wazi kwamba mvua hiyo ni FIDIA yasijemkuta kama ya MCHAGA MZEEE.

Kimsingi mnamsema MCHAGA KIJANA ila ALIZETI INACHANUA KWA SABABU MVUA YA MAANA IMENYESHA.
 
Muda wote na nyakati zote nilikuwa nawaambia hapa....Samia hana mapana ya kumfunga wala kumnyonga TL.... Angepata shida ambayo familia yake ingesaga meno!. Baada ya trh 6... Naangusha mbuzi zangu wawili swafiii na kreti zangu kama 6!!. 😜😜.maniner ...afu MSAKO TUNAUHAMISHIA KWA LEMA. huyu mchaga msenge lazima ateme bungo...
 
ALizeti ilikua itoe maua siku ambayo KITAMBI alichomoa betri MJENGONI... mfumo ulimaind sana.

Ninachojua Alizeti ilikua na sharti moja tu MVUA INYESHE na ielezwe wazi kwamba mvua hiyo ni FIDIA yasijemkuta kama ya MCHAGA MZEEE.

Kimsingi mnamsema MCHAGA KIJANA ila ALIZETI INACHANUA KWA SABABU MVUA YA MAANA IMENYESHA.
Code ngumu kama maisha ya bodaboda.
 
Nahisi kitu Kama hicho na watamshtaki upyaa kwa kumhusisha na mauaji ya Mo29
Kwenye hukumu hakuna mambo kama hayo. Mambo hayo hufanyika kesi inapofutwa kwenye hatua za awali. Halafu Lissu anahusikaje na mauaji ya October 29? Kauli yake ilitakiwa ichochee vurugu tangu ilipotajwa sio baada ya miezi mitano. Yani mnataka Lissu ashtakiwe lakini IGP aliyekuwa nje aachwe.
 
Nahisi kitu Kama hicho na watamshtaki upyaa kwa kumhusisha na mauaji ya Mo29
Kwenye hukumu hakuna mambo kama hayo. Mambo hayo hufanyika kesi inapofutwa kwenye hatua za awali. Halafu Lissu anahusikaje na mauaji ya October 29? Kauli yake ilitakiwa itoe mazara tangu ilipotajwa sio
 
Back
Top Bottom