Uwezekano upo.Hivi hakuna uwezekano wa alizeti kufungua kesi ya kupotezewa muda na kudai fidia?
Uwezekano upo.Hivi hakuna uwezekano wa alizeti kufungua kesi ya kupotezewa muda na kudai fidia?
Leo hujaweka code Mkuu, ipo open sana hiiKwenye alizeti wamepata mtu aisee! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni
Britanicca
Mungu upande wake ni WA haki, haki ilipo yupoMungu ni mwema uwe upande unaoonewa
Hata wewe hukuwa na haja ya kuandika "siku nyingine wasilipeleke Nairobi..." Ulionyesha kiwango cha chuki kilichopitiliza dhidi ya Lissu.Kwa mfano, hapakuwa na haja ya Lisu kusema tunakwenda kufanya Uasi. Neno uasi lina ukakasi, kama mtu anakutafuta atajiegemeza hapo akutese as it has happened! That was my point!
No, mimi sio mpishi, ila ni mlaji tuu ambaye niko karibu na wapishi, siku wakinipakulia minyama mingi, na mimi naigawa kwa wengine, hivyo wasiojua kunidhania na mimi ni wa jikoni.Naam na wewe sio mpishi kwani mkuu? Maana naona unakubaliana na mpishi mkuu kuwa mambo ni 100%
Kwa ile ya Uchocheaji iliyopo makabati ya Kisytu!Ataachiwa ila atakamatwa tena.
Hongera ,so tarehe 6 ni siku ya uhuru mpya?No, mimi sio mpishi, ila ni mlaji tuu ambaye niko karibu na wapishi, siku wakinipakulia minyama mingi, na mimi naigawa kwa wengine, hivyo wasiojua kunidhania na mimi ni wa jikoni.
P
Mkuu bado unafikiria nadharia ya smooth transition? Huwezi kusema unamkubali Lissu halafu una hofu ya kutumia maneno magumu kama Uasi? Hakuna mabadiliko bila ukakasi na kusuguana.Mbowe alikuwa kipenzi cha at least 90% or so ya watanzania/ wanachadema. Again Lisu was one of my favorite politician. Kama unakumbuka, concern yangu ilikuwa approach yake katika kutafuta uenyekiti. Sikutaka uchaguzi uache mpasuko. Short of that sikuwa na tatizo na Mbowe wala Lisu! Nilisali sana chadema kupata smooth transition of power/ leadership in Chadema. Wote ni viongozi wazuri ingawa hawakosi mapungufu!
Kwa mfano, hapakuwa na haja ya Lisu kusema tunakwenda kufanya Uasi. Neno uasi lina ukakasi, kama mtu anakutafuta atajiegemeza hapo akutese as it has happened! That was my point!
Mbowe alikuwa kipenzi cha at least 90% or so ya watanzania/ wanachadema. Again Lisu was one of my favorite politician. Kama unakumbuka, concern yangu ilikuwa approach yake katika kutafuta uenyekiti. Sikutaka uchaguzi uache mpasuko. Short of that sikuwa na tatizo na Mbowe wala Lisu! Nilisali sana chadema kupata smooth transition of power/ leadership in Chadema. Wote ni viongozi wazuri ingawa hawakosi mapungufu!
Kwa mfano, hapakuwa na haja ya Lisu kusema tunakwenda kufanya Uasi. Neno uasi lina ukakasi, kama mtu anakutafuta atajiegemeza hapo akutese as it has happened! That was my point!
Akamatwe kwa kosa gani tena? Kwa uhaini wa kutunga huohuo?Ataachiwa ila atakamatwa tena.
Watatunga sio shida wanazo nyingiKwa kesi gani?
alizeti ni singida na karafuu ni zanziba, ndio wanakotoka wenyeviti wawili wa vyama vya siasa vinavyoshindana kisawasawa kwa kila mbinu, hatari na salamaLeo hujaweka code Mkuu, ipo open sana hii
Kwamba atashinda kesi ndio take home message ya thread yako. Ikitokea kinyume unapoteza credibility uliyoijenga ujue! Nitatunza uzi huu.