mwana

Mwana Kupona binti Msham (born on Pate Island, died c. 1865) was a Swahili poet of the 19th century, author of a poem called Utendi wa Mwana Kupona ("The Book of Mwana Kupona"), which is one of the most well-known works of early Swahili literature.
Relatively little is known about her life. Her grandson Muhammed bin Abdalla reported in the 1930s that Mwana Kupona was born on Pate Island, and that she was the last wife of sheikh Bwana Mataka, ruler of Siu (or Siyu), with whom she had two children. Mataka died in 1856; two years later, Mwana Kupona wrote her famous poem, dedicated to her 14-year-old daughter Mwana Heshima. Mwana Kupona died around 1865 of uterine hemorrhaging.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Ibrahim ambokile wa EFM, ni mshabiki au mwana habari wa michezo mwenye mapenzi ya dhati na Yanga?

    Kuna huyu jamaa alikua pale abood fm na ss yuko EFM redio, jamaa akiwa ktk kipindi Chake anaikebehi sana simba na kusema kila kitu ni kibaya, kwani changamoto yake ni nini uyu mchambuzi?
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwana JF nini maana ya financial freedom? Ni vitu gani vitakubana usiifikie na vitu gani vitafanya uifikie?

    Eyce Marcostilone life255 Hata uende wapi, ufanye nini na uamue uishi vp ujue kuwa pesa na urahisi wa maisha ndio inabaki kuwa motisha ya confidence, afya chanya ya akili na amani moyoni. Na ili ufike hali hii inabidi utoe kafara ya mambo lukuki maishani mwako especially tabia ulizoea hadi...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Joseph Mwasote: Kutekwa, kuteswa na kumpoteza mwana katika uchaguzi wa 2025

    Kwa takriban miaka 20, Joseph Mwasote amekuwa sehemu ya safari ya kisiasa ya CHADEMA, akipanda kutoka uongozi wa Kata ya Tunduma hadi kuwa mwenyekiti wa Mkoa wa Mbeya na baadaye kugombea ubunge wa Mbeya Vijijini mwaka 2020. Lakini uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kwa maelezo yake, uligeuza maisha...
  4. 4

    JamiiForums Tanzania Mwachieni mwana wa Mungu, Lissu, viginevyo mtakufa midomo wazi - asema Bwana

    Habari wana wa Mungu jf popote mlipo, amani Bwana ikawe juu yenu. Mungu akanionesha yeyote aliye nyuma kuhujumu mwana wa Mungu Lissu sio muda atakufa mdomo wazi. Mwachieni mapema sana, viginevyo mtakufa vibaya sana. Asema Bwana na imekua Niwatakie majukumu mema na zingatia hili. Thanks
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Leo ndio leo! Je, Tundu Lissu ana kesi ya kujibu? Niliwahi shuhudia Miraji akimkwida Kikwete!

    Nina mengi ya kuandika kabla ya saa 3 asubuh ya Leo ili andiko langu liingie kwenye rekodi. Mtoto wa raisi ana nguvu Gani kwa kesi ya Lissu? Je Lissu kuwa huru Kuna madhala Gani kwake? Mbona ridhiwani kikwete hakuwai kuwa mwiba kwa Dr slaa alivyokuwa akimtaja majukwaani live dhidi UTAWALA wa...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Haki uleta amani pale Palipo na Amani Haki inapatikana Ukiona mwana Siasa anatanguliza Amani baada ya HAKI huyo ni Tapeli

    Palipo na Haki amani hipo watu wanaotaja Amani huku neno HAKI kwenye vinywa vyao hao ni matapeli wanatumia neno amani kwa maslahi yao...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Mwana FA,Msigwa na Makonda wote Kuingia Mitini kwenye ziara ya Nchimbi uwanja wa Afcon Arusha

    Comments ziwe fupi fupi ingekuwa Samia Wasingetokea pia? Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kisaikolojia Taatlaah mwanaCCM anaihusudu CHADEMA kuliko CCM

    Ndg wanajukwaa wenzangu Kwa kipindi kirefu mmeshuhudia member mwenzetu wa jamiiforums bwana mdogo Tlaatlaah akitoa nyuzi zinazohusu chadema Kila siku kama conveyer belt. Hii yote ni kwasababu anaipenda na kuihusudu chadema mnoo kiasi Cha kushindwa kuficha mahaba yake. Kimsingi huyu bwana...
  9. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Akili inaniambia Mwana FA hajafanya kwa bahati mbaya vile.

    Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha. Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana. Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mabeberu Waliwalipa Mashabiki Kumzomea Mwana FA

    Ndugu zangu kwa masikitiko makubwa jana mabeberu wamewalipa watu wote walioingia kwenye hafla ya miaka 30 ya bongo fleva ili wamzomee, kumbagaza na kumbananga mwana FA. Inauma sana. Mimi kama abduli aka Ponjoro wa Kinondoni nimesikitika sana. Na bado.
  11. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania ACHENI PROPAGANDA MWANA FA HAJAZOMEWA WATU WALIKUA WANASHANGILIA

    Baada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za...
  12. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mwana FA angeendelea fujo ingetokea ni bora alisitisha, tujitafakari sana

    Nimepata hofu sana, Kwa Nini lakini tumefika huku, kweli mazungumzo ya kisiasa ni muhimu? Kwenye show isio husu siasa?, Kuna chupa zinge rushwa wallah, safi sana muheshimiwa Kwa. Kuliona hilo
  13. SIR MGAX

    JamiiForums Tanzania Taja game unalolipenda umpate mwana hapa mwenzio

    Taja game unalolipenda umpate mwana hapa mwenzio Kichwa hakina miguu,tuenedelee tulipoishia…
  14. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Muungano wetu na methali ya mchelea mwana kulia, hulia mwenyewe

    Hivi karibuni kumekuwa na kauli zenye mwelekeo wa kibaguzi kutoka pande mbili za muungano wetu. Na mpaka sasa hatujasikia kauli thabiti ya serikali kuzikemea kauli hizi. Wasiwasi wangu, kauli hizi zikiachwa zishamiri zitauingiza muungano wetu kwenye mgogoro mkubwa. Tusisahau mdharau mwiba huota...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mwana CCM Suphian akana tuhuma za kujihusisha na ushoga wakati akifanya mahojiano na Edwin Odemba

    Kama sio kweli basi badili Body movements ====== Edwin Odemba: Gazeti la Tanzania Daima, toleo la 421 la tarehe 20 April, mwaka 2019, liliandika kwenye ukurasa wake wa mbele kabisa ya kwamba Shoga Suphian awachanganya Zitto na Maalim Seif, na ikawekwa picha yako. Hatukuona mara popote...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?

    ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria? Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa kujenga baa katikati ya makazi yao. Kwa kuwa sheria za nchi zinadhibiti wazi wapi baa zinaweza kujengwa...
  17. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Drake ni G.O.A.T, wamejaribu kukandamiza carreer yake ila mwana bado yupo hai, tangu jana nakula hits after hits kwenye hizi projects zake mpya

    https://youtu.be/fpr2AM8ziEs?si=vXyJlGXoQ2wbgbfP
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Hoteli zetu hazitoshi wageni AFCON, tunataka kuhakikisha makazi binafsi yanaweza kuandikishwa yakatumika kama Airbnb

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, ameeleza kuwa Serikali inatengeneza mfumo rasmi wa kusajili watoa huduma mbalimbali nchini ili kukidhi mahitaji makubwa ya wageni yanayotarajiwa wakati wa mashindano ya AFCON. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwa sekta zisizo...
  19. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Ni mwana JF gani unadhania ana uwezo fulani wa kipekee wa ustadi fulani kutokana na michango na maandiko yake?

    Karibuni great thinkaz
  20. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Nampenda ‘Seran’ ila nahisi kashachukuliwa na mwana JF fulani hivi?

    Seran wewe ni zabibu na muhibu Wewe ni upendo na mrembo. Tafadhari nipe nafasi hata tufahamiane, unijue. Kama kweli haupo na bwana yule mwenye majina ya initials ya herufi ya kwanza la jina la kwanza ni E na herufi ya kwanza ya jina la mwisho ni C, adui wa kobazi JF Maana nawaona mkicheka...
Back
Top Bottom