Nilichogundua watabiri wa hapa JF wanajizolea umaarufu wa bure Kwa kuanzisha threads zenye maudhui tofauti kuzungumzia Jambo moja. ikitokea Jambo hilo limetiki kwenye moja ya thread walizozianzisha basi thread hiyo itatrend huku zingine zikiachwa na kutelekezwa na ndivyo ndugu zetu kina @britannica et Al wanavyojizolea umaarufu hapa jamvini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.