Kandambilimbili ametutoka RIP

Kandambilimbili ametutoka RIP

rip kamanda

mioyo imejaa huzuni

macho yanatiririsha machozi kwa majonzi

ila hatusemi ila yanayomridhisha mola wetu

mungu akupokee na kukuweka pahala pema peponi
 
May his soul rest in peace, AMEN.
 
Tunaomba mwanachama wa JF anapotutoka muweke some of his Tred tuzisome na kumkumbuka kwa mchango wenu.

Sasa mimi nitawezaje kufanya hivyo Mkuu?

Hata hivyo unaweza kutumia search engine kutafuta thread husika.
 
RIP Kandambili, poleni sana wanafamilia, poleni sana wana JF
 
Rest in peace!! Shall your spirits keep fighting for a freer Tanzania that you longed for?????????????
 
Ni msiba ugongao nyoyo. Tumuombe mwenyeezi amuweke pema peponi.ndg yetu RIP. Pia nasi tulobaki tufanye maandalizi kwani lazima ipo siku kama hiyo.
 
Back
Top Bottom