kamanda, herman alikua anaitwa nani JFPoleni sana wafiwa, ndugu na jamaa. Hii JF imekuwa kama kimji sasa.
Wengine wanazaliwa, wanaowa/kuolewa na wengine wanafariki.
Mwezi uliopita tulipoteza mwingine. Sasa leo nasoma kuwa mwingine tena...............
RIP Kandambilimbili aka Baruti, RIP Herman Nzowa............
kamanda, herman alikua anaitwa nani JF
rip mwesiga baruti (a.k.a kanda2)
kuhusu marehemu herman nadhani sikonge alikwishaeleza
kwamba hawezi kutoa id husika.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/28534-paye-wafanyakazi-mnasemaje.htmlTunaomba mwanachama wa JF anapotutoka muweke some of his Tred tuzisome na kumkumbuka kwa mchango wenu.
Ni ajabu sana hili jambo.
Ndio leo najua kuwa Baruti Mwesiga ndiye tuliyekuwa tunamwita Kandambilimbili!...
Kwa ufupi namfahamu vizuri sana huyu mkuu!...Alikuwa mhasibu kwa taaluma, na alikuwa mcheshi sana, ukiachilia mabandiko yake ya kusisimua.
Ama kweli dunia tunapita!..
Mungu ailaze roho ya Marehemu pahalapema peponi.