Kandambilimbili ametutoka RIP

Kandambilimbili ametutoka RIP

RIP KAMDAMBILI
Siamini kama Baruti ndiye aliyekuwa Kandambili ingawa nimefanya nae kazi miaka mitano yote
 
bwana ametoa,bwana ametwaa,jina la bwana lihimidiwe!!
 
Poleni sana wafiwa, ndugu na jamaa. Hii JF imekuwa kama kimji sasa.

Wengine wanazaliwa, wanaowa/kuolewa na wengine wanafariki.

Mwezi uliopita tulipoteza mwingine. Sasa leo nasoma kuwa mwingine tena...............

RIP Kandambilimbili aka Baruti, RIP Herman Nzowa............
 
Kisukari....ni gonjwa tishio siku hizi. RIP Kandambili, tangulia tutakukuta nasi tukipewa nauli.
 
Oho may the souls of our departed brothers and sisters in God receive the Soul of our relative kanda2,2 Baruti and rest in Eternal life. Amen
 
kwenye issue kama hii ingebidi kuwe kuna mchango wa kuwasaidia wafiwa kuwapa pole; which we as JF tungekuwa tunakusanya iwapo majanga yanatukuta just an idea.
 
aaah....ni habari ya kushtua sana pale ambapo mwenzenu mlikuwa mkishirikiana nae mambo mbalimbali anapoondoka....japo hatukuwa tukifahamiana lakini habari hii imenishtua sana.....Mungu awape nguvu wafiwa.....RIP Kandambilimbili
 
Kila Goti Litapigwa.
Vyote vyenye uhai na kupumua ni mali yake Bwana.
Sote tuko safarini
Hajafa, ila amehamishia makazi yake kwa Bwana.
Hakika huko ndio kwenye uzima wa kweli
Aaaaaaamen.
 
poleni wafiwa, RIP marehemu na tuombe tuuone mwaka
 
Poleni sana wafiwa, ndugu na jamaa. Hii JF imekuwa kama kimji sasa.

Wengine wanazaliwa, wanaowa/kuolewa na wengine wanafariki.

Mwezi uliopita tulipoteza mwingine. Sasa leo nasoma kuwa mwingine tena...............

RIP Kandambilimbili aka Baruti, RIP Herman Nzowa............

Sikonge.....huyo mwingine alikuwa anatumia ID gani hapa?
 
Back
Top Bottom