Kandambilimbili ametutoka RIP

Kandambilimbili ametutoka RIP

Bado nafanya mawasiliano na kujua kama jina lake la JF niliweke au lah.

Ntakujulisheni soon jina la Marehemu Herman Nzowa.
 
RIP Kandambili. Mola akuweke mahali pema peponi, amen.
 
Bado nafanya mawasiliano na kujua kama jina lake la JF niliweke au lah.

Ntakujulisheni soon jina la Marehemu Herman Nzowa.

sawa mkuu....tunategemea ushirikiano wako
 
Dokta Remmy hakukosea, kifo hakina huruma 1971 - 2010 kijana saaaana.
Mungu awajalie kustahimili ndugu, jamaa na marafiki wote.
 
jamni bwana katoa bwana katwaa nawapa pole wafiwa na mungu awape ujasili na zaidi wajihoji na sisi pia je zamu yetu ikifika tutakuwa katika hali gani? Twapaswa kujiandaa
 
Back
Top Bottom