Kandambilimbili ametutoka RIP

Kandambilimbili ametutoka RIP

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe. poleni wafiwa na asante ninja kwa taarifa ya msiba
 
Truely sad.....this is the moment of silence. May his soul rest in peace amen
 
Rip,Mungu awajaze nguvu familia yake ktk kipindi ichi kigumu.
 
RIP Kandambili , mungu akulaze pema peponi.
 
Pumzika kwa aman, JF tutakukosa kimwili lakini Kiroho bado uko nasi
AMEN
 
Dah, Pole sana wafiwa, RIP Kandambilimbili.
Tunaweza pata picha yake? Only if that is allowed at this stage

Alikuwa na blog yake inaitwa Mwesy Baruti na kuna picha yake. Huyu ni Sylvester Mwesiga Baruti. Au fungua Google halafu andika Mwesy Baruti Photo utapata picha yake.

Poleni sana!!!
 
Mwesiga Baruti Photo
 

Attachments

  • Mwessy Baruti.jpg
    Mwessy Baruti.jpg
    6.3 KB · Views: 184
Alikuwa na blog yake inaitwa Mwesy Baruti na kuna picha yake. Huyu ni Sylvester Mwesiga Baruti. Au fungua Google halafu andika Mwesy Baruti Photo utapata picha yake.

Poleni sana!!!
Kwa google haipatikani...Kama unaiona mjomba si uweke picha yake tu?...Kwa sasa haitawezi kuleta usumbufu.
 
I wish I knew dawa ya Kisukari.... Poleni sana wote mnaohusika na msiba huo, popote pale mlipo.
 
Mungu amlaze pema peponi na kuwapa nguvu wanafamilia katika kipindi hichi. Amen
 
Back
Top Bottom