Kampuni ya utalii yapigwa faini kwa kuwaruhusu Watalii kula hadharani Zanzibar

Wewe wacha porojo njoo znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua hujui karibu sana znz
GJ0_3ogaMAALpNP.jpeg
 
Hii dini hii sijui ilianzishwa na kiumbe gani!! Wanafunga mchana ili wale Usiku Kucha sisi tukiwa tumelala!! Funga ni yako, Dini ni yako na Thawabu kama kweli zipo ni zako sasa nongwa ya nini??
Hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani,? Sii ubaki kwenu I ujinga ni mzigo pole sana
 
Wewe ndio mjinga sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani,? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
Mambo ya imani hayatumii nguvu zinazo onekana boss. Mwana dini akimpiga mwanadamu mwenzake baada ya kumkosea ana tofauti gani na mtu asiye na dini? Kwenye imani ni mahali pakupata amani wanaogombana na kupigana kwa nguvu zinazo onekana watofautiana vipi na watu wasio na dini. Maana hata wachawi hawamwadhibu mtu anaye wakosea kwa nguvu zinazoonekana. Wanafanya maombi kwanini msimwombee.
 
Kamisheni ya Utalii Zanzibar imethibitisha kuipiga faini ya dola 500 kampuni ya utalii ya Organisateur Francophone Tours and Travel kwa kuruhusu watalii kula hadharani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.

Katika taarifa Afisa wa Uhusiano wa Tume ya Utalii Zanzibar Mohamed Nassor Bajuni alisema kampuni hiyo ilikiuka miongozo na maagizo yaliyotolewa kwa wafanyabiashara wa utalii wakati huu wa mfungo wa Ramadhani.

''Toka kuanzishwa kwa kamisheni huo tunatoa notisi maalumu kwa kipindi cha mwezi wa Ramadhani kuhusiana na suala hili'' alisema Bw.

Muongoza watalii wa kampuni hiyo, Khamis M. Kahogo pia amezuiliwa kufanya shughuli zozote za utalii kwa muda wa miezi mitatu," aliongeza kusema.

Kamisheni hiyo imesisitiza umuhimu wa kufuata desturi na mila za visiwa vya Zanziba hasa wakati huu wa mfungo wa Ramadhan.
Mbona wengine mna wakamata kamateni na Hao
 
Hii dini hii sijui ilianzishwa na kiumbe gani!! Wanafunga mchana ili wale Usiku Kucha sisi tukiwa tumelala!! Funga ni yako, Dini ni yako na Thawabu kama kweli zipo ni zako sasa nongwa ya nini??
Hii ni dini ya haki inayomwsmini Mungu mmoja na siyo dini zinazoanzishwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kujipatia vipato,kila mtu anazisha kanisa lake na anaweka utaratibu wake.Ukristo uko kanisa katoliki na KKT,hilo kanisa lako sijui limeanzishwa na nani?
 
Kamisheni ya Utalii Zanzibar imethibitisha kuipiga faini ya dola 500 kampuni ya utalii ya Organisateur Francophone Tours and Travel kwa kuruhusu watalii kula hadharani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.

Katika taarifa Afisa wa Uhusiano wa Tume ya Utalii Zanzibar Mohamed Nassor Bajuni alisema kampuni hiyo ilikiuka miongozo na maagizo yaliyotolewa kwa wafanyabiashara wa utalii wakati huu wa mfungo wa Ramadhani.

''Toka kuanzishwa kwa kamisheni huo tunatoa notisi maalumu kwa kipindi cha mwezi wa Ramadhani kuhusiana na suala hili'' alisema Bw.

Muongoza watalii wa kampuni hiyo, Khamis M. Kahogo pia amezuiliwa kufanya shughuli zozote za utalii kwa muda wa miezi mitatu," aliongeza kusema.

Kamisheni hiyo imesisitiza umuhimu wa kufuata desturi na mila za visiwa vya Zanziba hasa wakati huu wa mfungo wa Ramadhan.
🙄🙄🙄🤔
 
Waislam wengi huwa hawana akili kabisaa hata kama kasoma degree ngapi.
Ila ndio wanaowakimbiza nchi hii, nyie makafir unafki na chuki ndio unswasumbua hao unaowaita wajinga ndio wameshikilia uchumi wa nchi yako top 15 ya matajiri nchi hii kuna mkristo mmoja tu mzee mengi ambae naye baada ya kufa mali zote zimeanza kupotea sasa hapo nani mwenye akili?
 
Back
Top Bottom