Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

KATI YA BATILDA NA LEMA YUPI ATIBUKA KIDEDEA?

  • Total voters
    52
katika wazushi walio kubuhu wewe ni mwalimu wao, haijawahi kutokea kitu kama hicho kwa dr. Batilda Burian hata siku moja hasa viwandani. Kwa mtu wa kawaida asiyesoma anajua vizuri kuwa huwezi ingia viwandani kama haujaandaliwa na viongozi wao iweje wafanyakazi wajifanye busy, wakati alialikwa ? tumia akili na uache uongo kama wa godless lema

Mi niliandamana nae kwenye kiwanda kimoja ambacho aliaklikwa na uongozi kwamatatizo yao, lllakini wafanyakazi walitoka kama nyuki kuja kumshangilia na kumuahidi kura zao, hata wacthman akatulaumu kwa nini hatukuwaarifu ili waje hata walioko majumbani.

Kwakukufahamisha tu Dr.Batilda atapata zaidi ya asilimia 85 ya kura zote za arusha, na huyo mwizi, tapeli asiye na kisomo chochote asie na sera ila kutukana kwenye majukwaa tu na tena anatukana hata watu wasiogombea ubalozi wa nyumba kumi. Atuonyeshe cv yake kama anayo.
Chadema mmejinyonga wenyewe arusha hamna kitu mmefulia kwa sabuni ya punda, hamkuweza hata kufikiria huyu tapeli kumleta mji maarufu na nyeti kama huu. ALishawahi kupatikana na kesi ya ujambazi akiwa na watotowa mzee kileo hata mmoja wao alipigwa risasi akafa watu wote tulishuhudia hapo motuary, leo hii atamshinda nani hata wewe ungemshinda kwa kura. na alishawahi kupewa rushwa akafuta kesi mahakamani ya kushinda ubunge je unataka na sasa apewe rushwa aachie ubunnge

Hovyooo!!!!! Another CCM conspiracy!!!!!! Usiwe kama JK anayesingizia wapinzani kuwa wapo tayari kuingia ikulu hata kwa kumwaga damu........ wakati yeye mwenyewe anaandaa jeshi letu limwingize ikulu kwa nguvu bila kujali whether atashindwa!!!!!!
 
hamna kipingamizi batilda kuchukua jimbo la arusha.
 
Napenda nikufahamishe rafiki yangu Ngongok kuwa LYIMO WA TLP hauziki Arusha, unajisumbua bure, na wala hakuna anayemwongelea, atawaozea mchana na jua kali!
Lakini kuhusu Batilda, anasikitisha sana!..
Alipita eneo fulani la Mbuzi-Choma juzi panaitwa FFU-Kwa Mrombo, ilibidi wanaCCM wang'oe bendera zote za vyama pinzani ili kumridhisha, maana hawamtambui kabisa uwepo wake hapa Arusha, wanachoelewa ni LEMA tu!!

Kinachovuta watu kwenye mikutano ya Batilda ni gari la MUZIKI LA "TRIPPLE A" fm radio, pamoja na lile la wasanii(sijui wameyanunua wapi magari haya hao UVCCM, na sielewi pesa wamezitoa wapi).
Batilda sasa hivi anapungia mkono kila chenye UHAI kiendacho juu ya nchi!...Ni masikitiko kwake.
Kama ana akiba yoyote ya fedha ambazo ameplan kuzitumia kurubuni watu ni bora akaziweka azitumie baada ya 31/10, MAANA atakuwa kijiweni, for sure!

Heshima kwako PakaJimmy,

Umewahi kujiuliza kwanini Lema anakuwa mnyonge mbele ya mjomba wake Jubilate Kileo !.Umewahi kujiuliza ni kwanini Lema alikubali kirahisi kuondoa kesi mahakamani pamoja na kupewa kitu kidogo.Umewahi kujiuliza ni kwanini Lema alikubali kumwondoa diwani wa upinzani na kumpeleka CCM na kushiriki kumpigia debe hadi akashinda udiwani ?.

Watu wote waliouliwa na polisi wanafamila zao hapa Arusha,wanamjua Lema alikuwa rafiki wa watoto wao ebu nenda kwa Mzee Ngereka waulize ndugu jamaa marafiki kwamba Lema alikuwa na uhusiano gani ?.Nenda kwenye famila ya Mzee Jubilate Kileo muulize mtoto wake anafanyakazi TANAPA na mwingine anafanyakazi CRDB wakuambie Lema ni mtu wa aina gani ?.Nenda Whitehouse Bar sehemu aliyokuwa akipenda kunywa Marehemu Joseph kibosho wakueleze Lema alivyoshirki na jinsi wanavyojisikia kila wamwonapo kwenye majukwa akidanganya watu.Ndugu wengi wa marehemu mpaka leo wanahisi Lema aliwauza wenzake !.

kuna jamaa wanauliza ni kwanini Lema hajakamatwa.Kwanza unatakiwa ujue polisi walifanyakazi nzuri ya kuwakamata watuhumiwa wa ujambazi badala ya kuwapeleka mahakamani wakayakatiiza maisha yao pengine kupunguza usumbufu na kutoa angalizo kwa majambazi wengine, hiyo ilikuwa sera ya kamanda Paul Ntobi[rejea issue ya kamamnda Zombe] hii ni Tanzania mkuu.Uwezekano wa Lema kukamatwa ni mdogo sana kwasababu watuhumiwa tayari walishauwawa na polisi baada ya kutoa maelezo.Mahakamani watahitajika kutoa ushaidi wa kumuunganisha Lema kitu ambacho polisi wanajua walichemka sana.

Mkuu PakaJimmy tuko hapa kuishuhudia demokrasia ikichukua mkondo wake napenda kukuhakikishia sitakosa usingizi msimamizi wa uchaguzi akimtangaza Lema ndiye mbunge wetu [Arusha].Nitabaki na msimamo ule ule kwamba Lema hastahili kuwa mbunge katika jamii ya watu wanaotaka kuutokomeza ufisadi kwasababu yeye ni sehemu ya ufisadi.Lema akishinda ubunge wa Arusha namba ya wapinzania bungeni itaongezeka lakini ubora wa hoja nina hakika hautakuwepo hata siku moja.Ukitaka kusadiki maneno yangu nenda kwenye mikutano yake ya kampeni utashangaa jinsi anavyopata nyomi ya kutosha lakini ujumbe anaotoa ni matusi,pumba na nk.

Nenda kwenye mikutano ya Lyimo utashagaa jinsi alivyonauelwa mkubwa wa mambo mbali mbali sijawahi kumsikia hata siku moja akitukana au kutaja taja watu bila sababu za msingi.Ikiwa wapiga kura watataka mageuzi basi hakuna ubishi Lyimo anabaki chaguo pekee kwa watu makini ili hata wanachadema na wanaCCM wa Arusha wengi wanalikubali.Jana Lema alikuwa na mkutano eneo la Azimio la Arusha maneno aliyokuwa akizungumza watu makini walibaki kinywa wazi ![1] Alisema kuna cafe moja jina limenitoka inatazamana na shule ya bondeni kwamba watu wasiende kunywa chai pale kuna waislam wenye siasa kali wanatupiga vita sana.[2] Anajuta ni kwanini hakumtongoza Batilda ! ilipofikia hapo nikatimua mbio sikutaka kusikiliza upuuzi mwingine kalagabao kama mbunge mwenyewe ni Lema Arusha inakazi.
 
Bwana NGONGO maelezo yako yanonyesha kuwa na wewe ni moja wa wazushi. Maelezo yako yanaonyesha kuwa wewe (kama kweli yalitokea uilyasema) ulikuwa mmoja ya wauaji unayesitahili kukamatwa ili sheria ishike mkondo wake maana unafahamu mipango yoote ya mauaji.

Heshima kwako Nasolwa

Zombe kaua mahakama imemwachia huru tumebaki tunalalama mkuu.kutenda kosa ni kitu kingine na sheria kuchukua mkondo wake ni kitu kingine.Mkuu Nasolwa inaelekea unapenda sana mageuzi lakini mageuzi iliyafanikiwe lazima yaongozwe na watu sahihi.
 
Kwakukufahamisha tu Dr.Batilda atapata zaidi ya asilimia 85 ya kura zote za arusha, na huyo mwizi, tapeli asiye na kisomo chochote asie na sera ila kutukana kwenye majukwaa tu na tena anatukana hata watu wasiogombea ubalozi wa nyumba kumi.

Au ndizo zile kura ambazo tayari mmekwishakupiga kule South Afrika ambazo zimekamatwa na TRA kule Tunduma? Be fairand respectful to your opponents.. Do not demean them because of vying for public office. Let voters judge your candidate fairly and squarely on D-Day. Usimtusi Lema eti siyo msomi, mwizi haya mbona hatukuyasikia kabla uchaguzi haujaanza? Ni hiki kiuchaguzi kimetugeuza kuwa wanyama?
 
SUBIRA NA NGONGO MSIJIDANGANYE. MIMI NIKO ARUSHA MJINI NA HUWA NIKO SANA PEMBEZONI MWA MJI ‘ KWA UFUPI BATILDA ANA HALI MBAYA SAAANA. NA HAWEZI KUSHINDA LABDA UTOKEE WIZI WA HALI YA JUU SANA AU MUNGU MWENYEWE AAMUE ASHUKE.

NASEMA HIVI KWA SABABU NINA EVIDENCE

  1. NIMEHUDHURIA MMOJAWAPO WA MIKUTANO YAKE YA UFUNGUZI WA KAMPENI PALE SHULE YA MSINGI KIMANDOLU BAADA YA DK SLAA KUPITA. MKUTANO ULE HAUKUWA NA WATU ZAIDI YA 100 NA WENGI WALIKUWA WATAKA WASIKILIZE MZIKI WA MWANAMUZIKI WA BONGO FLEVA. MZIKI ULIPOISHA BATILDA AKAPANDA JUKWAANI NA WATU WAKAONDOKA AKABAKIA NA WENYE NGUO ZA KIJANI WASIOZIDI 50.
  2. JUZI JUMAMOSI TAREHE 16/10/2010 SAA 10. JIONI ENEO LA TINDIGANI KIJENGE JUU ALIKUJA NA DK. BILALI NA NILIKUWEPO. SUBIRI NA NGONGO MNGEKUJA MACHOZI YANGEWATOKA KWANI IDADI YA WATU ILIKUWA NUSU YA ILE YA MIKUTANO YA UBUNGE YA G. LEMA. UNFORTUNATELY NA WALIOKUWEPO WALILETWA NA HIACE ZISIZOPUNGUA 8

KUHUSU USAFI WA WAGOMBEA NI KWAMBA “ ALIYE SAFI KULIKO WOTE MIONGONI MWA SUBIRA, NGONGO, KILEO, BATILDA NA LEMA NA AWE WA KWANZA KUMRUSHIA MWENZAKE JIWE. AU WEWE UNAFIKIRI NI NANI?

Tusiwe na denials za wazi tuwe genuine katika argument zetu kwani ni jambo la wazi kabisa DK Batilda kuna kata hatapata hata kura 1000. Mikutano ya Batilda inajazwa na vikundi vya akina mama wanaojazwa kwenye Hiace na kuzunguka naye huku wakiwatukana wafuasi wa CHADEMA matusi kwa kuonyesha alama ya vidole. Mimi ni mmojawapo niliyetukanwa wakati nimejikalia tu nakunywa soda pale Kijenge kati. Batilda anapigiwa debe na wanywaji wa Dadii waliojawa na matusi tena wamama watu wazima wasio na mwelekeo.

Mara nyingi huwa naamini tabia ya wafuasi wa mtu inatoa taswira ya kiongozi wao. Kama walivyo hawa akina mama ambao hawana chembe ya soni wala staha.

Tathmini yangu inampa Batilda asilimia 15% ya kura za Arusha mjini lakini ya 85% au zaidi ni ushindi wa G.lema wa CHADEMA.

Subira na Ngongo kubalini matokea game limeisha hili msije pata pressure bure

Heshima kwako Gerad2008,

Mkuu tafuta sehemu niliposema Lema hana uhungwaji mkono wewe umesema 85 % sina tatizo hata kidogo tena ungeweza kuongeza 95%,hoja yangu imezungumzia ushiriki wa Lema kwenye tukio la ujambazi uliofanyika mwaka 1998.Mkuu Gerad2008 Mramba kaitia hasara serekali mabilioni ya fedha,serekali hii hii ya Kikwete imempeleka mahakamani usijekushangaa Mramba akashinda ubunge uko Rombo au asiposhinda utashangaa kapata kura nyingi tu.Mambo ya hovyo hovyo sana yanafanyika Tanzania wananchi wanaona ni mambo ya kawaida.
 
Heshima kwako PakaJimmy,

.Lema akishinda ubunge wa Arusha namba ya wapinzania bungeni itaongezeka lakini ubora wa hoja nina hakika hautakuwepo hata siku moja. Ukitaka kusadiki maneno yangu nenda kwenye mikutano yake ya kampeni utashangaa jinsi anavyopata nyomi ya kutosha lakini ujumbe anaotoa ni matusi,pumba na nk.

Ngongo, Mkuu wangu,

Sasa can you plz answer me, kama LEMA ana sera za matusi kAma unavyodai, what makes people follow him in that way?...Unataka kusema kuwa watu wote wa Arusha(kama ulivyowaita NYOMI) ni mazuzu, kiasi hawawezi kupambanua sera na matusi?...najua wazi kuwa kuna wakati anakuwa anajibu hoja za Batilda na za akina mama wapashkuna wanaoandamana na mama huyu, na ni wazi kuna wakati anapandwa na jazba na kusema yanayomkera binafsi, lakini ni mwongeaji na mtendaji pia...amepimwa na mizania ya chadema, na anaweza.

Suala la MAWAZO(kama ulivyolikomalia mno) amekuwa analijibu kila mahali, na liko wazi!..Hata Slaa akiwa Mbauda aliliweka sawa, na watu hawaongelei hilo tena!
Hayo mambo ya kesi ya mauaji kwanini myaamshe muda huu?..any person is innocent, until proved otherwise by the court of law!
Ngongo, rudisha moyo, Mchague Lema

Nakuheshimu sana Mkuu!
 
Huu ni upuuzi mwingine. Sasa Mkuu Ngongo, kama alikimbia na anajulikana alikuwa jambazi, mwasubiri nini kumkamata?
Kawaambie wajinga mliozoea kuwahonga kanga, lakini hapa JF njoo na point!
Halafu mods, hebu pelekeni hii kule kwenye jukwaa la uchaguzi/siasa, ili watu waichngamkie na kutoa maoni yao! Kwa kweli to be Frank, the woman is desparate na amejaa hofu isiyo kifani........hata wapambe wake wengi wanajua hilo, mbinu pekee waliyobaki nayo ni kuiba kura na kununua shahada.........

Heshima kwako Nyumbu,

Mkuu bahati mbaya sijawahi kuwa mwanaCCM maisha yangu yote lakini hii hainifanyi kuwa kipofu/kufumbia macho udhaifu au kumuunga mkono mtu eti kwasababu ni mpinzani hapana.Naamni iko siku wapinzania watakuwa watawala na watawala watakuwa wapinzani sijui tukiendelea na upuuzi wa aina hii Tanzania itakwenda wapi.
 
Ngongo, Mkuu wangu,

Sasa can you plz answer me, kama LEMA ana sera za matusi kAma unavyodai, what makes people follow him in that way?...Unataka kusema kuwa watu wote wa Arusha(kama ulivyowaita NYOMI) ni mazuzu, kiasi hawawezi kupambanua sera na matusi?...najua wazi kuwa kuna wakati anakuwa anajibu hoja za Batilda na za akina mama wapashkuna wanaoandamana na mama huyu, na ni wazi kuna wakati anapandwa na jazba na kusema yanayomkera binafsi, lakini ni mwongeaji na mtendaji pia...amepimwa na mizania ya chadema, na anaweza.

Suala la MAWAZO(kama ulivyolikomalia mno) amekuwa analijibu kila mahali, na liko wazi!..Hata Slaa akiwa Mbauda aliliweka sawa, na watu hawaongelei hilo tena!
Hayo mambo ya kesi ya mauaji kwanini myaamshe muda huu?..any person is innocent, until proved otherwise by the court of law!
Ngongo, rudisha moyo, Mchague Lema

Nakuheshimu sana Mkuu!

Heshima kwako PakaJimmy,

Mkuu wangu PJ unajua kuna watu watampigia kura Kikwete kwasababu katoa ahadi ya viwanja vya ndege,Machinga Complex nne,Kigoma kuwa Dubai ya Tanzania na nk na nk.Mkuu PakaJimmy umewahi kutazama statistics za uchaguzi wa 2005 kwenye majimbo ya Karatu na Moshi mjini hakika usingeniuliza maswali unayotaka nikupatie majibu.Nianze na Kataru Dr W Slaa alimshinda mpinzani wake kwa kura chache sana niambie ni mtanzania gani asiyejua Dr Slaa kafanya nini Karatu.Mkuu watanzania wakati mwingine ni vigumu kuwaelewa wanataka nini, kiongozi kama Dr W Slaa angetakiwa asipate mpinzani kama ilivyokuwa Mwanga enzi za D Msuya.Usishangae sana Lema akipata washabiki wengi.

Pakajimmy ina maana wewe unataka Lema ashinde/tumpigie kura lakini kwenye mikutano yake huonekani !Laiti ungekuwa unahudhuria usingeuliza kama Lema anatukana au laah.Tena ungemshauri aache matusi yasiyokuwa na msingi.Mkuu nenda Elerai kuna mgombea udiwani wa CHADEMA hataki kumwona Lema kwenye kata yake kisa matusi kiasi kwamba mpinzani wake mgombea wa CCM ametumia udhaifu wa Lema kummaliza Bayo.Yupo mgombea udiwani wa CHADEMA Kata ya Kaloleni j2 alipita sehemu tulikuwa tunatazama mpira alielezwa maneno hayo hayo.

Mkuu huwajui watanzania nakwambia nimewahi kukutana na mtu mwenye elimu yake alimpigia kura Kikwete eti kwasababu na sura ya mvuto ???.Kuna thead ililetwa hapa jamvini kuna wadada walikuwa wanamsifia kamanda wa polisi Arusha RPC Basilo Matei ana sura nzuri ebu niambie Kamanda matei akichukua fomu hawa wadada watafanya nini kwenye kituo cha kupigia kura.
 
Heshima kwako Subira,

Mkuu mleta hoja anadai alikuwemo kwenye msafara wa Mama Dr Batilda sidhani kama anatudanganya naamini kasema alichokishuhudia mwenyewe labda kama anataka kufurahisha jamvi.Ni kweli Dr Batilda ana wakati mgumu sana kuliko alivyotarajia yamkini hakujianda na mikimiki ya uchaguzi yaelekea alilenga zaidi kumwangusha Felex Mrema akijua mbele ya safari nija itakuwa nyeupe.

Mkuu Subira Kasoro nyingi za mgombea wa CHADEMA nilishazileta hapa jamvini sina haja ya kuzirudia rudia ila nitaieleza kwa usahihi zaidi na kashfa ya mauaji ya raia watuhumiwa wa ujambazi mwaka 1998.

Mwaka 1998 yalitokea mauaji ya raia watuhuniwa wa ujambazi mikononi mwa jeshi la polisi.kashfa hii ilisababishwa kuundwa tume sikumbuki iliongozwa na nani muda umeshapita sana ila nakumbuka aliyekuwa RPC mkoa wa Arusha wakati huo kamanda Paul Ntobi alihamishwa.Miongoni mwa watu waliouwa ni Babu Kileo mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha ambaye pia ni mjomba wa Bwana Godbless Lema,Mwingine ni Amir Masumai mtoto wa mzee Masumai alimaharufu Mzee Ngereka [kuna mtaa karibu na stend kuu unaitwa mtaa wa Masumai wazee mujini].pia alikuwepo bwana mwingine akiitwa Joseph Kibosho mkuu wa mipango yote ya ujambazi wote kwa pamoja walikamatwa na baadaye waliuwawa mikononi mwa polisi.

Mipango yote ya ujambazi ilipangwa nyumbani kwa Mzee Jubilate Kileo wakati huo hakuwa na wadhifa wa mwenyekiti wa CCM.Bwana G Lema,marehemu Babu Kileo,marehemu Joseph walimfuata marehemu Amiri Masumai ambaye alikuwa akimiliki daladala nzuri [kipanki] yenye muziki mkubwa na kumshawishi ashiriki kwenye dili lao kwasababu gari yake ilikuwa katika hali nzuri hasa mbio.Bwana G Lema alitumia gari nyingine mambo yalipokuwa mabaya alifanikiwa kutoroka na kuwaachi marafiki zake wakiangamia mikononi mwa jeshi la polisi.

Bwana Lema alifanikiwa kukimbilia Mwanza na alirejea kimyakimya mwaka 2002 kwa gia ya ulokole akajiunga na shirika moja la dini linalijulikana kama KIMAHAMA.

Bwana Lema alipomtishia maisha msimamizi wa uchaguzi wa Arusha mjini kwa sisi tunaomjua vyema tulijua alikuwa anasema kitu kutoka chini ya uvungu wa roho yake.
Wewe mnafiki mbona hukupitia huku
 
Duh umenikumbusha Marehemu Amir in fact alikuwa taxi driver hakuwa jambazi...............!
 
na alishawahi kupewa rushwa akafuta kesi mahakamani ya kushinda ubunge je unataka na sasa apewe rushwa aachie ubunge mmchelewa.

Kwa hiyo alishinda Ubunge ila huyo Buriani akamhonga, siyo?
 
Maneno yanaponza ulimi mama mkwe.....soma mistari niliyo underline uone ulivyo juha

Hahahaha,dah uko makini sana mkubwa!
Basi amejiona kaongeeeeeea mwenyewe hadi presha imepanda na imeshuka,kama mahakamani ukimaliza kutoa ushahidi tu unapelekwa rumande maana umeshatoa hadi siri zako zote
 
Nimeongea na kaka yangu aliyeko arusha amekiri kwamba binti amegonga mwamba.
yaani hawamtaki na anatoa rushwa kufa mtu.

Safari hii maumivu kwa sisiem ni makubwa na inatumwa meseji kwa kikwete kwamba ULITUDANGANYA 2005.
HATUDANGANYIKI TENA
 
SUBIRA NA NGONGO MSIJIDANGANYE. MIMI NIKO ARUSHA MJINI NA HUWA NIKO SANA PEMBEZONI MWA MJI ‘ KWA UFUPI BATILDA ANA HALI MBAYA SAAANA. NA HAWEZI KUSHINDA LABDA UTOKEE WIZI WA HALI YA JUU SANA AU MUNGU MWENYEWE AAMUE ASHUKE.

NASEMA HIVI KWA SABABU NINA EVIDENCE

  1. NIMEHUDHURIA MMOJAWAPO WA MIKUTANO YAKE YA UFUNGUZI WA KAMPENI PALE SHULE YA MSINGI KIMANDOLU BAADA YA DK SLAA KUPITA. MKUTANO ULE HAUKUWA NA WATU ZAIDI YA 100 NA WENGI WALIKUWA WATAKA WASIKILIZE MZIKI WA MWANAMUZIKI WA BONGO FLEVA. MZIKI ULIPOISHA BATILDA AKAPANDA JUKWAANI NA WATU WAKAONDOKA AKABAKIA NA WENYE NGUO ZA KIJANI WASIOZIDI 50.
  2. JUZI JUMAMOSI TAREHE 16/10/2010 SAA 10. JIONI ENEO LA TINDIGANI KIJENGE JUU ALIKUJA NA DK. BILALI NA NILIKUWEPO. SUBIRI NA NGONGO MNGEKUJA MACHOZI YANGEWATOKA KWANI IDADI YA WATU ILIKUWA NUSU YA ILE YA MIKUTANO YA UBUNGE YA G. LEMA. UNFORTUNATELY NA WALIOKUWEPO WALILETWA NA HIACE ZISIZOPUNGUA 8
KUHUSU USAFI WA WAGOMBEA NI KWAMBA “ ALIYE SAFI KULIKO WOTE MIONGONI MWA SUBIRA, NGONGO, KILEO, BATILDA NA LEMA NA AWE WA KWANZA KUMRUSHIA MWENZAKE JIWE. AU WEWE UNAFIKIRI NI NANI?

Tusiwe na denials za wazi tuwe genuine katika argument zetu kwani ni jambo la wazi kabisa DK Batilda kuna kata hatapata hata kura 1000. Mikutano ya Batilda inajazwa na vikundi vya akina mama wanaojazwa kwenye Hiace na kuzunguka naye huku wakiwatukana wafuasi wa CHADEMA matusi kwa kuonyesha alama ya vidole. Mimi ni mmojawapo niliyetukanwa wakati nimejikalia tu nakunywa soda pale Kijenge kati. Batilda anapigiwa debe na wanywaji wa Dadii waliojawa na matusi tena wamama watu wazima wasio na mwelekeo.

Mara nyingi huwa naamini tabia ya wafuasi wa mtu inatoa taswira ya kiongozi wao. Kama walivyo hawa akina mama ambao hawana chembe ya soni wala staha.

Tathmini yangu inampa Batilda asilimia 15% ya kura za Arusha mjini lakini ya 85% au zaidi ni ushindi wa G.lema wa CHADEMA.

Subira na Ngongo kubalini matokea game limeisha hili msije pata pressure bure
Wiki iliyopita mkuu wa wilaya alikua na kikao cha siri na makatibu na viongozi wa mitaa kujadili ni wapi chadema wanapopata nguvu hadi kufungua mashina ya wakereketwa mitaani na hasa kufuatia tukio la batilda kuzomewa maeneo ya makao mapya!

Kiukweli mwamko uliopo sasa unatia moyo!
 
Leo majira ya saa 6 mchana, mgombea ubunge wa CCM Arusha mjini hakuamini kilichotokea pale alipofanya ziara yake ya kushtukiza, nia na madhumuni kuja kuwaomba kura kwa wafanyakazi wa kampuni ya kutengeneza nguo Sun flag, nikiwa ktk msafara huo viongozi walimpokea vizuri kasheshe alipofika kwa wafanyakazi, wafanyakazi walikuwa wapo buzzy na kazi zao huku wengine wakinyoosha ishara ya vidole viwili juu na kumkatisha tamaa mama wa watu kwa mapokezi ya kichovu. Na alipotaka kuongea nao walimwambia sisi ni mbayuwayu na ndege siku zote haongei. Hadi mwisho wa ziara yake hiyo alionekana kuchoka kwa huzuni.

unamaanisha nini sijakuelewa.CCM JUU.
 
Back
Top Bottom