Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
wala ushofu ni kiwanda cha chuma trishalla arusha una lingine
Kwi kwi kwiii.....hebu tupe na BP level yako ya leo....maana una hasira kuliko subira
wala ushofu ni kiwanda cha chuma trishalla arusha una lingine
Mi niliandamana nae kwenye kiwanda kimoja ambacho aliaklikwa na uongozi kwamatatizo yao, lllakini wafanyakazi walitoka kama nyuki kuja kumshangilia na kumuahidi kura zao, hata wacthman akatulaumu kwa nini hatukuwaarifu ili waje hata walioko majumbani.
.
Twende taratibu ndugu yangu, wala usilete papara.
Mdau mwenzako hapo amezungumzia kiwanda cha sunflag, ambapo alishuhudia kilichojiri. Sasa wewe unapourupuka na kumshutumu wakati hutuambii uliambatana na huyo mgombea kiwanda gani, sasa huoni wewe ndi mzushi na muongo?
Punguza jazba na utueleze kiwanda gani mama alipokelewa na wafanyakazi kama nyuki.
ndugu Gerald nakubaliana na tathmini yako, wapiga kura wa AR hawana haja ya kubashiri Batilda atakuwa ni mtu wa aina gani, kama ulivyopata taswira kutoka kwa hao kina mama, nami napata taswira hiyohiyo toka kwa SUBIRA, ukisoma post yake hakuna alichoongea zaidi ya kufyatua mitusi, nadhani nae ni mmoja wa hao kina mama wanaozunguka na Batilda! " SHOW ME YOUR FRIENDS, AND I WILL TELL WHO YOU ARE"!Mara nyingi huwa naamini tabia ya wafuasi wa mtu inatoa taswira ya kiongozi wao. Kama walivyo hawa akina mama ambao hawana chembe ya soni wala staha.
Kwa hiyo kama haijawahi tokea ndo haiwezi kutokea?katika wazushi walio kubuhu wewe ni mwalimu waohaijawahi kutokea kitu kama hicho kwa dr.
kuna sheria inayombana mfanyakazi awapo kazini ahudhurie mikutano ya kisiasa kazini?Batilda Burian hata siku moja hasa viwandani. Kwa mtu wa kawaida asiyesoma anajua vizuri kuwa huwezi ingia viwandani kama haujaandaliwa na viongozi wao iweje wafanyakazi wajifanye busy, wakati alialikwa ?
Sasa uongo wa Lema na Burhani kususiwa kuna uhusiano gani?tumia akili na uache uongo kama wa godless lema
Arusha kuna viwanda vingapi? Au mlienda kwenye mashine ya kusaga na kukoboa?Mi niliandamana nae kwenye kiwanda kimoja ambacho aliaklikwa na uongozi kwamatatizo yao, lllakini wafanyakazi walitoka kama nyuki kuja kumshangilia na kumuahidi kura zao,
Hii ni contradiction mkuu, inamaana mlienda kiwandani bila taarifa? A lier has no memory, jiandae mkuu manake unasahau sana uloyaandika kwakuwa hayako kwenye ukweli.hata wacthman akatulaumu kwa nini hatukuwaarifu ili waje hata walioko majumbani.
Utapiga wewe na yeye peke yenu?Kwakukufahamisha tu Dr.Batilda atapata zaidi ya asilimia 85 ya kura zote za arusha,
Jenga hoja mkuu usiongee kama wanywa komoni na mataptap hapa ni hoja tu. kama ni mwizi si umpeleke mahakamani?na huyo mwizi, tapeli asiye na kisomo chochote asie na sera
Afadhali wewe hujatukanaila kutukana kwenye majukwaa tu na tena anatukana hata watu wasiogombea ubalozi wa nyumba kumi.
Kwa kuwa hujaiona manake haipo?Atuonyeshe cv yake kama anayo..
Hapa nadhani umeamua kutuimbia taarabu, si mbaya haya ni maneno tu hata kwenye khanga yapoChadema mmejinyonga wenyewe arusha hamna kitu mmefulia kwa sabuni ya punda, hamkuweza hata kufikiria huyu tapeli kumleta mji maarufu na nyeti kama huu
Hii haijaeleweka, hapo kwenye chumba cha maiti ndo walipopigiwa risasi? Je mkusanyiko wa watu hapo mortuary ndo ushahidi kuwa Lema alihusika? kama kesi ilikuwepo kwanini hukwenda kutoa ushahidi kuwa umeshuhudia?ALishawahi kupatikana na kesi ya ujambazi akiwa na watotowa mzee kileo hata mmoja wao alipigwa risasi akafa watu wote tulishuhudia hapo motuary
mbona anayeshindana naye unamfahamu? This question is absurdleo hii atamshinda nani
Kumbe ni mbunge tayari, nimegundua ukweli unao moyoni only that your lips have betrayed your heartunataka na sasa apewe rushwa aachie ubunge mmchelewa.
Bwana Lema alifanikiwa kukimbilia Mwanza na alirejea kimyakimya mwaka 2002 kwa gia ya ulokole akajiunga na shirika moja la dini linalijulikana kama KIMAHAMA.
.
wala ushofu ni kiwanda cha chuma trishalla arusha una lingine
Heshima kwako Subira,
Mkuu mleta hoja anadai alikuwemo kwenye msafara wa Mama Dr Batilda sidhani kama anatudanganya naamini kasema alichokishuhudia mwenyewe labda kama anataka kufurahisha jamvi.Ni kweli Dr Batilda ana wakati mgumu sana kuliko alivyotarajia yamkini hakujianda na mikimiki ya uchaguzi yaelekea alilenga zaidi kumwangusha Felex Mrema akijua mbele ya safari nija itakuwa nyeupe.
Mkuu Subira Kasoro nyingi za mgombea wa CHADEMA nilishazileta hapa jamvini sina haja ya kuzirudia rudia ila nitaieleza kwa usahihi zaidi na kashfa ya mauaji ya raia watuhumiwa wa ujambazi mwaka 1998.
Mwaka 1998 yalitokea mauaji ya raia watuhuniwa wa ujambazi mikononi mwa jeshi la polisi.kashfa hii ilisababishwa kuundwa tume sikumbuki iliongozwa na nani muda umeshapita sana ila nakumbuka aliyekuwa RPC mkoa wa Arusha wakati huo kamanda Paul Ntobi alihamishwa.Miongoni mwa watu waliouwa ni Babu Kileo mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha ambaye pia ni mjomba wa Bwana Godbless Lema,Mwingine ni Amir Masumai mtoto wa mzee Masumai alimaharufu Mzee Ngereka [kuna mtaa karibu na stend kuu unaitwa mtaa wa Masumai wazee mujini].pia alikuwepo bwana mwingine akiitwa Joseph Kibosho mkuu wa mipango yote ya ujambazi wote kwa pamoja walikamatwa na baadaye waliuwawa mikononi mwa polisi.
Mipango yote ya ujambazi ilipangwa nyumbani kwa Mzee Jubilate Kileo wakati huo hakuwa na wadhifa wa mwenyekiti wa CCM.Bwana G Lema,marehemu Babu Kileo,marehemu Joseph walimfuata marehemu Amiri Masumai ambaye alikuwa akimiliki daladala nzuri [kipanki] yenye muziki mkubwa na kumshawishi ashiriki kwenye dili lao kwasababu gari yake ilikuwa katika hali nzuri hasa mbio.Bwana G Lema alitumia gari nyingine mambo yalipokuwa mabaya alifanikiwa kutoroka na kuwaachi marafiki zake wakiangamia mikononi mwa jeshi la polisi.
Bwana Lema alifanikiwa kukimbilia Mwanza na alirejea kimyakimya mwaka 2002 kwa gia ya ulokole akajiunga na shirika moja la dini linalijulikana kama KIMAHAMA.
Bwana Lema alipomtishia maisha msimamizi wa uchaguzi wa Arusha mjini kwa sisi tunaomjua vyema tulijua alikuwa anasema kitu kutoka chini ya uvungu wa roho yake.
Comment ya namna hii kutoka kwako Arife sio habari kabisa hapa JF. sasa kama una taarifa zote za ujambazi wa bw. Lema unasubiri nini kushirikiana na jeshi la polisi ili wamshughulikie? jamaa angu una chuki mbaya wewe........ bila shaka wewe ni mkuu wa kitengo cha propaganda ccm arusha ama la mlikuwa mnashirikiana kufanya ujambazi, hii si bure arife. Angalia usije kufa bure na mipresha lema atakapoapishwa kuwa mbunge wa arusha mjini.
Nahisi gongo sijui ngongo atakuwa aliwahi "kuporwa" mke na Lema.
Na mimi niko hapa Arusha,aslimia 85 atazipata kwako subira na familia yako,sisi wakazi wa hapa hatumpi hata robo,Kwani nani asiejua mazingira ya nchi hii yalivyo machafu?!! viwanda kila pahala,maji machafu,ujenzi holela,yoote hayo anahusika nayo Batilda kama waziri wa Mazzingira,muulize nae kafanya nini kama waziri! mwaka huu mnalo
Mwita naomba unitafsirie hii kitu yako please ''Mung'oni Ghimatendelya Nyamolente-Kelong'ongo na keela ghetar-reywe''
Heshima kwako Subira,
Mkuu mleta hoja anadai alikuwemo kwenye msafara wa Mama Dr Batilda sidhani kama anatudanganya naamini kasema alichokishuhudia mwenyewe labda kama anataka kufurahisha jamvi.Ni kweli Dr Batilda ana wakati mgumu sana kuliko alivyotarajia yamkini hakujianda na mikimiki ya uchaguzi yaelekea alilenga zaidi kumwangusha Felex Mrema akijua mbele ya safari nija itakuwa nyeupe.
Mkuu Subira Kasoro nyingi za mgombea wa CHADEMA nilishazileta hapa jamvini sina haja ya kuzirudia rudia ila nitaieleza kwa usahihi zaidi na kashfa ya mauaji ya raia watuhumiwa wa ujambazi mwaka 1998.
Mwaka 1998 yalitokea mauaji ya raia watuhuniwa wa ujambazi mikononi mwa jeshi la polisi.kashfa hii ilisababishwa kuundwa tume sikumbuki iliongozwa na nani muda umeshapita sana ila nakumbuka aliyekuwa RPC mkoa wa Arusha wakati huo kamanda Paul Ntobi alihamishwa.Miongoni mwa watu waliouwa ni Babu Kileo mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha ambaye pia ni mjomba wa Bwana Godbless Lema,Mwingine ni Amir Masumai mtoto wa mzee Masumai alimaharufu Mzee Ngereka [kuna mtaa karibu na stend kuu unaitwa mtaa wa Masumai wazee mujini].pia alikuwepo bwana mwingine akiitwa Joseph Kibosho mkuu wa mipango yote ya ujambazi wote kwa pamoja walikamatwa na baadaye waliuwawa mikononi mwa polisi.
Mipango yote ya ujambazi ilipangwa nyumbani kwa Mzee Jubilate Kileo wakati huo hakuwa na wadhifa wa mwenyekiti wa CCM.Bwana G Lema,marehemu Babu Kileo,marehemu Joseph walimfuata marehemu Amiri Masumai ambaye alikuwa akimiliki daladala nzuri [kipanki] yenye muziki mkubwa na kumshawishi ashiriki kwenye dili lao kwasababu gari yake ilikuwa katika hali nzuri hasa mbio.Bwana G Lema alitumia gari nyingine mambo yalipokuwa mabaya alifanikiwa kutoroka na kuwaachi marafiki zake wakiangamia mikononi mwa jeshi la polisi.
Bwana Lema alifanikiwa kukimbilia Mwanza na alirejea kimyakimya mwaka 2002 kwa gia ya ulokole akajiunga na shirika moja la dini linalijulikana kama KIMAHAMA.
Bwana Lema alipomtishia maisha msimamizi wa uchaguzi wa Arusha mjini kwa sisi tunaomjua vyema tulijua alikuwa anasema kitu kutoka chini ya uvungu wa roho yake.
Mkuu sijui kama nitaweza kukuelewesha ukanielewa, lakini ngoja nijaribu.
Kwanza kabisa niseme hayo ni maneno ya kikurya. ''Mung'oni Ghimatendelya Nyamolente-Kelong'ongo na keela ghetar-reywe'' maana yake ni kijana shupavu mwenye nguvu, uwezo na bidii ya kutafuta mafanikio bila kuchoka na hatimaye hufanikiwa. (Kwetu kijana mwenye sifa hizo ni yule aliyepitia jando ikiwa ni pamoja na lazima kuhimili vishindo vya kisu cha mhunzi wa kienyeji). Kwa ufafanuzi zaidi ina maanisha kwamba kijana kwa kuwa ana nguvu na uwezo, anaweza kujipatia mafanikio kutoka mbali sana na nyumbani kwao au hata katika mazingira magumu sana pasipotarajiwa-ndio maana ya kibwagizo "Nyamolente-Kelong'ongo na keela ghetar-reywe''.
Nadhani utakuwa umenipata.
Am sure Dr being a semi-nilotic must have gone through this...I dont know kama Kweres have something similar?no wonder wanachekacheka kule poti watu hawachekicheki hovyo hata kama wamelewa