ndio maana nasema , napata shida sana kuwaelewa watu wanaoiunga mkono ccm, huwa siwaelewi, kwakweli naona kukamtindio kaubongo kwa wengi kati ya wafuasi wao, nahisi tu jamani.
Chama kin a watu wapumbavu san a hiki...yaani mawazo Yao ni kuwa tunataka miziki
hahahaha hahahahaMtu anapozama atashikilia hadi mmea wa mchicha!
Yamemfika, lazima atumie kila idara ya mwili wake kushinda!
Kuanzia leo, Dakitari bingwa Mama yetu Batilda Buriani anayekiwania kwa udi na uvumba kiti cha ubunge Arusha mjini kupitia CCM, baada ya kuona sera zake haziuziki kama za bosi wake JK, naye sasa amekodisha kizazi kipya kutoka hapa nyumbani na majirani zetu wa Kenya ili kuvuta watu kwenye mikutano ya kampeni zake.
Tupo tunasubiri kuona kama na yeye atafunika kama bosi wake JK kule Songea mjini kwa kubebwa na kizazi kipya.
wafanyakazi walikuwa wapo buzzy na kazi zao huku wengine wakinyoosha ishara ya vidole viwili juu na kumkatisha tamaa mama wa watu kwa mapokezi ya kichovu. Na alipotaka kuongea nao walimwambia sisi ni mbayuwayu na ndege siku zote haongei. Hadi mwisho wa ziara yake hiyo alionekana kuchoka kwa huzuni.