Mi niliandamana nae kwenye kiwanda kimoja ambacho aliaklikwa
katika wazushi walio kubuhu wewe ni mwalimu wao, haijawahi kutokea kitu kama hicho kwa dr. Batilda Burian hata siku moja hasa viwandani. Kwa mtu wa kawaida asiyesoma anajua vizuri kuwa huwezi ingia viwandani kama haujaandaliwa na viongozi wao iweje wafanyakazi wajifanye busy, wakati alialikwa ? tumia akili na uache uongo kama wa godless lema
Mi niliandamana nae kwenye kiwanda kimoja ambacho aliaklikwa na uongozi kwamatatizo yao, lllakini wafanyakazi walitoka kama nyuki kuja kumshangilia na kumuahidi kura zao, hata wacthman akatulaumu kwa nini hatukuwaarifu ili waje hata walioko majumbani.
Kwakukufahamisha tu Dr.Batilda atapata zaidi ya asilimia 85 ya kura zote za arusha, na huyo mwizi, tapeli asiye na kisomo chochote asie na sera ila kutukana kwenye majukwaa tu na tena anatukana hata watu wasiogombea ubalozi wa nyumba kumi. Atuonyeshe cv yake kama anayo.
Chadema mmejinyonga wenyewe arusha hamna kitu mmefulia kwa sabuni ya punda, hamkuweza hata kufikiria huyu tapeli kumleta mji maarufu na nyeti kama huu. ALishawahi kupatikana na kesi ya ujambazi akiwa na watotowa mzee kileo hata mmoja wao alipigwa risasi akafa watu wote tulishuhudia hapo motuary, leo hii atamshinda nani hata wewe ungemshinda kwa kura. na alishawahi kupewa rushwa akafuta kesi mahakamani ya kushinda ubunge je unataka na sasa apewe rushwa aachie ubunge mmchelewa.
hasira hasiraaaaaaaaaaaaa agriiiiiiiiiiiiiiii hasira za nini ndugu!katika wazushi walio kubuhu wewe ni mwalimu wao, haijawahi kutokea kitu kama hicho kwa dr. Batilda Burian hata siku moja hasa viwandani. Kwa mtu wa kawaida asiyesoma anajua vizuri kuwa huwezi ingia viwandani kama haujaandaliwa na viongozi wao iweje wafanyakazi wajifanye busy, wakati alialikwa ? tumia akili na uache uongo kama wa godless lema
Mi niliandamana nae kwenye kiwanda kimoja ambacho aliaklikwa na uongozi kwamatatizo yao, lllakini wafanyakazi walitoka kama nyuki kuja kumshangilia na kumuahidi kura zao, hata wacthman akatulaumu kwa nini hatukuwaarifu ili waje hata walioko majumbani.
Kwakukufahamisha tu Dr.Batilda atapata zaidi ya asilimia 85 ya kura zote za arusha, na huyo mwizi, tapeli asiye na kisomo chochote asie na sera ila kutukana kwenye majukwaa tu na tena anatukana hata watu wasiogombea ubalozi wa nyumba kumi. Atuonyeshe cv yake kama anayo.
Chadema mmejinyonga wenyewe arusha hamna kitu mmefulia kwa sabuni ya punda, hamkuweza hata kufikiria huyu tapeli kumleta mji maarufu na nyeti kama huu. ALishawahi kupatikana na kesi ya ujambazi akiwa na watotowa mzee kileo hata mmoja wao alipigwa risasi akafa watu wote tulishuhudia hapo motuary, leo hii atamshinda nani hata wewe ungemshinda kwa kura. na alishawahi kupewa rushwa akafuta kesi mahakamani ya kushinda ubunge je unataka na sasa apewe rushwa aachie ubunge mmchelewa.
katika wazushi walio kubuhu wewe ni mwalimu wao, haijawahi kutokea kitu kama hicho kwa dr. Batilda Burian hata siku moja hasa viwandani. Kwa mtu wa kawaida asiyesoma anajua vizuri kuwa huwezi ingia viwandani kama haujaandaliwa na viongozi wao iweje wafanyakazi wajifanye busy, wakati alialikwa ? tumia akili na uache uongo kama wa godless lema
Mi niliandamana nae kwenye kiwanda kimoja ambacho aliaklikwa na uongozi kwamatatizo yao, lllakini wafanyakazi walitoka kama nyuki kuja kumshangilia na kumuahidi kura zao, hata wacthman akatulaumu kwa nini hatukuwaarifu ili waje hata walioko majumbani.
Kwakukufahamisha tu Dr.Batilda atapata zaidi ya asilimia 85 ya kura zote za arusha, na huyo mwizi, tapeli asiye na kisomo chochote asie na sera ila kutukana kwenye majukwaa tu na tena anatukana hata watu wasiogombea ubalozi wa nyumba kumi. Atuonyeshe cv yake kama anayo.
Chadema mmejinyonga wenyewe arusha hamna kitu mmefulia kwa sabuni ya punda, hamkuweza hata kufikiria huyu tapeli kumleta mji maarufu na nyeti kama huu. ALishawahi kupatikana na kesi ya ujambazi akiwa na watotowa mzee kileo hata mmoja wao alipigwa risasi akafa watu wote tulishuhudia hapo motuary, leo hii atamshinda nani hata wewe ungemshinda kwa kura. na alishawahi kupewa rushwa akafuta kesi mahakamani ya kushinda ubunge je unataka na sasa apewe rushwa aachie ubunge mmchelewa.
Leo majira ya saa 6 mchana, mgombea ubunge wa CCM Arusha mjini hakuamini kilichotokea pale alipofanya ziara yake ya kushtukiza, nia na madhumuni kuja kuwaomba kura kwa wafanyakazi wa kampuni ya kutengeneza nguo Sun flag, nikiwa ktk msafara huo viongozi walimpokea vizuri kasheshe alipofika kwa wafanyakazi, wafanyakazi walikuwa wapo buzzy na kazi zao huku wengine wakinyoosha ishara ya vidole viwili juu na kumkatisha tamaa mama wa watu kwa mapokezi ya kichovu. Na alipotaka kuongea nao walimwambia sisi ni mbayuwayu na ndege siku zote haongei. Hadi mwisho wa ziara yake hiyo alionekana kuchoka kwa huzuni.
Batilda Buriani!katika wazushi walio kubuhu wewe ni mwalimu wao, haijawahi kutokea kitu kama hicho kwa dr. Batilda Burian hata siku moja hasa viwandani. Kwa mtu wa kawaida asiyesoma anajua vizuri kuwa huwezi ingia viwandani kama haujaandaliwa na viongozi wao iweje wafanyakazi wajifanye busy, wakati alialikwa ? tumia akili na uache uongo kama wa godless lema
Mi niliandamana nae kwenye kiwanda kimoja ambacho aliaklikwa na uongozi kwamatatizo yao, lllakini wafanyakazi walitoka kama nyuki kuja kumshangilia na kumuahidi kura zao, hata wacthman akatulaumu kwa nini hatukuwaarifu ili waje hata walioko majumbani.
Kwakukufahamisha tu Dr.Batilda atapata zaidi ya asilimia 85 ya kura zote za arusha, na huyo mwizi, tapeli asiye na kisomo chochote asie na sera ila kutukana kwenye majukwaa tu na tena anatukana hata watu wasiogombea ubalozi wa nyumba kumi. Atuonyeshe cv yake kama anayo.
Chadema mmejinyonga wenyewe arusha hamna kitu mmefulia kwa sabuni ya punda, hamkuweza hata kufikiria huyu tapeli kumleta mji maarufu na nyeti kama huu. ALishawahi kupatikana na kesi ya ujambazi akiwa na watotowa mzee kileo hata mmoja wao alipigwa risasi akafa watu wote tulishuhudia hapo motuary, leo hii atamshinda nani hata wewe ungemshinda kwa kura. na alishawahi kupewa rushwa akafuta kesi mahakamani ya kushinda ubunge je unataka na sasa apewe rushwa aachie ubunge mmchelewa.
Heshima kwako Subira,
Mkuu mleta hoja anadai alikuwemo kwenye msafara wa Mama Dr Batilda sidhani kama anatudanganya naamini kasema alichokishuhudia mwenyewe labda kama anataka kufurahisha jamvi.Ni kweli Dr Batilda ana wakati mgumu sana kuliko alivyotarajia yamkini hakujianda na mikimiki ya uchaguzi yaelekea alilenga zaidi kumwangusha Felex Mrema akijua mbele ya safari nija itakuwa nyeupe.
Mkuu Subira Kasoro nyingi za mgombea wa CHADEMA nilishazileta hapa jamvini sina haja ya kuzirudia rudia ila nitaieleza kwa usahihi zaidi na kashfa ya mauaji ya raia watuhumiwa wa ujambazi mwaka 1998.
Mwaka 1998 yalitokea mauaji ya raia watuhuniwa wa ujambazi mikononi mwa jeshi la polisi.kashfa hii ilisababishwa kuundwa tume sikumbuki iliongozwa na nani muda umeshapita sana ila nakumbuka aliyekuwa RPC mkoa wa Arusha wakati huo kamanda Paul Ntobi alihamishwa.Miongoni mwa watu waliouwa ni Babu Kileo mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha ambaye pia ni mjomba wa Bwana Godbless Lema,Mwingine ni Amir Masumai mtoto wa mzee Masumai alimaharufu Mzee Ngereka [kuna mtaa karibu na stend kuu unaitwa mtaa wa Masumai wazee mujini].pia alikuwepo bwana mwingine akiitwa Joseph Kibosho mkuu wa mipango yote ya ujambazi wote kwa pamoja walikamatwa na baadaye waliuwawa mikononi mwa polisi.
Mipango yote ya ujambazi ilipangwa nyumbani kwa Mzee Jubilate Kileo wakati huo hakuwa na wadhifa wa mwenyekiti wa CCM.Bwana G Lema,marehemu Babu Kileo,marehemu Joseph walimfuata marehemu Amiri Masumai ambaye alikuwa akimiliki daladala nzuri [kipanki] yenye muziki mkubwa na kumshawishi ashiriki kwenye dili lao kwasababu gari yake ilikuwa katika hali nzuri hasa mbio.Bwana G Lema alitumia gari nyingine mambo yalipokuwa mabaya alifanikiwa kutoroka na kuwaachi marafiki zake wakiangamia mikononi mwa jeshi la polisi.
Bwana Lema alifanikiwa kukimbilia Mwanza na alirejea kimyakimya mwaka 2002 kwa gia ya ulokole akajiunga na shirika moja la dini linalijulikana kama KIMAHAMA.
Bwana Lema alipomtishia maisha msimamizi wa uchaguzi wa Arusha mjini kwa sisi tunaomjua vyema tulijua alikuwa anasema kitu kutoka chini ya uvungu wa roho yake.
anateseka sana huyu mama sasa hivi hapa Arusha!...Kwakweli anatia huruma!..anampigia magoti kila mtu!