Kuna taarifa kwamba mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Arusha mjini amepigwa na wananci wenye hasira baada ya kuonekana akifanya vitendo vinavyoashiria rushwa maqeneo ya Fire Arusaha, ambako kimsingi ndiko alikozaliwa. Taarifa hii imepatikana kwa kupigiwa simu na mdau aliyepo Arusha na ambaye pia ni kada wa CCM.
Tunaomba akina Ngongo na Paka Jimmy watutaarifu zaid kuhusu tukio zima, maana nasikia hata gari yake imeharinbiwa na tayari taarifa ziko polisi......
Poleni wote mlioathiriwa na tukio zima
Tunaomba akina Ngongo na Paka Jimmy watutaarifu zaid kuhusu tukio zima, maana nasikia hata gari yake imeharinbiwa na tayari taarifa ziko polisi......
Poleni wote mlioathiriwa na tukio zima