Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,235
Ngongo na Nyumbu,
Kama hizi taarifa ni za UONGO basi lazima MFUNGIWE MILELE na Computer zenu.
Jana nimeomba Wa 16 afungiwe. Ni ajabu tangu mwanzo nilianza kupata wasiwasi kuwa jamaa ni PANDIKIZI la CCM. Alianza kwa kujifanya ni CHADEMA na Mtetezi wa Slaa ila mwisho, akazidisha Chumvi kwenye Mboga. Wa 16 lazima afungiwe kwa kujiita yeye ni USALAMA WA TAIFA na ikibidi atafutwe hata kama yupo nje ya nchi.
Kama mtu anaandika hana uhakika basi aseme TETESI. Ila Ngongo kidogo ninaweza kuamini kwani amekuwa akisema mengi sana ya kumshambulia mgombea wa Chadema na yanakuja kuandikwa kwenye magazeti. Leo nashangaa kuwa yuko upande wa CHADEMA (kwa huruma tu). Au labda kwa sababu Uchakachuaji wa CCM unaweza kudhuru pia CUF? Maana imesemwa "... Adui wa Adui yako, ni Rafiki."