Kampeni ya kuikataa Vodacom

Kampeni ya kuikataa Vodacom

Kuna mobb inaendelea ambayo inahimiza kutotumia line ama service za vodacom.
Anayehimiza hivi ni either hana uelewe Wa namna mitandao ya simu inavyofanya kazi au anafanya makusudi.
Cha kwanza
Kama ni kweli Kua vodacom wanavujisha taarifa za wateja Kwa serikali au mtu mwingine yeyote Basi mitandao yote inavujisha.
Huwez kuhama mtandao mmoja kwenda mwingine na ukawa salama.
Njia pekee ya kuwa salama ni kutotumia cm au kuhama nchi.
Kwa Akili zenu nyingi nyie akina Lema na wengine , mnadhan kuhamia Tigo au ttcl ndio kukwepa serikal kukujua upo wapi ? Bulls*t.
Tumien Akili kidogo ,ndio maana mipango yenu inafail Kila mara, serikal watakuwa wanacheka sana ,namna mnavoshupaa kuwahimiza wananchi wahamie Tigo utadhan Tigo iko chini ya zra ya Zambia na sio trca ya Tanzania.
Wanahimiza watu Waende ttcl na Tigo utadhan haya makampuni yako Marekan na sio Tanzania East Africa.
Let me make this clear , hamia ttcl , Zantel ,blablah tel etc ,kama kweli watataka kukusikiliza Wala hatachukua hata sekunde 100.
La msingi mlitakiwa kuhoji kisheria,kua kama kweli vodacom hizi tuhuma ni za kweli ! Serikal kupitia tcra mbona haiiadhibu vodacom ?
Na kama tuhuma hizi sio za kweli Kwa vodacom mbona serikal pia ipo kimya ?
Am optimistic Kwa jambo Moja ,tunaweza kuwasakama vodacom na kumuacha mbaya wetu .
Si vodacom huyu huyu kiongoz wao mkuu alikamatwa Kwa ihujumu uchum?
Kama wako vizur na serikali hayo yangetokea ?
Huenda vodacom ni mhanga mkubwa Wa serikali hii.
Mchawi ni tcra ,atuambie je ni kweli wan rekod mazungumzo ya watu ?
Je ni kweli watu hao ni threat Kwa usalama Wa taifa Leo au ni threat kwa masilah ya siasa tu ?
Think think think, don't just jump kwenye mtumbwi wenye nyoka na kujirusha kwenye mto wenye mamba wenye njaa.

Hata wewe ni mjinga tu.
 
Ficha huu upuuzi Mkuu
 
Watz burula kabsa mimi naishi mavi ya kale natumia voda leo mwana siasa mmoja mjinga mjinga anishawishi nisitumie voda............

Ni ujinga wa kiwango cha Anga mwanasiasa ,mwasiana mtu ambaye sitakuja kumwamini hata kidogo ,hata aniambie na kuniamisha kuwa kesho atakufa sita mwamini nitamona mpumbavu tu......

Ni wivu tu...
 
Bahati mbaya siwezi kuhama voda pamoja na mspungufu yao internet yao ni bomba japo ni ghali sana.
Pigeni tu kampeni zitasaidia kuboresha huduma japo sihami voda nimewekeza sana
Kwasababu wewe sio mtu wa muhimu sana kwa nchi hii.
 
Kijana, kama hujui Lema alishawahi leta kampeni kama hii ikahanikizwa na kamanda wenu Mange na iliishia patupu,

Watanzania wa natumia laini za simu kulingania na huduma zao siyo kwa sababu na fulani anatumia,

Ilipikuja halotel wengi tume nunua laini yao sababu ya huduma zao kuwa nafuu! Wakizingua tu naachana nayo haijalishi ni mtandao gani. Huduma zao ndio zitaamua tuendelee kutumia au tupumzike, siyo sababu ya huo upuuzi wenu m

Unajua mgunduaji wa bulb alifanya majiribio mara ngapi mpaka kufanikiwa ? Sembuse huyo Lema na Mangi ambao wamejaribu mara moja tu. Siyo kila jaribio lazima lifanikiwe ka mara ya kwanza. Jielimishe mkuu usiwe kama watu wa lumumba
 
tuwanze kutumia rediocall sasa
Haisaidii. Unarekodiwa tu ukitakikana.

Sasa hivi kuna teknolojia ya kukurekodi hata kama hauna simu au kifaa chochote cha mawasiliano.

Soma kuhusu "directional microphones", "parabolic microphones".

Hatuna ujanja. Tuishi kwa usalama na amani na tusijiingize kwenye mambo yasiyo na tija.

Kwanini uogope kurekodiwa kama unaishi ki usalama na amani na maongezi yako hayana dhambi au madhara yoyote kwa yeyote?
 
Ndio maana kuna mambo yanaitwa faragha,hata kama ni ya kawaida na kistaarabu kwa wahusika wanaofanya hiyo faragha basi ikiwa public inakuwa tofauti!Hata tendo la ndoa ni faragha ya wahusika,ila inapokuwa hadharani tayari inakuwa na maana tofauti!
Kwa mfano maongezi ya Membe,kinana,Nape na Makamba yalikuwa ya kawaida ndio maana hakuna hatua za kisheria zilizochukuliwa,ila yamewekwa hadharani ili kuwaogopesha watu kuwa wanaingiliwa faragha zao!
Kwa mtizamo wa kisiasa,udukuzi huu unaweza kutumika kuwavunjia heshima wanaoonekana tishio kwa watawala kwa kukubalika kwao!
We fikiri Rais anajigamba hadharani kuwa anasoma sms za wateuliwa wake fulani na kuwa waache kugombana la sivyo atawatengua wote,hii ni nin????shame
 
Haisaidii. Unarekodiwa tu ukitakikana.

Sasa hivi kuna teknolojia ya kukurekodi hata kama hauna simu au kifaa chochote cha mawasiliano.

Soma kuhusu "directional microphones", "parabolic microphones".

Hatuna ujanja. Tuishi kwa usalama na amani na tusijiingize kwenye mambo yasiyo na tija.

Kwanini uogope kurekodiwa kama unaishi ki usalama na amani na maongezi yako hayana dhambi au madhara yoyote kwa yeyote?

Umenena vema FaizaFoxy
Kwa hakika huwezi ukakimbia mitandao kuhofia kurekodiwa. Nadhani katika jambo hili uwe smart enough kutambua tupo katika Dunia ya ngapi.
Wanao kimbilia Tigo,Airtel au Halotel je huko ndio kuna usalama?
Just think before you act
Nahisi walengwa wanachofanya ni kuharibu tu image ya Voda lakini kumbukeni Vodacom imeenea sana na ni hao hao wameingia mpaka vijijini tunakotumia M-pesa kwa ndugu zetu.
Mimi sioni umuhimu wowote wa jambo hilo kabisa.
 
Anyway huu uzi unanifurahisha sana

System imejitandaza kwenye mitandao yote ya simu hata ikibidi ile iliyopo nje ya tz

Hivi unadhani mfano ishu za kigaidi , eg traceable massacre diseases

Bila ku inflirt mawasiliano ya wati itakuaje , mitandao yote ipo under surveilance si voda pekee labda tuache kutumia simu

#mtanzania fikiri
 
No...mjinga ni wewe!

Mjinga kiasi kwamba unaona ni halali raia yoyote awaye yote no matter his or her position adukuliwe?

Mtu kua na cheo nchi hii kunamuondolea haki yake ya kutodukuliwa?Kisa?Kisa ana cheo?Kasema nani?Lipumbavu moja linaitwa Crimea?

Mwandishi mnyonge na mkewe ananyanyasika na simu yake kwa kosa gani?

Mimi nina private conversations na kiongozi yeyote pia anazo km mwanadamu yeyote yule!Kama alivyo mumeo Jiwe pia

Eti dunia nzima inafanya hivyo,umesema wewe!

Who cares what you or me say?

Hoja za kipumbavu ksbisa kuhalalisha udukuzi kwa watu no matter who they are!Unaweka exceptions wewe nani?Hata kama tukubali exceptions zako which are unjust,limits za hizo exceptions nani anajua hazivukwi?
Udukuzi unaofanywa kwa lengo la kubinya demokrasia ukatazwe

Ila nadhani hii kampeni itabidi ifanikiwe kutisha kampuni zingine kulinda maslahi za wateja
 
Haisaidii. Unarekodiwa tu ukitakikana.

Sasa hivi kuna teknolojia ya kukurekodi hata kama hauna simu au kifaa chochote cha mawasiliano.

Soma kuhusu "directional microphones", "parabolic microphones".

Hatuna ujanja. Tuishi kwa usalama na amani na tusijiingize kwenye mambo yasiyo na tija.

Kwanini uogope kurekodiwa kama unaishi ki usalama na amani na maongezi yako hayana dhambi au madhara yoyote kwa yeyote?
Labra warudi kwenye tech ya miaka ya 50 huko anyway haya mambo ni mazito bibi

Wewe unashauri nini kifanyike then
 
Wewe akili yako mbona ndogo kama ya panzi.Usifananishe akili yako ndogo na ya watu wengine.We unajua siasa ni nini kwanza.Ona unaloandika humu.Si uende hata Darasa la jioni labda litakusaidia.

Cha kushangaza hata mtandao unaozungumziwa hujui kuutumia.Nakuambia sasa kama ni ruzuku ulikuwa unapata huko tunataka usipate kabisa.Amini usiamini tutawahama tu.Hawawezi kuachia mawasiliano ya wateja yachezewe na wao wakae kimya.Eti wabaki kusema ni TCRA.

TCRA, Voda kwa Hoja zao Wanasema TCRA kwa jinsi ya kujitetea kwao,nimewaelewa kuwa TCRA waliweka mawasiliano ya mteja wao kwenye flush na kuanza kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.Kwa hiyo lawama zote za wateja wao zikabiliwe na TCRA. Hata hivyo Sasa naanza kuamini kuwa Vodacom wanahusika.Na kama hawausiki mbona hawajachukua hatua yoyote ya kuhakikisha mawasiliano ya wateja wao hayachezewi.Na hayo yaliyochukuliwa na kusambazwa bado wamekaa kimya.

Tutajua tu ila tuna uwezo mkubwa wa kuachana na Voda kama tulivyoachana na mitandao mingine miaka ya nyuma na mpaka Sasa hivi haipo.
Ukiwa mpumbavu utaendelea kuwa mpumbavu tu!

Mm nakushauri uache kutumia simu kabisa sababu hata huko unako taka kuhamia ukileta ujinga utafuatwa tu.

Hivi vikampeni vyenu huwa vinawashushia heshima sana!

Mngeanzisha kampeni kupigania tume huru ya uchaguzi mngeonekana wenye akili mno. Lkn si huu ujinga wenu ambao mnajua kabisa haufiki popote.

Na kwa taarifa yako watanzania wanaihitaji voda kuliko voda inavyowahitaji watz.
 
No...mjinga ni wewe!

Mjinga kiasi kwamba unaona ni halali raia yoyote awaye yote no matter his or her position adukuliwe?

Mtu kua na cheo nchi hii kunamuondolea haki yake ya kutodukuliwa?Kisa?Kisa ana cheo?Kasema nani?Lipumbavu moja linaitwa Crimea?

Mwandishi mnyonge na mkewe ananyanyasika na simu yake kwa kosa gani?

Mimi nina private conversations na kiongozi yeyote pia anazo km mwanadamu yeyote yule!Kama alivyo mumeo Jiwe pia

Eti dunia nzima inafanya hivyo,umesema wewe!

Who cares what you or me say?

Hoja za kipumbavu ksbisa kuhalalisha udukuzi kwa watu no matter who they are!Unaweka exceptions wewe nani?Hata kama tukubali exceptions zako which are unjust,limits za hizo exceptions nani anajua hazivukwi?
Wewe akili zako zilishafungiwa kwenye box hapo ufipa ndio maana haya mambo ni makubwa mno kwako kuyaelewa!

Kukusaidia tu acha kabisa kutumia simu
 
Haisaidii. Unarekodiwa tu ukitakikana.

Sasa hivi kuna teknolojia ya kukurekodi hata kama hauna simu au kifaa chochote cha mawasiliano.

Soma kuhusu "directional microphones", "parabolic microphones".

Hatuna ujanja. Tuishi kwa usalama na amani na tusijiingize kwenye mambo yasiyo na tija.

Kwanini uogope kurekodiwa kama unaishi ki usalama na amani na maongezi yako hayana dhambi au madhara yoyote kwa yeyote?
Mbona huvui nguo hadharani? Mwili na viungo si ni vyako!?
Sii bure utakua umeambukizwa ugonjwa wa zinaa ya akili (ujinga)
 
Back
Top Bottom