Kampeni ya kuikataa Vodacom

Kampeni ya kuikataa Vodacom

Mitandao yoote inayo tumia 4G na 5G ndiyo uwezo mkubwa Sana kudukuliwa. Voda tunawaonea bure. Kama mnakumbuka wakati jiwe akifungua kituo Cha kufuatilia matumizi ya serikali. Alisema jinsi alivyo wa weka wizara moja wadada vulani
 
Kuwaonea bure kivipi wakati wamekiri hadharani? Kwamba eti wanatii maigizo ya serikali ni stupid excuse kwa sababu na wenyewe wana wajibu wa kulinda faragha ya wateja! Voda wangekuwa na hoja ya msingi endapo suala lenyewe lingekuwa linahusu issues za kiusalama na sio issues za mtu kuogopa kupingwa kwenye uchaguzi!
 
#VodacomBlackSaturday

Ni tarehe 3/08/2019 kususia Mtandao wa voda, kwa wenye laini ya Voda msipige wala msipokee namba ya Voda, hata internet siku hiyo hatutatumia.

Lengo ni kuonesha kutoridhishwa kuvujishw na kuingiliwa kwa matumizi mteja.

Say NO to @VodacomTanzania https://t.co/z6MVTJSWBi
 
Kuna lifanyakazi LA voda lilivujisha mawasiliano yangu kwa aliyekuwa boyfriend wangu, likafanya hadi nikaachwa.
Mmmmxew yamekaa kimbea mbea Sana, hayana siri.
 
Kuna lifanyakazi LA voda lilivujisha mawasiliano yangu kwa aliyekuwa boyfriend wangu, likafanya hadi nikaachwa.
Mmmmxew yamekaa kimbea mbea Sana, hayana siri.
du pole sana aisee, kisa kapewa hela, aisee daah, pole sana dear,
 
Kususia kwako hakuna athari zozote ni sawa na kutishia kuchota ndoo moja ya maji kwenye bahari eti utaikausha bahari.
mkuu usiseme hivyo, mkuu we unadhani tukisusia wote ni watz wenzetu ndio watakaoathirika, wenyewe watahama tu na kwenda nchi nyingine ila watayumba sana, voda sio bahari, voda ni kijito tu, kukaushwa ni mara 1, ila na wao kwanini wafanye hivyo na nimesoma historia yao, wana historia mbaya sana ya kuvujisha siri za wateja,
 
Sidhani kama ni voda tu, mitandao yote kwa sasa imeunganishwa kwa ajili ya usalama,na ukitoka toka kimya kimya sio mpaka sisi huku tujue,Me binafsi natumia voda na nitaendelea kutumia kama kawaida na daima tusikubali kuongozwa na hisia fulani,fikiria kabla ya kutenda
mtekaji mkubwa, wacha tuje tumteke mwanao kisha upige simu voda uambiwe kuna mkubwa kazuia mawasiliano yako yasitoke ndio utaona utamu wa hii kitu,
 
Toa huu uchafu hapa! Kwa umuhimu gani ulio nao mpaka uhangaike hivyo?

Kwa akili yako hiyo end to end ndio ulinzi?

Wewe ukileta ukuda unadakwa kama panya tu, sema hapo ulipo unajiona uko salama coz hakuna mtu wa kuhangaika na wewe kwa kuwa huna cha maana.

Narudia tena hivi vi kampeni vyenu uchwara Mngeanzisha kupambania tume huru ya uchaguzi!

Sasa utashangaa 2020 mnakuja kulialia hapa sababu ya kukosa maono.
Niache kutumia simu,says who?

Crimea?

Get tha fvck outta here!

Watu tuna end-to-end encryption,sio wewe unatumia basic level com!

Watu hatulingani,jilinganishe na hewa wenzio!

Tuseme mimi wa Ufipa,wewe wa Lumumba,still you are broke living!

Upo serikalini na unampa B-job Jiwe kila siku ila you in hell hole still!

When are you coming out that hell hole shining and glistening like us free agents?
 
#VodacomBlackSaturday

Ni tarehe 3/08/2019 kususia Mtandao wa voda, kwa wenye laini ya Voda msipige wala msipokee namba ya Voda, hata internet siku hiyo hatutatumia.

Lengo ni kuonesha kutoridhishwa kuvujishw na kuingiliwa kwa matumizi mteja.

Say NO to @VodacomTanzania https://t.co/z6MVTJSWBi
Haya mtafanya wewe na familia yako!

Msifikiri watz wote ni mazwazwa ya kisiasa
 
Back
Top Bottom