Hakuna aliye salama hata wewe wana siri zako wanasubiri siku ya kuzitumia.Kwanini wadukuliwe wao na sio wewe
Hakuna aliye salama hata wewe wana siri zako wanasubiri siku ya kuzitumia.Kwanini wadukuliwe wao na sio wewe
Kuna kuombwa taarifa za MTU kwa kufuata sheria,SERIKALI LAZIMA IENDE MAHAKAMANI ILI KUPATA KIBALI,lakini kwa sababu serikali ndiyo inaongoza kwa kuvunja sheria Mara ngapi polisi wanapekua Nyumba za watu bila kibali cha mahakama wakati sheria inasema hivyo.Kwa hyo mitandao mingine ikiombwa hzo taarifa na serikali, huwa wanakataa?
Kwa speed, hakuna anaye mgusa vodacom mzee.. Hata tubishane mpka kesho.Halotel GB1 na mameseji kibao na dakika kwa 1000 week nzima, halafu speed ya kufamtu... GB 1 voda unanunua shngap?
Mimi namalizia bando Leo naachana naona kesho.Tatizo la Vodacom washajiona wana customer wengi,wamekua na kiburi,hakuna tena kujali wateja wao,wao ni kupandisha bei ya mawasiliano yao na kuwaibia wateja wao tu.hawa ni kuachana nao tu
Kumbe wa kulaumiwa sio network provider (vodacom). Tulaumu ubabe wa serikali yetu.Kuna kuombwa taarifa za MTU kwa kufuata sheria,SERIKALI LAZIMA IENDE MAHAKAMANI ILI KUPATA KIBALI,lakini kwa sababu serikali ndiyo inaongoza kwa kuvunja sheria Mara ngapi polisi wanapekua Nyumba za watu bila kibali cha mahakama wakati sheria inasema hivyo.
Mkuu Arusha na Kilimanjaro wengi ni Vodacom,pamoja na hayo kupanga ni kuchagua kesho Lema anaanza kampeni juu ya hawa watu make naye ni Mhanga.Hivi kuna watu bado wanatumia voda?
Uko mkoa gani mkuu?
Kupitia mtandao wa twitter,kuna kampeni imeanza ya kuikataa kampuni fulani ya simu kwa tuhuma za kuvujisha siri za wateja wake.
Watu wameaandika jina la kampuni na nembo ya kiana na kisha kupiga mkasi wa mstari mwekundu.
Tutaeshimieni tu.
Bado tu unatumia voda?
Unataka ushahidi gani?
Watu wanatekwa na serikali tuliyoipa dhamana yote kuhakikisha hawa watu wanashikwa hawashikwi,then wewe unategemea ushahidi gani?
Ninawashwa kwenda jela ya mama yako?
Hivi nini kinawapa kiburi namna hii mpaka unafikia kutoa hukumu eti natakiwa kwenda jela as wewe ni jaji tayari?
Kuna wadudu washaharibu bongo zenu!
Ni juu yao kukulinda mteja,wao wangedai kibali cha mahakama ilikuwa simple tu,kumbuka Kesi ya Max Melo walitaka kufanya kama walivyofanya kwa Vodacom,jamiiforum wakagoma sasa kesi iko mahakamani kila siku inaahirishwa,ni wajibu watu kuikumbusha serikali kutii sheria bila shuruti kama inavyotaka RAIA wafanye hivyo.Kumbe wa kulaumiwa sio network provider (vodacom). Tulaumu ubabe wa serikali yetu.
Kwahiyo situmii Vodacom, unataka nnKwahiyo?
Ben Saanane yuko wapi?Uhalifu lazima ufatiliwe
Basi hata benki zingefungiwa kwa kutoa siri ya viroba vya sandarusi na vijisenti vya mboga,kama kukataa kataa mwenyewe na siri gani hizo,kama unataka kuisaliti serikali utadukuliwa hata isipokuwa Voda,mara nyingi muovu huogopa hata kivuli,pia kudukuliwa mawasiliano si lazima yadukuliwe kutoka Vodacom tu hata kwenye kompyuta watu hudukuwa hao ndio hackers,kuwalaumu Vodacom ni kuwaoneaMi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda