Kampeni ya kuikataa Vodacom

Kampeni ya kuikataa Vodacom

Mimi hawa mbweha nimewahama,nimekula mkopo mpawa 148,000/= kwa line mbili tofauti nilizokuwa nazimiliki nimekopa nipige tafu jumla 11,000/= nilisajili kwa kitambulisho cha chuo kilichokosewa jina,Nimehana nipo naenjoy na halotel na tigo
Hata mimi nimewachapa laki 1.5 m pawa nimeshasepa zangu ttcl
 
Itafikia mahali hata wanao soma sana comments za kukosoa nao wanatekwa
 
Watu wasiofikiria ndio wanakua na double standards kama wewe!

Eti watu wawili tu ndio wamedukuliwa basi isiwe taabu sababu ni wawili tu!

Hebu tuambue mwa utashi wako ulitaka idadi ya watu wangapi?Mia moja,elfu moja?Umetumia kigezo gani to arrive to that imaginary number?

Ni watu,na wamedukuliwa na bado hao wengine ambao hawajaripoti ni watu pia!

Eti Voda ni maji!

Kwavile ni maji ndio ishirikiane kufanya ukatili?Tuna options za mitandao chungu nzima!

Na currently Tigo is overtaking Vodacom,go check the figures!

Na kingine tushajenga chuki na brand,hiyo ni hatua!

Vodacom did a very depressing act of blocking innocent journalists numbers just because serikali said so!

Such an evil company!

Halafu mtu mzima mwenye akili timamu unakaa mbele ya jamii unatetea jitu lionevu kama serikali na jitu evil kama Vodacom walichofanya kwa mwandishi habari aliekua anatimiza wajibu wake kitaaluma?

Badala ya kutetea mnyonge,you dont see that,unatetea lucifer and his assitant Vodacom,hivi wewe ni mtu wa aina gani?
Acha ujinga wewe! Nakuuliza wakudukue wewe una kipi? Wamedukuliwa wenye nafasi zao, na bado watadukuliwa hata wakihamia sijui mtandao gani, hizo ishu zipo dunia nzima, muulize hata Lisu.

Sasa wewe ambae kila siku maongezi yako ni kuulizia mihogo yako shamba I inaendeleaje nawe eti unasusia lain Kuigopa kudukuliwa?

Hivi vi kampeni uchwara vyenu Vunavyoishaga bila matokeo chanya huwa vinawaaibisha sana!

Hizi kampeni Mngekuwa mnaanzisha kudai tume huru ya uchaguzi Mngeinekana mna akili sana.

Narudia tena, wateja wa voda wanamtegemea voda kwa huduma zake siyo kwa sababu watu flani wa natumia voda.
 
Hivi kasi ya internet ya voda mnaifahamu vizuri?

Pungueni tu tuliobaki tupate ma 4G ya hatari.
 
Ona huu ujinga yani umeshabebwa na mazwazwa ya kisiasa tayari?

Wewe una siri gani Mpaka voda wahangaike kuliweka hadharani?

Pumbavu kabisa! Basi usitumie simu kabisa, maana kama una baya lolote utapatikana tu.

Mm siwezi kuhangaika eti nisuse mtandao kisa huo ujinga wenu wa siasa. Hivi kwa akili yako unafikiri kuna mtu anahangaika na kufuatilia kutongazana kwako kila siku na kina mwajuma.?
Wewe akili yako mbona ndogo kama ya panzi.Usifananishe akili yako ndogo na ya watu wengine.We unajua siasa ni nini kwanza.Ona unaloandika humu.Si uende hata Darasa la jioni labda litakusaidia.

Cha kushangaza hata mtandao unaozungumziwa hujui kuutumia.Nakuambia sasa kama ni ruzuku ulikuwa unapata huko tunataka usipate kabisa.Amini usiamini tutawahama tu.Hawawezi kuachia mawasiliano ya wateja yachezewe na wao wakae kimya.Eti wabaki kusema ni TCRA.

TCRA, Voda kwa Hoja zao Wanasema TCRA kwa jinsi ya kujitetea kwao,nimewaelewa kuwa TCRA waliweka mawasiliano ya mteja wao kwenye flush na kuanza kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.Kwa hiyo lawama zote za wateja wao zikabiliwe na TCRA. Hata hivyo Sasa naanza kuamini kuwa Vodacom wanahusika.Na kama hawausiki mbona hawajachukua hatua yoyote ya kuhakikisha mawasiliano ya wateja wao hayachezewi.Na hayo yaliyochukuliwa na kusambazwa bado wamekaa kimya.

Tutajua tu ila tuna uwezo mkubwa wa kuachana na Voda kama tulivyoachana na mitandao mingine miaka ya nyuma na mpaka Sasa hivi haipo.
 
Mwenye jeuri ya kuwakazia mamlaka kulinda faragha ya wateja wake hapa bongo ni Bw. Melo tu.

Makampuni ya simu ni massive entities zenye many shareholders na hitaji lao kubwa ni kupiga pesa! They do not sell privacy.

A spat with the government in a lawless country like ours is simply bad for business! Hakuna, narudia hakuna mtandao wenye jeuri ya kukataa amri ya serikali na vyombo vyake vya dola as long as haiathiri biashara yao.

This is simply a coincidence kuwa maongezi yaliyokuwa released to the public na hizo line zilizofungiwa zote ziko kwenye mtandao wa Vodacom.

Ila hao wahusika wangekuwa wanatumia mtandao wowote ule the effect would have been the same.

Mwisho, ifahamike kuwa kosa lililofanyika ni kuyaachia yale maongezi hadharani. Na hilo halijafanyika na Voda.

Kurekodi maongezi ya simu is part of day to day operations. Waulizeni waajiriwa wa hiyo mitandao. I heard wanakuwa recorded constantly.

N.B: Polisi kitengo cha cybercrime kisingekuwepo kama kusingekuwa na sheria za kulazimisha mitandao ya simu kutoa ushirikiano. So unavyofurahia kumkamata aliyekutapeli/aliyekuibia simu/pesa mtandaoni chap kwa cybercrime ujue kuna wanao misuse huo upenyo.
 
Mi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda

Ukiwa na halotel au airtel ndio hutadukuliwa? Tuache masihala kwenye mambo ya hatari
 
Mwenye jeuri ya kuwakazia mamlaka kulinda faragha ya wateja wake hapa bongo ni Bw. Melo tu.

Makampuni ya simu ni massive entities zenye many shareholders na hitaji lao kubwa ni kupiga pesa! They do not sell privacy.

A spat with the government in a lawless country like ours is simply bad for business! Hakuna, narudia hakuna mtandao wenye jeuri ya kukataa amri ya serikali na vyombo vyake vya dola as long as haiathiri biashara yao.

This is simply a coincidence kuwa maongezi yaliyokuwa released to the public na hizo line zilizofungiwa zote ziko kwenye mtandao wa Vodacom.

Ila hao wahusika wangekuwa wanatumia mtandao wowote ule the effect would have been the same.

Mwisho, ifahamike kuwa kosa lililofanyika ni kuyaachia yale maongezi hadharani. Na hilo halijafanyika na Voda.

Kurekodi maongezi ya simu is part of day to day operations. Waulizeni waajiriwa wa hiyo mitandao. I heard wanakuwa recorded constantly.

You nailed down well. Tusiwaonee Vodacom. hakuna mtandao usiodukuliwa hapa Tanzania
 
Voda ndio mtandao namba moja Tanzania acheni kudanganyana nyie vijana.
Sheria inawalazimisha mtandao wowote kuingilia mawasiliano ya mteja kama yanatia shaka kiusalama popote mtapokimbilia mtanyooshwa kama mnaleta upumbavu.
Hujafanya utafiti wa kutosha broo siku za usoni.Utafiti mdogo sana waulize wauzaji wa vocha za Voda. Utajua tu na utaelewa.Hakika usitudanganye sio namba Moja.

Hatujakataa mawasiliano kuwa interrupted na TCRA.Kwa nini Sasa yaanikwe kwenye mitandao ya kijamii.Ina maana ndiyo lengo lao TCRA kama wanavyodai voda? Mimi siamini hivyo.Kwa hili VODACOM kwaherini tu.
 
Wajinga tu ndiyo mna chukua maneno. Vodacom imeshauzwa kwa Vodaphone na sio kampuni ya Tanzania. Kuna share chache sana ziliuzwa pale DS exchange lakini wachache walinunua lengo la Magu ilikuwa ukiuza stock kwa uma inabidi uripoti kwa uma mapato hivyo lengo ni kodi sio share. Rostam alikuwa na share Vodacom lakini aliziuza kwa Vodaphone kabla ya 2015 na kumfanya awe $Billionea
Acha kutudanganya.Hatudanganyiki tena.
 
MNGEANZA NA UDUKUZI WA KUBENEA NA KOMU ULIOWAFANYA WAVULIWE MADARAKA,HAPO MNGEKUWA NA HAKI YA KUPIGA KELELE LAKINI KWA KUWA MNA UGONJWA WA KUSAHAU ENDELEENI KUJAZA SERVER ZA MAXENCE
 
Mi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
Kwa vocha yako ya 500 kwa miezi 6 bora uende tu
Hakuna mtu mwenye akili timamu akavunja line yake kisa chadema,mnajipa stress tu huko muendako mkaibiwe miamala mingine inase wiki hujapata pesa ndio mtatia akili
 
Back
Top Bottom