Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,791
Nakuunga MkonoMi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
Vodacom wamekuwa wezi sana
Halafu hivi vifurushi vya cheka na kaskazini ofa vikoje? Wenzangu wakitoa 1500 wanapata dakika za kutosha za wiki nzima, lakini kwangu ni dakika 70 tu
Kulikuwa na huduma ya Jimwage na cheka huku Mwanga KLM, sasahv wameondoa na kuwafanya watu warudi tigo na line zingine
KWANINI WANATOFAUTISHA HUDUMA KWA WATEJA?
Tangu mwezi wa 6 mwanzoni nimekuwa nikitumia tigo zaidi.
Nitawahama hawa Voda wallah.