hawa wahuni wamekopa vifurushi ni ''defaulters''View attachment 1167901
Hii ni hatari sana kibiashara , taarifa zinadokeza kwamba waliochukua hatua hii ni mamia kwa maelfu
😀 😀 😀 😀 😀 😀Kuikimbia Vodacom na kwenda TTCL ni sawa na kuruka mkojo...
Yaani Jana kanijia mtu wa Siku nyingi ambaye tunajuana sana kahitaji msaada mmoja ila kavaa kofia ya kijani imeandikwa Chagua CCM.Si walisema ilikuwa ya ccm... .
Inawezekana kabisa kuwa bado ina miiko ya ccm.
Watu walishachoka kila kitu kinachohusu ccm.
Ubaya UbayaMguu wa shingo mguu wa roho

Msipotoshe,issue sio kurekodiwa,issue ni kutoa/kuvujisha mawasiliano ya wateja kinyume na sheria taratibu tena kwa masilahi yenye mwelekeo wa kisiasa.Kwepeni zote.
Hakuna kampuni ambayo wateja wake hawarekodiwi.
Mkuu, usemalo ni kweli but fanya utafiti upya, airtel money inakua kwa kasi ya ajabu sana sasa hivi; binafsi nina mwezi 2 hu sinunui kabisa vocha zao hawa jamaa, sababu yangu ilikua ni wizi, lilipo ibuka suala la udukuzi ndio kabisaaa, nimewafutilia mbali. Mke wangu mwenyewe nae nimemnunulia line ya airtel, Maisha yanasongaHakuna mwenye ubavu wakukimbia mtandao kama voda watu wanaongea tu lakini sio rahisi hivyo mpesa haikwepeki lakini pia kabla mtu hajakutumia atahitaji kuongea na wewe kwanza
Inamaana kampuni kubwa kama vodacom wanazidiwa na JF?Mnawaonea voda, ikiwa maagizo yanatoka juu nani wa kupinga?