BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,682
- 3,406
Yani huyu kwa uroho wa madaraka inafikia hatua anatamani siku moja aamke akute tanzania imezama haipo tena.Ngoma inogile!
Hapo pia kuna uwezekano wa nchi moja moja kuja na maamuzi yake mbali na yale yatayokubaliwa na EU...
Alivyo mjinga na mpumbavu anashindwa kutafakari je tanzania ikizama yeye atakuwa wapi?
Tamaa ya madaraka imemtoa ufahamu kabisa mbwa huyu.