Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Ngoma inogile!

Hapo pia kuna uwezekano wa nchi moja moja kuja na maamuzi yake mbali na yale yatayokubaliwa na EU...
Yani huyu kwa uroho wa madaraka inafikia hatua anatamani siku moja aamke akute tanzania imezama haipo tena.

Alivyo mjinga na mpumbavu anashindwa kutafakari je tanzania ikizama yeye atakuwa wapi?

Tamaa ya madaraka imemtoa ufahamu kabisa mbwa huyu.
 
Haya mambo sio ya kushabikia kabisa kwa kuwa yanaweza kuwa na madhara hata kama uwe mpinzani, uwe mtawala, uwe mtawalia
 
Kazi ya Maria Sarungi inaleta matunda naona. Ila kama taifa tutaumia wa hali zetu, hao viongozi wala hawataumia.
 
Demokrasia ipi iliyominywa?

Watu walifanya kampeni lakini kura hazikutosha kwahiyo wajipange kwa 2025.

Tunajua kukosa mkopo ni taabu ila wasitulazimishe kuwa watumwa wao. Walijipanga kuiongoza Tanzania kupitia vibaraka wao sasa wameukosa urais ishakua nongwa

Hawataki tuwaache wakae na pesa zao. Sisi tukitaka mikopo tutaenda kwa marafiki wa utotoni China hata Korea.....tutaokoteza okoteza lakini hatutakufa!

Na baada ya hapo wasitujue sisi wala mali zetu
 
Wewe ni mkubwa wangu ila huna akili kama unaamini Lissu alishinda una tatizo kubwa na akatangaza maandamo bado ukabwekeaa kwenye simu yako hukutoka hata njee shidaa unayo kubwa mnoo kwenye bichwa lakooo
Jitahidi kujikita kwenye mada husika bwana mdogo. Kama hukuona wizi uliofanyika, basi kichwa yako haiko sawa.
 
Hii serikali vipi,
Pesa za vitambulisho vya machinga zinapaswa zirudi kwa sababu vilitolewa bila risiti wala anwani ya anaepewa.
Pili, za kovid19 maana Tanzania hakuna korona kwa yale maombi ya siku tatu.
 
Watanzania tunajivunia kuwa na magufuli wanao leta chokochoko hao watashindwa na kulaanika Mana hawana nia njema na taifa la Tanzania jamani jamani jamani tusikubali kugawanywa na kurudi nyuma kaendeleo bali sote kwa pamoja tusonge mbele bila kuogopa
Watanzania tulimkataa Magufuli. Akajichagua kwa Kura za kwenye mabegi.
 
Back
Top Bottom