Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,582
- 46,180
Kamati kuu imesema mnaosema Corona ni 666 mchukuliwe hatua.
Kidumu Chama Cha Mapindunzi
CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kidumu Chama Cha Mapindunzi
CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Binadamu sote TUNAPITA duniani....Mwenye Dunia Anawachukua Mmoja Mmoja Halafu Hawakomi
Hapana....Mama kavalia barakoa kidevuni au macho yangu tu ndio sioni vzr?
Saaa kama ni hiari kwann unawalazimisha watu wasichaje na ukizingatia yeye ni kiongozi wa dini( japo sina uhakika kama kweli)Naona wanamtafutia angle Gwajiboy,
Wanasema anapotosha wakati huo huo wanasema chanjo ni hiari!
Huo upotoshaji wa Gwajima unatoka wapi ikiwa anachokikosoa Ni hiari ya mtu kukipata?
Sure am telling you, this process will no longer be under person's willing, it's going to be a must!!..
Japo Mimi simuamini Gwajima Kama mtumishi wa Mungu Bali Kama mtanzania tu.
Kuna yule waziri mstaafu wa maliasili na utalii ( kigwangala) eti anahimiza watu wawahi kuchanjwa kwa kuwa chanjo ni milioni moja (only 1 million vaccines) ili wasikose, najiuliza hivi ubongo wa huyu jamaa upo sawasawa? Hata tukijitolea siku moja sote tuchanjwe zitatosha
This is a big dilemma
Mwenye nguvu hachagui uwanja wa kupigania.Ije katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kama ccm hujaikuta 'vyumba vya kuhifadhia miili'
Mtaanza kulana mda si mrefu
Heheheeeee ndio maana nimekuambia una uwezo wa kusikia, kuandika, kuongea na kusoma tuu, ila uwezo wako wa kuelewa ni sifuri yaani zeroKamati kuu imesema mnaosema Corona ni 666 mchukuliwe hatua.
sisi ndiyo chama DOLA- mkiwa nanyi karibuni kwa sasa bakini huko kwenye nchi yenu ya TWITTER na mfalme KIGOGOKamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM ndani ya ikulu! Si wanadai wana ofisi lumumba kwanini wasiende huko? Alafu samia karudi Dar bila kupepesa macho.
Wanaweza kufanyikia vikao vyao hata BOTCCM wanainjoi hii nchi aisee.. Dah... yani hakuna kuvunjiwa mlango wala kuitwa gaidi...
Napendekeza tufute vyama vyote tubaki na amani
Pesa itapigwa huko kwa njia ya kununua dawaNaona wanamtafutia angle Gwajiboy,
Wanasema anapotosha wakati huo huo wanasema chanjo ni hiari!
Huo upotoshaji wa Gwajima unatoka wapi ikiwa anachokikosoa Ni hiari ya mtu kukipata?
Sure am telling you, this process will no longer be under person's willing, it's going to be a must!!..
Japo Mimi simuamini Gwajima Kama mtumishi wa Mungu Bali Kama mtanzania tu.
Kuna yule waziri mstaafu wa maliasili na utalii ( kigwangala) eti anahimiza watu wawahi kuchanjwa kwa kuwa chanjo ni milioni moja (only 1 million vaccines) ili wasikose, najiuliza hivi ubongo wa huyu jamaa upo sawasawa? Hata tukijitolea siku moja sote tuchanjwe zitatosha
This is a big dilemma
Wanachelea nini kumshughulikia yule mfufua maiti? Yaani kamtukana raisi na wao wako kimya tu!!!!
TAARIFA KWA UMMA
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuruhusu chanjo ya virusi vya ugonjwa wa korona (UVIKO 19) Kutolewa nchini na yeye kuwa mfano wa kukubali kuchanjwa ikiwa ni udhibitisho wa usalama wa chanjo hiyo.
Uamuzi wake umetajwa kuwa ni kielelezo cha upendo na uzalendo mkubwa alionao katika kujali afya za watanzania na ni hatua nzuri ya Tanzania kuungana na dunia katika kukabiliana dhidi ya UVIKO-19, pia ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020 - 2025 Ibara ya 83(o) na 84.
Kamati Kuu imeelekeza kuanza kuchukuliwa hatua kwa wale wote wanaokiuka mienendo, taratibu na kanuni za maadili na uongozi kwa mujibu wa katiba ya Chama Cha Mapinduzi.
Aidha Kamati Kuu imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi ambapo Ndugu Gilbert Kalima Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania na Dkt. Philis Nyimbi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT).
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Itikadi na Uenezi
29 Julai, 2021.
View attachment 1873394
View attachment 1873395
View attachment 1873397
View attachment 1873398
View attachment 1873399
View attachment 1873400
View attachment 1873401
Hivi mama d ichi chama kipo kweli tz, ?Kidumu Chama Cha Mapindunzi
CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tulia muda sio mrefu kitaumana
CCM huwa ni moja....haifarakinishiki bwashee!
#KaziIendelee
Weeeeee......! Wacha hizoKibwetere Matagalism wajiandae.....
Hivi huu haukuwa mkusanyiko?