Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
23,427
2,000
Naona wanamtafutia angle Gwajiboy,
Wanasema anapotosha wakati huo huo wanasema chanjo ni hiari!

Huo upotoshaji wa Gwajima unatoka wapi ikiwa anachokikosoa Ni hiari ya mtu kukipata?

Sure am telling you, this process will no longer be under person's willing, it's going to be a must!!..

Japo Mimi simuamini Gwajima Kama mtumishi wa Mungu Bali Kama mtanzania tu.

Kuna yule waziri mstaafu wa maliasili na utalii ( kigwangala) eti anahimiza watu wawahi kuchanjwa kwa kuwa chanjo ni milioni moja (only 1 million vaccines) ili wasikose, najiuliza hivi ubongo wa huyu jamaa upo sawasawa? Hata tukijitolea siku moja sote tuchanjwe zitatosha

This is a big dilemma
1627648069485.png
 
mandawa

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
283
250

..kweli watanzania tuko kwa dilema..maana taarifa ni nyingi mno hata hujui nani mdema kweli...mimi kinachoniaminisha kuwa hapa kuna lingo...longo..ni pale matakari wa ulaya walisema Convid 19..is man made pandemic...so ukijiuliza nia na lengo nini la kuleta maradhi haya...napata shaka...ila kwa Kigwangala mi namuona ni wale watu wasiopenda kufutika..hata kama zama zao zimefutika. Anapandia mahali atapata kiki fasta...unfortunately..he is no longer influence..anademka tu!
 
mazagazagatza

Senior Member
Jul 15, 2021
105
225
Wewe na Gwajima mna akili fupi. Kama hutaki chanjo ndio utumie uongo kudanganya vilaza wenzako? Anawaambia watakuwa ma-zombie wapi aliwahi kusikia au kuona zombie hapa duniani? Yani alivyo kilaza anatazama Hollywood kinachoigizwa kule anajua kipo in reality siku nyingine atawaambia watakuwa dragon au vampire

Huyo Kigwangala unayemsema hapo kakosea nini?
Chanjo zimetoka milioni 1, Watanzania ni kama around milioni 60 hapo napo huelewi. Chanjo za msaada, zikiisha uwezekano wa kusubiria ziletwe sio leo wala kesho na corona hapo haimsubiri mtu.

Mimi sichanjwi ila siwezi kuwa mpumbafu kama matahahira mashabiki wa Gwajima ambao hawana bases zozote za kukataa chanjo. Utasikia wanasema mara 666 mara zombie mara watauwawa wachukuliwe rasilimali zao. Mzungu gani ana muda mchafu wa kuua watu wanaovaa chupi za mitumba na kunya porini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom