Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,076
2,000
Yaani wanavunja kanuni na sheria zetu waziwazi kwa kutumia rasilimali za wote kwa manufaa ya chama chao halafu hawaoni hata aibu. Sisi bado sana. Hata ustaarabu tu wa msingi HATUNA!
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,111
2,000
Wanataka kumuwajibisha mwanachama wao? Hayaa!, mbona angejibiwa na mwanachama mwenzake mmoja tu mwenye hadhi sawa na yake? Ya nini chama kumshughulikia mapema wakati hali ya mambo iko sawa tu? Huko ni kumpa credit endapo hali ya mambo itaenda mrama maambukizi yakaongezeka huku watu wamechanjwa wengi
Intruder hawezi kuwapandia kichwani...2025 itakuwa kazi ngumu kwa mama akimuacha...aliwe tu kibali kanisa tuna revork.....akaanze upya mwanza huko kibali kipya
 

mnyoriii

JF-Expert Member
Apr 18, 2020
249
250
Kamati kuu ya Chadema iliwapiga chini kina Halima Mdee pamoja na kwamba walikuwa ni wazuri saana ktk kujenga na kutetea hoja.
Mimi ni M ccm sioni sababu kamati kuu ya chama changu isimpige chini Askofu Gwajima kwa kauli zake kuhusu Corona
Kwa nini chadema waweze sisi tushindwe
PIGA CHINI ASKOFU GWAJIMA NOW NOW.
 

maiyanga1

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,029
2,000
Kamati kuu ilipongeza aliyeenda alipokataa chanjo, Kamati kuu inapongeza aliyepo kukubali chanjo.
Akili za kushikiwa.
 

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
12,798
2,000
Kupongeza kila kitu ni asili yao ccm, Mwendazake alipopinga hizi chanjo walimpongeza mno, Mama SSH amekubali kuzitambua hizi chanjo amepongezwa mno na ccm 🤣 🤣
 

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
12,798
2,000
Ndio maana CCM ipo madarakani kwa muda mrefu tofauti na vyama vingine vya ukombozi barani Afrika kwasababu kinajua kuendana na mahitaji ya wakati, hivyo kuonekana kipya kila wakati huku kikisimamia misingi yake!
Ije katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kama ccm hujaikuta 'vyumba vya kuhifadhia miili'
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom