alhamisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Alhamisi 50% Simba SC atafungwa au 50% atatoka Sare na Prisons FC, kwani Wachezaji Waandamizi watamchomesha Kusudi ili afukuzwe

    Kwa niliyohakikishiwa GENTAMYCINE kwa wale Wenzangu ( wana Simba SC ) nawaombeni Mechi ya Alhamisi ya Simba SC dhidi ya Prisons FC msiende na Matokeo yenu na mjiandae mapema Kisaikolojia kwani kuna Miwili Kufungwa au kutoka Sare ila Kushinda tusahau labda tu Mpango huu Usitishwe rasmi Usiku huu...
  2. JanguKamaJangu

    Donald Trump nitajisalimisha kwa mamlaka ya jimbo la Georgia Alhamisi

    Rais wa zamani Donald Trump anasema atajisalimisha kwa mamlaka katika jimbo la Georgia siku ya Alhamisi kujibu mashtaka katika kesi inayomtuhumu kwa kupanga njama kinyume cha sheria, ya kugeuza matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka 2020 katika jimbo hilo. “Unaweza kuamini? Nitaenda Atlanta...
  3. M

    Tunaoishi Mabondeni na kwenye Miundombinu mibovu, Kifurushi cha Mvua ya Alhamisi na Ijumaa ijayo si Kizuri Kwetu

    Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ni kwamba Kifurushi cha Jana Jumatatu tarehe 5 kilichopiga Kutwa nzima ni cha Mtoto ila Kifurushi cha Alhamisi ya tarehe 8 na Ijumaa tarehe 9 ni cha HATARI zaidi kwani kitakuwa ni Kikubwa na chenye Madhara kwa tunaoishi Mabondeni na katika Miundombinu...
  4. M

    Mliotaka Kulazimisha Eid iwe Leo Alhamisi au Kesho Ijumaa mnajisikiaje Eid kuwa Jumamosi?

    Uvivu na Kupenda kula Bata unawaponza. Mliitaka iwe Alhamisi ya leo ili Siku za Kula Bata ziwe Nne ( Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ) Mlivyoona Kimahesabu kula Eid Alhamisi ( yaani Leo ) haiwezekani mkataka sasa Kulazimisha kuwa Eid iwe Kesho Ijumaa ili kama Kawaida ya kuwa Kwetu Wavivu...
  5. Andre-Pierre

    Leo ikiwa ni Alhamisi hebu tuwakumbuke wabunge machachari enzi ya Bunge la Spika Marehemu Samwel Sitta!

    Leo ni alhamisi , huwa tunakumbuka mambo ya zamani kidogo. Mnalikumbuka Bunge la Spidi na Viwango chini ya uongozi wa Spika Marehemu Sitta? Hebu leo tuwakumbuke wabunge waliokuwa machachari kwenye kuibua hoja zenye maslahi mapana ya Taifa. Wabunge hao ni wale waliokuwepo katika uongozi wa...
  6. B

    Alhamisi 1 ya Maandamano imekamilika, Nyomi ni Kazi si kuuza Sura

    Alhamisi 1 ya maandamano Kenya imekamilika. Ilikuwa siku nyingine ya kazi si kuuza sura: Polisi wafurushwa: Alhamisi imepita macho jumatatu tena.
  7. B

    Kesho Maandamano Alhamisi 1, mambo yataka hamasa

    Kesho ni siku ya kwanza kwa maandamano siku ya Alhamisi baada ya jumatatu iliyopita. Stamina ni muhimu katika mapambano. Kwani kusikia kwa kenge hadi damu masikioni: Stamina, yaani uwezo wa kuendelea kukomaa bila ya kukata tamaa inajengwa na uhamasishaji usiokoma. Jambo lolote haliwezi...
  8. N

    Alichokijenga Bashiru sasa kinambomoa

    Alichokijenga Dk Bashiru sasa kinambomoa Alhamisi, Novemba 24, 2022 Wana JF nimepakua hii habari ili kwa wale wasioingia kwenye magazeti muisome By Luqman Maloto Novemba 22, 1963 Rais wa 35 wa Marekani, John Kennedy “JFK”, alipigwa risasi na kuuawa. Mshituko ulikuwa mkubwa kuanzia eneo la...
  9. Checnoris

    Kwanini mitihani ya kumaliza darasa la Saba inafanyika kama sio Jumatano basi Alhamisi

    Hii imetokea kwangu na kwa wengine wajuzi wa mambo kwanini mitihani hii tangu enzi na enzi hufanyika siku ya J5? Mwisho miwatakie kila la kheri wanafunzi wanaofanya mitihani yao. Ameen
  10. M

    UZUSHI Bodaboda na Bajaj zapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia Aprili 21, 2022

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo.
  11. N

    Harmonize akamatwa Nairobi akidaiwa kutotokea kwenye Klabu kadhaa alizolipwa atumbuize Jijini humo

    Kijana anapeperusha vyema bendera naskia analipwa shows hatokei kafatwa hotelini mabaunsa wake wanaleta ubabe kamzengua hadi Omondi na Mike sonko, wanadai kuna holidays huko sijui ni Idd au msiba wa kibaki ila inawezekana akakaa ndani hadi Alhamisi. === More Tanzanian Bongo Star Harmonize is...
  12. Chachu Ombara

    Kanusho: Bodaboda na Bajaji hawajapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji kuanzia Alhamisi 21 Aprili, 2022

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo. ================= TAARIFA HII IMEKANUSHWA DAR: BODABODA WAPEWA VITUO 9 MJINI Baada ya kudaiwa bodaboda na Bajaji za biashara...
  13. Tony254

    Kenya itasoma bajeti yake mapema kwa sababu ya uchaguzi. Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi, Aprili 7, 2022

    Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi wiki hii. Bajeti yenyewe itakuwa ya ksh 3.3 trillion ambayo ni zaidi ya mara dufu ya bajeti ya Tanzania. ======= Budget reading Thursday as MPs end revenue share row These measures will be contained in the Finance Bill, which must be tabled in...
  14. M

    Usafiri wa Dar -Moshi Alhamisi jioni

    Ndugu wanajamiiforum! Habari za weekend? Nategemea kwenda Moshi Alhamisi jioni kwa ajili ya shughuli za kifamilia ijumaa... Naomba ushauri wetu ni aina gani ya usafiri nitapata kutokea Dar kuanzia saa 12 jioni. Natanguliza shukrani
  15. T

    Rais Samia kuhutubia ulimwengu kupitia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Septemba 23, 2021

    RAIS SAMIA KUHUTUBIA ULIMWENGU KUPITIA BARANa Bwanku M Bwanku. Mabibi na Mabwana, kesho Alhamisi Septemba 23, 2021 Mwanamke wa shoka Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia ulimwengu kupitia Mkutano Mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani. Rais Samia atahutubia...
  16. Stephano Mgendanyi

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam

    TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...
Back
Top Bottom