Nina hasira na hao mbwa wa CCM this time we are going to kick out
NI MTAZAMO WANGU TU:
Leo asubuhi nikiwa natazama star tv kipindi cha tuongee asubuhi ktk issue ya ESCROW,na wageni ktk kipindi walikuwa ni Kafulila na Prof.Tibaijuka.
Chaa ajabu wazi wazi bila hata kujificha huyu prof. Tibaijuka alijuta akisema , "ningejua nisingekuja ktk kipindi chenu " kisa star tv hawakumfahamisha kuwa atakutana ana kwa ana na Kafulila.
Kwa Tibaijuka imekuwa kama vile amekutana na jinamizi hivi au kiumbe wa ajabu sana.
Nikajiuliza kuwa hivi hawa watu waliokwapua hizi pesa huko walipo wanamfikilia Kafulila kama kiumbe wa aina gani?
NADHANI;wahusika hawalali,hawatembei,hawali,hawaongei isipokuwa kiumbe Kafulila anawanyanyasa katika akili zao.
Ndugu yangu,
Hivi ulinisoma ni kwa vituo na kunielewa au ulikimbilia ku-comment? Ni mimi ndie nimesema tulikuwa na mfumo wa utwala bora tangu zamani au ni yeye unayesema nimembishia?Hii ni moja ya paragraphs nilizoandika:
Sina sababu ya kurudia kila kitu kwavile post bado ipo, rudia kunisoma kisha msome unayedai anasema huu mfumo haukuwapo wakati yeye anadai ulikuwapo!
ndio anasema yuko mitandao yote ya vijana na anasoma dhihaka zote anazorushiwa, nadhani ndiye Faiza Fox
Umeongea kinyume chake... ni yeye ndie anatetea na kudai kwamba mfumo tumekuwa nao tangu zamani (enzi za mwalimu)!Nilichoona ni kwamba wewe unatetea mfumo wa utawala bora Wakati Yeye huo mfumo anauona haufai..... Au Hili nalo si kweli? Ndio maana mi nikaona nikumbushe kidogo kuhusu KIONGOZI BORA NA UTAWALA BORA...!
Mwambie hivi;Kwa staili hii ya profeseri kushindwa hata kutuongopea darasa la saba tukamuaminiAnasema yeye ni prof na anasema ki prof na amesoma vizuri report Ya Zito ki prof
Umeongea kinyume chake... ni yeye ndie anatetea na kudai kwamba mfumo tumekuwa nao tangu zamani (enzi za mwalimu)!
Angali star tv muda huu uwasikilize hawa waheshimiwa wakijadili sakata la IPTL.
Waziri Tibaijuka anadai yeye alikuwa middle man katika upokeaji wa hiyo hela kama mchango kwa ajili ya shule na alilazimika kufungua account Mkombozi bank ili kukiza mashariti ya mtoa fedha kwani alitaka anaehitaji hiyo hela awe na account katika hiyo bank.
Kafulila pia ametoa ushahidi wa barua ya Lugemalila kwenda kwa Gavana ikimtaka Gavana asitoe hela mpaka kwanza yeye Lugemalila alipwe hela yake lakini BOT ilitoa hiyo hela kabla ya Lugemalila kulipwa hela yake ambayo ilikuwa ni dola milioni 67 kitu ambacho ni kinyume cha sheria.
Eti mama anasema nchi kukosa misaada ni kutokana Kafulila kuibua swala hilo.
Kwa kifupi,mama hana hoja na kwakweli amepanic na anaumbuka tu.
Trust mimi, umejichanganya tu wakati unasoma... kwanza sikugusia hata punje kuhusu uongozi bora bali miliyekuwa nae kwenye mjadala ndio kazungumzia suala la uongozi bora... rudia post, utakuta nilipohoji how come kusema kwamba tumekuwa na utawala bora tangu zamani wakati nchi nyingi za afrika zilikuwa zinakuwa zinaongozwa na tawala za kijeshi... kwahiyo nikahoji ikiwa hao wanajeshi ndio walikuwa wana-practice utawaka bora... aidha nikahoji how come mtu aseme tulikuwa na utawala bora tangu zamani wakati moja ya misingi ya utawala bora ni laws & jurisdiction ambapo ndani yake kuna masuala ya utawala wa sheria wakati inafahamika, hiyo zamani, na in fact hadi sasa, msingi huo wa utawala bora haupo.. nikazungumzia hadi suala la transparency & fairness kama msingi mwingine wa utawala bora vitu ambavyo Afrika havikuwapo na na bado havipo kwahiyo nikahoji how come mtu aseme tumekuwa tuna-practice utawala bora tangu zamani! Na mwisho nikahoji, ikiwa sio western system, ni wapi huo mfumo tumeuchukua, east block!!!??Lkn nimesoma post yako ambayo ilipelekea Mimi kujibu nimeona umezungumzia sn utawala bora na maadili ya viongozi kidogo yanayoambatana na utawala bora... Sijaona umezungumzia dhana ya Kiongozi bora ambapo Km unalifahamu vzr azimio la Arusha na hasa ktk hii dhana ya Kiongozi bora bila Shaka Unaweza kuona tofauti kubwa Kati ya Kiongozi bora na utawala bora...! Nini maoni yako ktk hilo la kiongozi bora?
Wewe ndio hooovyo na usie na akili kabisa,Huo ndo ukweli,kafulila anaenda na document za mambo ya nishati kwa waziri wa ardhi na majumba anategemea kuachieve nini?.
kafulila hanaga akili kweli,anakwenda kuweka mjadala na mtu wa ardhi mambo ya mitambo ya umeme?
Trust mimi, umejichanganya tu wakati unasoma... kwanza sikugusia hata punje kuhusu uongozi bora bali miliyekuwa nae kwenye mjadala ndio kazungumzia suala la uongozi bora... rudia post, utakuta nilipohoji how come kusema kwamba tumekuwa na utawala bora tangu zamani wakati nchi nyingi za afrika zilikuwa zinakuwa zinaongozwa na tawala za kijeshi... kwahiyo nikahoji ikiwa hao wanajeshi ndio walikuwa wana-practice utawaka bora... aidha nikahoji how come mtu aseme tulikuwa na utawala bora tangu zamani wakati moja ya misingi ya utawala bora ni laws & jurisdiction ambapo ndani yake kuna masuala ya utawala wa sheria wakati inafahamika, hiyo zamani, na in fact hadi sasa, msingi huo wa utawala bora haupo.. nikazungumzia hadi suala la transparency & fairness kama msingi mwingine wa utawala bora vitu ambavyo Afrika havikuwapo na na bado havipo kwahiyo nikahoji how come mtu aseme tumekuwa tuna-practice utawala bora tangu zamani! Na mwisho nikahoji, ikiwa sio western system, ni wapi huo mfumo tumeuchukua, east block!!!??
anasema pesa iliingia kwa akaunti yake kwa sababu anaaminika
Hivi 1.6B ya Prof.Ndo shida ile Chenge Khalali? Mie maona huyu mama ndo Anasakamwa na ndo maana swala hili linagawa Watanzania na kuona kuna chuki binafsi