Kafulila,Tibaijuka live Star TV

Kafulila,Tibaijuka live Star TV

Kweli huyu mama ni Professor anasema eti David Kafulila ndio aliyetufikisha hapa na ndio maana wahisani wamesitisha misaada! More updates coming!
 
tumbili ni noma. huwa ananiacha hoi anavosimama kutoa hoja na kikoti chake ni soo. la profesery anatetemeka kweli huyu hata huko un alikuwa anafanya nini. anatolewa jasho na katoto ka juzi tu. mwe tumbili punguza munkar basi hujui mama anaweza kufa kwa presha
 
Prof anasema kafulila kuleta makaratasi hapo sio mahakama ni studia, hivyo Kafulila analeta drama!
 
cshule siyo biashara? vipi kuhusu private schools? mbona ada ni ya kubwa kwa faida? kama shule si biashara amuulize mama lwakatare na st mary zake...................public vs private school?

Shule yake Kabwela hasomi. Ada ni 5m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom