Kafulila,Tibaijuka live Star TV

Kafulila,Tibaijuka live Star TV

Mtoa mada kaja na mpya kumbe ukishailipia kodi pesa ni ruhusa kutoa rushwa?
 
Wewe mleta mada unajua elimu ya uraia na sheria za nchi na maadili ya viongozi wa Umma?. Tuna safari ndefu sana.
 
Na hizo pesa japo anashindwa kusema yawezekana zilikuwa "uwekezaji wa fisadi huyo" kwenye kampeni ya Tibaijuka kuelekea 2015. Lakini ndio hivyo safari imeisha ata kabla basi halijatoka stand.

Huenda Mama alihongwa huo mshiko na alishaufanyia kazi kwa bed ndio maana hataki hata kurudusha
 
Kuna watu humu sijui kama wanajua hata maana ya ethics.sijui hata mnajua kwa nini Warioba alipendekeza zawadi zitunzwe na serikali.yaani simply because alimuhonga amelipa kodi,upuuzi gani huu mnateletea humu
Eti hawakukutana barabarani, ndio maana wakafordiana mahela!
 

Attachments

  • IMG_91843784180760.jpeg
    IMG_91843784180760.jpeg
    21 KB · Views: 217
Pia avuliwe nyadhifa zote ndani ya chama chake, labda abakiwe tu na ubunge wake!
 
Kavuliwa uongozi na nani nenda wizarani jumatatu utamkuta ofisini siasa za kuchafuana haziwezi kumuondoa mtu madarakani.

Ulitegemea kuwa utekelezaji wa mapendekezo uanze siku ileile yalipotolewa? Hata JK akiappove Lazima wapate muda wa kukabidhi ofisi
 
waziri wa ardh nyumba na makazi,ameomewa bure maana hata aliyemtumia hela tayari kashalipa kodi.

Hela ukishailipia kodi tu ni halali kuhonga mpaka mawaziri?

What a weak non argument.
 
"Nitasimamia maazimio yote ya Bunge kuhakikisha yanatekelezwa" - Pinda

Ina maana ni pamoja na kumshauri Rais awaondoe hao wote. Jumatatu labda atakuwa ofisini akikusanya personal things na kuandika handover notes.

Hii kauli iko overenthusiastic borfering insubordination. Rais akikataa kutekeleza kwa dabsbu zake Pinda atafanya nini?

Pinda anafunga mikono ya rais sasa?
 
Kuonewa kwa mwizi ni kuchinjwa au kuchomwa moto lakini haya mengine ukiwa mwizi/jizi/tapeli au mporaji ni haki yako kabisa wala hutakiwi kulalama ili uhurumiwe na mtu yule yule uliyemtenda.
 
waziri wa ardh nyumba na makazi,ameomewa bure maana hata aliyemtumia hela tayari kashalipa kodi.

Tumia basi akili uliyopewa na Mungu!! Alipewa pesa kwa ajili ya nini kama hakusaidia hiyo deal??? Swali ni kwamba yeye ni mtumishi wa umma. Alipewa pesa kwa ajili ya nini? Pesa ambazo zina harufu ya rushwa?? Kuwa makini na unavyo jenga hoja.
 
We kitasa pesa zipi kwani pesa za james lugemalila zimekuwa za taifa mjinga sana wewe.

Mngese wewe;unaishi dunia gani wewe? Hata Prf.Mwandosya hukumsikiliza? bunge linaweza poteza mabilioni ya pesa mpaka usiku kujadili pesa za Lugemarila?
 
Huyu mama amesema nimember humu,kama utetezi wako unataka uwe wa maana naomba mama atujibu ;
Uliwahi kutamka kuwa huna shida na pesa,sasa kwanini ulienda kwa Rugemarila kuomba msaada?Pili hizo pesa bado zipo kwenye acc au umeisha zitoa,kama umezitoa unaweza toa mchanganuo wa matumizi ya pesa hizo?Tatu kama ulizitoa ulitumia njia gani kuzitoa (transfer) kutoka mkombozi bank hadi bank m unakosema ndiyo kwenye acc ya shule
 
waziri wa ardh nyumba na makazi,ameomewa bure maana hata aliyemtumia hela tayari kashalipa kodi.
Mama Tibaijuka akijiuzuru leo itamsaidia sana kuliko kusubiri au kumsubiri Mkuu wake aseme. Na hata akiachwa atakuwa ameua profile yake yote na ile ya UN sijui anagonja nini wakati yuko vizuri. Pls mama mi mwanao mwache Muhongo ang'ang'ngane na hayo madaraka wewe unayajua zaidi
 
Hata mie nilipokea buku5 toka kwa Tibaijuka njooni mnikamate make nimekula uchafu kumbe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom