Kafulila,Tibaijuka live Star TV

Ingekuwa mara ya kwanza labda mtu ungeweza kushangaa au kutetea shutuma dhidi ya huyu mama. Tibaijuka, kwa wanaomjua au wanaojali, haku qualify hata kupewa huo uwaziri. Tibaijuka alishapiga hela ndefu wakati akiwa mkuu wa Tume/Kikosi Kazi kilichopewa hela na Scandinavia donors kwa mradi wa kuunda umoja wa wanawake usiofungamana na siasa baada ya kufutwa UWT ya CCM.

Tibaijuka kazi hakufanya, hela za mradi akapiga, alicholeta serikali ikakikataa, akaanzisha sintofahamu mpaka akasababisha mume wake kupata presha na kufa, wakati huo mumewe akiwa balozi wa Scandinavian countries zilikotokea hela. Then Tibaijuka aka play the gender card kwa kudai anakuwa targeted kwa sababu eti ni mwanamke, all the while wizara inayomsimamia ni ya wanawake na watoto, inayoongozwa na wanawake! Hiyo ni kabla hajafukuzwa kazi UN Habitat alikoharibu pia.

Kwa hiyo, Tibaijuka kwa wanaomjua sio msafi, na sidhani kama JK anakuwa kweli hajui tambala la mtu (profile) kabla ya kumteua. Hajali tu.
 
We kitasa pesa zipi kwani pesa za james lugemalila zimekuwa za taifa mjinga sana wewe.
inamaana elimu yako ni chini ya darasa la saba? manake mbunge wetu lusinde mwenye elimu ya drsa la saba kahoji tangu lini mtu binafsi au kampuni nk ikawa na acount BoT? yaani hapa ni kama kumkana mzazi wako
 
Ingekuwa mara ya kwanza labda mtu ungeweza kushangaa au kutetea shutuma dhidi ya huyu mama. Tibaijuka, kwa wanaomjua au wanaojali, haku qualify hata kupewa huo uwaziri. Tibaijuka alishapiga hela ndefu wakati akiwa mkuu wa Tume/Kikosi Kazi kilichopewa hela na Scandinavia donors kwa mradi wa kuunda umoja wa wanawake usiofungamana na siasa baada ya kufutwa UWT ya CCM.

Tibaijuka kazi hakufanya, hela za mradi akapiga, alicholeta serikali ikakikataa, akaanzisha sintofahamu mpaka akasababisha mume wake kupata presha na kufa, wakati huo mumewe akiwa balozi wa Scandinavian countries zilikotokea hela. Then Tibaijuka aka play the gender card kwa kudai anakuwa targeted kwa sababu eti ni mwanamke, all the while wizara inayomsimamia ni ya wanawake na watoto, inayoongozwa na wanawake! Hiyo ni kabla hajafukuzwa kazi UN Habitat alikoharibu pia.

Kwa hiyo, Tibaijuka kwa wanaomjua sio msafi, na sidhani kama JK anakuwa kweli hajui tambala la mtu (profile) kabla ya kumteua. Hajali tu.

TD anafahamu fika ringset ya mchezo mzima lakini alimuweka pale makusudi kwa kazi maalum
 
Haya wanisema wanawake ni wasafi waje na huku. Kama wao ndio vinara wa kusachi waleti huo usafi waupate wapi. Hata hayo mabilioni wanaonufaika nayo ni mademu. Yule harusi ilivunjika ndio aitwa nani tena? Katoa wapi hayo ma b?
 
Screenshot_2014-11-30-20-42-36.png
Hawa wanatisha huwezi amini
Screenshot_2014-11-30-19-59-19.png
Screenshot_2014-11-30-19-59-19.png

Hizi si ndio shule za kusaidiwa jamani hawa watu ni wa kutupwa jela miaka 15 na kufilisiwa mali zote .

Screenshot_2014-11-30-19-58-27.png
 
Back
Top Bottom