Kafulila: watu wanajaribu kumuondoa JR KWA SABABU ETI ANALIPA KODI LAKN NINA USHAHIDI WA jr akimwandikia Gavana kumkumbusha kwamba singasinga asipewe hela ya escrow kwa sababu hajamalizia mgawo wangu
Hapana mkuu, alimnyanganya Kafulila wakati kamera ime concentrate kwa mwendesha kipindi.Tibaijuka kaja na document ambazo hajasoma.. Anaambiwa hii document ulioshika inasema hivi ye anasema sijasoma.. Sa alikuja nazo za nn..! Kweli ccm kushineii
anasema yeye ni member humu
Hapana mkuu, alimnyanganya Kafulila wakati kamera ime concentrate kwa mwendesha kipindi.
Update Tibaijuka amekunja uso kama amekula Ndimu! More updates coming!Walio kwenye tv watujuze watanzania
cshule siyo biashara? vipi kuhusu private schools? mbona ada ni ya kubwa kwa faida? kama shule si biashara amuulize mama lwakatare na st mary zake...................public vs private school?
ndio anasema yuko mitandao yote ya vijana na anasoma dhihaka zote anazorushiwa, nadhani ndiye Faiza Foxmember wa JF ama............
Anatumia jina gani!member wa JF ama............
Kwamsaada wa watu Wamerekani utarudi mkuu vuta subira!updets wakuu kwetu umeme amna