Kafulila,Tibaijuka live Star TV

Tibaijuka hajui chochote yule,yeye ni waziri wa ardhi,kafulila angemtafuta hata ngeleja ndo waweke nae mechi.
hawa star tv nao
 
Anajificha kwenye kivuli cha lusinde kwamba alichosema zinawezekana inawezekana pia zisiwezekane
 
cshule siyo biashara? vipi kuhusu private schools? mbona ada ni ya kubwa kwa faida? kama shule si biashara amuulize mama lwakatare na st mary zake...................public vs private school?

Ada kwenye shule za huyo mwizi wa pesa ya umma ni millioni 4
 
niko facebuk...niko twitter...niko jf maana vjana wako huko....ila watsup na instagram bado cja downld
 
Prof anasema kafulila kuleta makaratasi hapo sio mahakama ni studia, hivyo Kafulila analeta drama!
Huo ndo ukweli,kafulila anaenda na document za mambo ya nishati kwa waziri wa ardhi na majumba anategemea kuachieve nini?.
kafulila hanaga akili kweli,anakwenda kuweka mjadala na mtu wa ardhi mambo ya mitambo ya umeme?
 

Attachments

  • 1417153232260.jpg
    1417153232260.jpg
    48.7 KB · Views: 442
Hivi muhongo Jana alisema ameagiza Tanesco wasikate umeme siku mbili hizi kuanzia Jana.Haisee hili lijamaa ni limuhongo kweli..aisee ebu wenye number za wabunge wajulishwe walilipue aisse
 
Naangalia hapa, Tibaijuka anatoka povu, na jinsi walivyokaa karibu, Kafulila analowa mvua ya mate, vilevile anaweza kunaswa kibao.
 
Naangalia hapa, Tibaijuka anatoka povu, na jinsi walivyokaa karibu, Kafulila analowa mvua ya mate, vilevile anweza kunaswa kibao.

Aisee mkuu tumekuwa na wazo hilo hilo mda huo huo! Nafikiri mama pale aliweka pozi inayoashiria kuja kwa kibao ndio maana tunaojua stance ile tukajua kifwatacho star tv!! Hehehehe! Wasingekatisha ingekua story ingine saa hizi.
 
Back
Top Bottom