FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 947
- 669
Pumbavu mkubwa,kaonewa kitu gani Prf.mzima hana huruma na pesa za aifa
Kavuliwa uongozi na nani nenda wizarani jumatatu utamkuta ofisini siasa za kuchafuana haziwezi kumuondoa mtu madarakani.Tumemvua vyeo vyote kwa kuzingatia maadili ya uongozi.
Hatuna huruma na wezi pamoja na wapokeaji ya pesa za wezi.
We kitasa pesa zipi kwani pesa za james lugemalila zimekuwa za taifa mjinga sana wewe.Pumbavu mkubwa,kaonewa kitu gani Prf.mzima hana huruma na pesa za aifa
akili yako fupi kama kiharage.unajua maana ya ethics wewe au unaropoka tuWe kitasa pesa zipi kwani pesa za james lugemalila zimekuwa za taifa mjinga sana wewe.
Kavuliwa uongozi na nani nenda wizarani jumatatu utamkuta ofisini siasa za kuchafuana haziwezi kumuondoa mtu madarakani.
"Nitasimamia maazimio yote ya Bunge kuhakikisha yanatekelezwa" - Pinda
Ina maana ni pamoja na kumshauri Rais awaondoe hao wote. Jumatatu labda atakuwa ofisini akikusanya personal things na kuandika handover notes.
Mtoa mada ni miongon mwa wanaolipwa na tibaijuka kumsafisha
Mtoa mada ni miongon mwa wanaolipwa na tibaijuka kumsafisha
alivyoanza ilionekana kama angerekebisha kila kitu ardhi, lakini amebakia kutaja matatizo bila kushughuliki kitu. hata kuvunja lile ghorofa bovu la mhindi dar hajaweza. ni lile pacha wake alianguka na kuua watu wengi tu. hivi ukiwa waziri halafu unapitapita kuomba mchango kwa matajiri kwa biashara yako ya shule unadhani watakupa bure?waziri wa ardh [SUP][/SUP]nyumba na makazi,ameomewa bure maana hata aliyemtumia hela tayari kashalipa kodi.
Acha ujinga wewe, ukilipwa mshahara mbona unalipia kodi na mwajiri alishalipia kodi ya mapato. Kwanini shule ama yeye hawakutangaza hayo mapato. Ni mla rushwa tu, au alihusika kwa namna fulani kufanikisha dili, kama si kuuza ardhi yetu mahali. Aende zake kule fisadi bibi kizee.waziri wa ardh nyumba na makazi,ameomewa bure maana hata aliyemtumia hela tayari kashalipa kodi.
waziri wa ardh nyumba na makazi,ameomewa bure maana hata aliyemtumia hela tayari kashalipa kodi.