Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,631
- 164,743
Kafulila anazo documents za sakata la ESCROW ACCOUNT kwa kuwa yeye ndiye aliyeleta hoja hiyo bungeni. Anayetakiwa kuzijibu hizo documents za Kafulila ni mtu mwenye documents kama hizo kutoka Wizara au Idara husika, mfano Wizara ya Nishati na Madini, Wizara ya Fedha, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, hao ndio wenye uwezo wa kuzungumzia au kujibu kuhusu documents za Kafulila.
Tibaijuka hajui chochote yule,yeye ni waziri wa ardhi,kafulila angemtafuta hata ngeleja ndo waweke nae mechi.
hawa star tv nao
hivi uprofessa unapatikana wapi jamani niutafute?
Mama tibaijuka leo kachemka sana maana kafulila kampa za uso kweli kweli mda wote mama alikuwa amepanic.
Sidhani kama ni huyu FF, Prof. Hana elements za pwani, pia kaonyesha kuwa hawezi kujielezea na kugeuza uwongo kuwa kweli, FF ni bingwa wa kutetea hoja hata kama ni pumba asilimia 1000000. Ni mmama wa kuhororoja mpaka usiku saa saba, hana mme na ni mdini aliyepitiliza. Kama kweli ni huyu FF, basi ni actor mzuri sana wa kuvaa uhusika.
Hapana, Faiza Foxy ni muislam mwenye msimamo mkali, le profeser ni mkatoliki!sina hakika lakini nahisi ndiye Faizafoxy
Prof Anna Tibaijuka ni waziri wa Ardhi ........hawezi kuzungumzia habari za IPTL ......apo ni kumlazimisha kuzungumza mambo asiyofahamu ..........mijadala lazima iwe na uwiano ..........
Upuuzi tulioupokea kwa mikono miwili Waafrika ni ujinga unaoitwa Utawala Bora! Waafrika kama mazuzu, tukaupokea mfumo na kuanza kuupigia vigelegele bila wananchi wa kawaida kujiuliza kwamba inakuaje viongozi wetu wanaupiga sana upatu mfumo wa utawala bora wakati historia inaonesha wamekuwa ni wapinzani wa mifumo ya kimagharibi inayoletwa Afrika!
Waafrika wananchi tumefanya kosa kubwa sana kushadadia mfumo huu... huwezi kuwa na mfumo wa utawala bora kwenye jamii iliyojaa uovu... matokeo yake ndo haya hapa... tuatendelea kupiga keleke hapa but at the end of story no one will prove (utawala wa sheria... msingi wa utawala bora) beyond reasonable doubt kwamba Anna Tibaijuka amekula mlungula hata kama ni kweli amekula mlungula!!!
Aibu tupuMasikini unajua wamemwita Mama wa watu bila kumwambia kuwa na Kafulila atakuja!!
Hhahaha! Dah STAR TV noma sana!
Halafu wa washe AC, mama wa watu anazidi kutoa jasho tu halafu kashkaji kametuliaaaa!
hapo sawa, kumbe ndiyo maana sijawa le profeseliChina! Hujaona Mkuu alivyoenda kuuchukua?
Gwalihenzi nilikua namchokoza dada yangu FFHapana, Faiza Foxy ni muislam mwenye msimamo mkali, le profeser ni mkatoliki!
FF njoo udadavue utata hukuMwenyee akiambiwa anajiona ni mwelevu kuliko yeyote katika jamvi
watajwa hapo juu tafwadhali mje mtuweke sawa
Anna Tibaijuka , nimekuangalia ukizungumza kwenye Star TV umetia aibu sana! Huo Uprofesa wako ni wa nini?
Haifanyi biashara wakati anachaji karo milioni 3.5 huyu mama naona amechizi au anataka kutufanya wa Tanzania wajingaLimama lina sweat vibaya kwan anabanwa na kashikaji,kajamaa kapo deep vibaya,eti limama linasema shule yake haifanyi biashara!,wizi mtupu!
Anna Tibaijuka both in jamii forum na twitter.Anatumia jina gani!