Kafulila,Tibaijuka live Star TV

lazima kuna hidden ajenda
Misingi ya utawala bora inatufundisha kuwa kiongozi wa umma kupokea donations au kickbacks kutoka kwa wafanyabiashara tena wenye mikataba ya kibiashara na serikali ni TATIZO. Hili halihitaji mjadala na Tibaijuka anafahamu na ndio maana unaona anajisikia vibaya. Na hii haijalishi kama pesa zilikuwa escrow account, za umma au si za umma. Hoja ya msingi ni uadilifu. Je, unajua ni kwa nini Rugemalira aliamua kuchangia Barbro na akaacha shule nyingine za sekondari Mkoani Kagera pengine zenye mahitaji zaidi? Au utasema hizi shule hazikuwasilisha maombi?
 
Hapa ndipo ninapowapendea JF... siku mkikabana wenyewe kwa wenyewe, mnafichuliana siri zenu; mkishasahau, mnakuja tena hapa na kuwalaumu watu wa Pwani kwamba ndio wanaichagua CCM kwa kuwa hawa watu ni vilaza, watu wa madrasa, hawajaenda shule na ni maskini na ndio maana wenye akiliza zao wanaona ni mpumbavu tu ndani ya nchi hii anaweza kujigamba kwamba kwao ni wasomi na matajiri na kule ni madrasa maskini wa kutupwa!!!
 
Angali star tv muda huu uwasikilize hawa waheshimiwa wakijadili sakata la IPTL.

Waziri Tibaijuka anadai yeye alikuwa middle man katika upokeaji wa hiyo hela kama mchango kwa ajili ya shule na alilazimika kufungua account Mkombozi bank ili kukiza mashariti ya mtoa fedha kwani alitaka anaehitaji hiyo hela awe na account katika hiyo bank.

Kafulila pia ametoa ushahidi wa barua ya Lugemalila kwenda kwa Gavana ikimtaka Gavana asitoe hela mpaka kwanza yeye Lugemalila alipwe hela yake lakini BOT ilitoa hiyo hela kabla ya Lugemalila kulipwa hela yake ambayo ilikuwa ni dola milioni 67 kitu ambacho ni kinyume cha sheria.

Eti mama anasema nchi kukosa misaada ni kutokana Kafulila kuibua swala hilo.

Kwa kifupi,mama hana hoja na kwakweli amepanic na anaumbuka tu.

Ni aibu kwa professa kuonesha ukilaza ambao hata watoto wa mtaani watamshangaa sana
 
Misingi ya utawala bora inatufundisha kuwa kiongozi wa umma kupokea donations au kickbacks kutoka kwa wafanyabiashara tena wenye mikataba ya kibiashara na serikali ni TATIZO. Hili halihitaji mjadala na Tibaijuka anafahamu na ndio maana unaona anajisikia vibaya. Na hii haijalishi kama pesa zilikuwa escrow account, za umma au si za umma. Hoja ya msingi ni uadilifu. Je, unajua ni kwa nini Rugemalira aliamua kuchangia Barbro na akaacha shule nyingine za sekondari Mkoani Kagera pengine zenye mahitaji zaidi? Au utasema hizi shule hazikuwasilisha maombi?
Upuuzi tulioupokea kwa mikono miwili Waafrika ni ujinga unaoitwa Utawala Bora! Waafrika kama mazuzu, tukaupokea mfumo na kuanza kuupigia vigelegele bila wananchi wa kawaida kujiuliza kwamba inakuaje viongozi wetu wanaupiga sana upatu mfumo wa utawala bora wakati historia inaonesha wamekuwa ni wapinzani wa mifumo ya kimagharibi inayoletwa Afrika!

Waafrika wananchi tumefanya kosa kubwa sana kushadadia mfumo huu... huwezi kuwa na mfumo wa utawala bora kwenye jamii iliyojaa uovu... matokeo yake ndo haya hapa... tuatendelea kupiga keleke hapa but at the end of story no one will prove (utawala wa sheria... msingi wa utawala bora) beyond reasonable doubt kwamba Anna Tibaijuka amekula mlungula hata kama ni kweli amekula mlungula!!!
 
Mbona waliopata mgawo hawakubadilisha ubini? Hii ni kwa mimi tu? Au ndo sandakalawe?
Sasa Bukwabi, huwezi pata uaskofu fasta fasta, wala ubunge na uwaziri. Pia huwezi uka foji kuonyesha ni mtoto wa Rugemalira, nafikiri atakua anawajua watoto wake wote. Hivyo labda uonyeshe kufanana kwa majina anaweza ona furaha akupe kidogo, AU, tafuta katoto ukape jina Rugemalira kama heshima halafu weka facebook um tag, anaweza furahi huyoo ukashangaa una vimillion hapo!
 
sina hakika lakini nahisi ndiye Faizafoxy

Sidhani kama ni huyu FF, Prof. Hana elements za pwani, pia kaonyesha kuwa hawezi kujielezea na kugeuza uwongo kuwa kweli, FF ni bingwa wa kutetea hoja hata kama ni pumba asilimia 1000000. Ni mmama wa kuhororoja mpaka usiku saa saba, hana mme na ni mdini aliyepitiliza. Kama kweli ni huyu FF, basi ni actor mzuri sana wa kuvaa uhusika.
 
Sasa Bukwabi, huwezi pata uaskofu fasta fasta, wala ubunge na uwaziri. Pia huwezi uka foji kuonyesha ni mtoto wa Rugemalira, nafikiri atakua anawajua watoto wake wote. Hivyo labda uonyeshe kufanana kwa majina anaweza ona furaha akupe kidogo, AU, tafuta katoto ukape jina Rugemalira kama heshima halafu weka facebook um tag, anaweza furahi huyoo ukashangaa una vimillion hapo!

Teh teh teh! Kama ni hivyo basi sizitaki mbichi hizi!
 
Sidhani kama ni huyu FF, Prof. Hana elements za pwani, pia kaonyesha kuwa hawezi kujielezea na kugeuza uwongo kuwa kweli, FF ni bingwa wa kutetea hoja hata kama ni pumba asilimia 1000000. Ni mmama wa kuhororoja mpaka usiku saa saba, hana mme na ni mdini aliyepitiliza. Kama kweli ni huyu FF, basi ni actor mzuri sana wa kuvaa uhusika.
FF sio Tibaijuka... Tibaijuka anatumia jina lake halisi... Anna Tibaijuka
 
Last edited by a moderator:
Hakika ni vigumu sana kuutetea uongo,hata ukiwa na degree arobaini,unakuwa kama mtoto wa darasa la kwanza,nimemuona profesa akijikanyaga kama mtoto,anaulizwa swami yeye anasimulia hadithi,kaaaaazi kweli kweli!!!
 
Huyo mama aliweka nyumba yake kwenye mkopo wa bank kama rehani kwa ajili ya shule zake.

Sasa kupewa hizo pesa bilioni 1.6 kumeokoa nyumba yake isiuzwe na bank.

Sasa hapo atasemaje hajafaidika moja Kwa moja?
 
Kumbe kuwa professor haimaanishi kuwa na akili au busara ndio maana hata China wanagawa bure,nilimuona mama kama mtu tofauti na anajitambua kumbe nae hamna kitu
 
Back
Top Bottom