chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,011
angejua atakua live na kafulila ansingekwenda kwenye kipindi (what does it mean?)
Ndio kasema hivyo?
angejua atakua live na kafulila ansingekwenda kwenye kipindi (what does it mean?)
simu yangu ni ya tochi mkuu, nikipata walau laki mbili za escrow nitanunua next tymekaka snap picha hiyo ututumie huku ya huyo mama
anasema kuna mtu alilikisha informations
Tibaijuka anataka kuondoka eti hawezi kukaa hapo akimsikiliza Kafulila peke yake, mtangazaji anamsihi na anaketi tena baada ya kupanic