Mugishagwe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2006
- 300
- 61
Hivi JK na Tume ndiyo utakuwa mchezo wake ama yuko serious ?Maana duh! zio kibao zilizopo na zinazo kuja
Hata wakiiondoa kwenye soft copy bado ipo kwenye hardcopy na tunazo.
ama kweli Ukitaka kujua Tanzania na watanzania angalia viongozi wake , hivi Shein naye hakushirikishwa kuandaa ilani?kwani huyu alikuwa mtaalamu wa kukariri ilani wakati wa mchakato, hebu naye ajitokeze kumwokoa JK kwani hawezi kujinasua pekeyake tena.
JAMANI INAKUWAJE MKUU WA NCHI ASEME HAUSIKI? INAMAANA KAMA WANAO KAANZISHA KITU KATIKA FAMILIA BABA UTASEMA SIHUSIKI KWASABABU MWANAO ALIANZISHA?
Hivi JK na Tume ndiyo utakuwa mchezo wake ama yuko serious ?Maana duh! zio kibao zilizopo na zinazo kuja
Miaka michache iliyopita iliundwa tume/kamati maalumu kujaribu kutafuta ni jinsi gani watu watapunguza intake ya chumvi ya mezani. Baada ya research na fedha karibu dola milioni mbili, tume ilikuja na mapendekezo yake. Pendekezo la kwanza na kubwa zaidi lilikuwa KUPUNGUZA MATUNDU YA SALT SHAKERS!..
...kama kawaida yako hapo,najua kuna kitu unataka kusema ila hutabiriki...Jenerali alisema sifa moja ya kiongozi mzuri lazima awe predictable
Raisi anaitaji kuombewa ili mapepo wabaya wanaomwandana washindwe na walegee,haya madudu yamemfikisha mahali hata kusahau alipotoka na ndio kila analosema linakuwa pumba na safari kwa wingi.
Watanzania,
tukubali yaishe kwamba Kikwete ni bomu,kilaza,zero, hana uwezo wa kufikiri na kuongoza.
nimeshangaa kwanini airuke Ilani ya CCM namna ile. Nadhani Mwalimu wake wa siasa Mzee Kingunge anasikitika. Lowassa naye anatukuwa anacheka kwa mkenge kwa jinsi alivyoturubuni mpaka tukamchagua Kikwete.
Alichopaswa kueleza Kikwete ni nini CCM ilimaanisha kwa kuliweka suala la KADHI ktk ILANI yake. Chimbuko la suala hilo si la msingi hapa. Sasa atayakana mambo mangapi ktk Ilani ya CCM kwa kisingizio kwamba hakushiriki kuiandaa.
Mwanakijiji,
observation yako kwamba suala la Kadhi lipo kwenye Ilani na siyo sera za CCM ni nzuri. Nafikiri tulipaswa kuzama ndani zaidi na kujiuliza kama suala hilo linakinzana au halikinzani na sera za CCM.