Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 74
Elimu ya ki-missionary haijawahi kumsaidia yeyote..hali imezidi kuwa mbaya hasa kwa Tanzania MAANA inafundisha watu kwa MAFISADI na kwa kuwa Maaskofu wao wamezoea vya bure na kunyang'anya, mungu aipushe elimu hiyo kwa vizazi vijavyo...Kumbe matatizo yenu ya kutotumia ubongo bado yapo!!! Nilifikiri baada ya wamissionary kuwaelimisha na kuwasaidia mpate elimu dunia mngebadilika na kuwa na mawazo ya kidunia lakini bado mmebaki kule kule!!!! Poleni sana. Wenzenu duniani wanafikiria jinzi ya kutafuta maendeleo na kufanya utafiti wa kwenda mwezini, nyie mmebaki kudai kitu ambacho mkiulizwa faida zake au hasara zake mnazokosa kwa kutokuwepo hamkijui!! Poleni sana. Nawatakia kilio chema kwani hiyo kitu NEVER on TANZANIA. Byeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, ngoja nifanye kazi za maendeleo
Sijui unaposema NEVER una maanisha nini? I gues ni Mahakma ya Kadhi...kama ndivyo "YOU CANNOT RESIST" so jinyonge????