Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Qadi (also known as Qazi or Kazi or Kadi) (قاض&#1610😉 is a judge ruling in accordance with the sharia, Islamic religious law. Because Islam makes no distinction between religious and secular domains, qadis traditionally have jurisdiction over all legal matters involving Muslims. The judgment of a qadi must be based on ijma, the prevailing consensus of the ulema, Islamic scholars.

Historical background

The term qadi was in use right from the time of the Prophet Muhammad, and remained the term used for judges throughout Islamic history and the period of the caliphates. While the muftis and fuqaha played the role in elucidation of the principles of jurisprudence and the laws, the qadi remained the key person to ensure the establishment of justice on the basis of these very laws and rules. Thus, the qadi was chosen from amongst those who had mastered the sciences of jurisprudence and law.

During the period of the Abbasid Caliphate, the office of the qadi al-qudat (Chief Justice of the Highest Court) was established. Among the most famous of the early qadi al-qudat was Qadi Abu Yusuf who was a disciple of the famous early jurist Abu Hanifa.

The office of the qadi continued to be a very important one in every principality of the caliphates and sultanates of the Muslim empires over the centuries. The rulers appointed qadis in every region, town and village for judicial and administrative control and to establish peace and justice over the dominions they controlled.

The rulers of Muslim India also used the same institution of the qadi (or Kazi). The qadi (kazi) was given the responsibility for total administrative, judicial and fiscal control over a territory or a town. He would maintain all the civil records as well. He would also retain a small army or force to ensure that his rulings are enforced.

In most cases, the kazi (qadi) would pass on the title and position to his son, descendent or a very close relative. Over the centuries, this profession became a title within the families, and the power remained within one family in a region. Throughout India and Pakistan, we now find various Kazi families who descended through their famous Kazi (qadi) ancestors and retained the lands and position. Each family is known by the town or city that their ancestors controlled.

Religious and judicial roles

In the Islamic world, under constitutional government, such as Turkey, where sharia is not the basis for the legal system, the term qadi is still used to identify judges or magistrates. However in countries where shariah law is in force, such as Saudi Arabia, the qadi is the judge who rules under the Islamic laws in force.

In countries that practice a hybrid legal system such as Egypt, a qadi makes an initial ruling in all civil and criminal matters. In Pakistan, where there is a dual legal system of the regular courts and the Shariah courts, the qadis (kazis) are appointed in the latter case who rule according to the shariah law. In some Islamic countries, the position of qadi, formerly reduced to simply being responsible for the initial hearing of cases or even abolished in the process of Westernization, has been recently reinstated, as in some Islamic provinces of northern Nigeria. When it involves a severe penalty, his decision has to be approved by a Mufti, certainly in capital punishment cases, to ensure that verdict is in compliance with the Islamic law.

In Turkey, qadis were appointed by the Veliyu l-Emr. With the reform movements, secular courts have replaced qadis, but they formerly held wide ranging responsibilities:

... During Ottoman period, [qadi] was responsible for the city services. The charged people such as Subasi, Bocekbasi, Copluk Subasisi, Mimarbasi and Police assisted the qadi, who coordinated all the services." [From History of Istanbul Municipality, Istanbul Municipality (in Turkish).]

Mayotte governorship

On the island of Mayotte, one of the Comoro Islands, the title qadi was used for Umar who governed it from 19 November 1835 to 1836 after its conquest by and annexation to the Sultanate of Ndzuwani (Anjouan).

Spanish derivation

Alcalde, one of the current Spanish terms for the mayor of a town or city, is derived from the Arabic al-qaḍi (قاضي,), "the judge." In Al-Andalus a single qadi was appointed to each province. To deal with issues that fell outside of the purview of sharia or to handle municipal administration (such as oversight of the police and the markets) other judicial officers with different titles were appointed by the rulers.

The term was later adopted in Portugal, Leon and Castile during the eleventh and twelfth centuries to refer to the assistant judges, who served under the principal municipal judge, the iudex or juez. Unlike the appointed Andalusian qadis, the alcaldes were elected by an assembly of the municipality's property owners. Eventually the term came to be applied to a host of positions that combined administrative and judicial functions, such as the alcaldes mayores, the alcaldes del crimen and the alcaldes de barrio. The adoption of this term, like many other Arabic ones, reflects the fact that, at least in the early phases of the Reconquista, Muslim society in the Iberian Peninsula imparted great influence on the Christian one. As Spanish Christians took over an increasing part of the Peninsula, they adapted Muslim systems and terminology for their own use.

source: Qadhi encyclopedia topics | Reference.com
 
Naomba kuuliza; Hivi ni lini Cabinet ilika ikaridhia kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi?
 
Naomba kuuliza; Hivi ni lini Cabinet ilika ikaridhia kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi?

Ndugu yangu siku hizi cabineti yetu, leo ikisema hili, kesho inasema lile Yote yanwezekana kwanye serikali ya mwendo mdundo!
 
tuweke rekodi vizuri; Shehe Mkuu Mufti Simba amewataka Waislamu nchini kuwa na subira wakati serikali inaendelea kutafuta ufumbuzi wa suala la uundwaji wa mahakama ya kadhi. Ametoa ufafanuzi huo baada ya mazungumzo na Waziri Mkuu ambaye aliwahakikishia viongozi wa Waislamu kuwa kimsingi serikali haijakataa mahakama ya kadhi bali inahitaji ushauri wa kutosha wa jinsi gani iundwe na kuendeshwa.

Kwa mujibu wa Mufti, kutaundwa jopo la mashehe ambao watakutana na kushauri ni jinsi gani mahakama hiyo itaanzishwa na kuendeshwa nchini.

Hivyo, habari za awali kuwa serikali imekubali na itagharimia mahakama hizo si za kweli. Hadi hivi sasa uamuzi uliofikiwa ni ule ule wa kusubiri kutafuta ufumbuzi wa uundwaji wa mahakama hiyo kama ilivyo katika ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2005-2010.
 
Tuende taratibu..

Hivi hayo ulioandika hapo juu ni nini kama sio utumbo wa grade A? Halafu wasio wasilamu wanawezaje kuomba sharia law? as far as i can see wewe ni zoba na kichwa chako kimejaa matope na miugali iliyooza.
Alaa ndio taratibu hii sio.. sawa mkuu twendeee...na hata nikifungiwa mkuu ujmenifuata mwenyewe wala sintakuachia... Mlugaluga wee..

Kwanza kama ningekuwa zoba nisingemcharaza mamako!.. hilo kwanza muulize ananijua vizuri, pengine wewe mwanangu kakuficha..
Pili, nasikitika sana sikuwepo kukupa matunzo maana elimu yako duni hujui ulifanyalo kiasi kwamba unajuipa majina ya Kiarabu wakati hujui hata maana yake.. Ili mradi uonekane mwarabu..lakini pamoja na yote Urithi nitakukatia..
Tatu, Chukua elimu hii uelewe hata chembe ya Uislaam..
Sharia law sii ibada kwani ibada hufanywa na muumini wa dini na sio kila mtu.. kwani sheria law hutumika kwa mtu yeyote ktk nchi ya kiislaam..
Ibada ni vitu vya faradhi na Suna ambavyo vinamlazimu Muislaam kuvifanya na hata wewe mkristu una Ibada zako ktk dini yako ambavyo havinihusu mimi..hatujali wala hatuko huko...Waislaam wanafanya ibada zao ni pamoja na kusali kutoa zaka, kufunga Ramadhani na kadhalika pia kuna sunna ambazo ni pamoja na kufunga ndoa (Nikah, Akhad), mirathi, kuosha maiti, kuzika kwa misingi na utaratibu wa kiislaam na mengine mengi..hivi vyote ini ibada ambazo wewe mkristu hulazimishwi wala hakuna atakaye kwambia uzifuate pamoja na kwamba ni sheria ya kiislaam ktk ibada...
Hata hivyo mtindiga kama wewe huwezi kuelewa kwani Musilaam kwenu ni yule sheikh mnayekwenda kuchinja kuku kwake..Napoteza muda na wakati...
 
Last edited:
Alaa ndio taratibu hii sio.. sawa mkuu twendeee...na hata nikifungiwa mkuu ujmenifuata mwenyewe wala sintakuachia... Mlugaluga wee..

Kwanza kama ningekuwa zoba nisingemcharaza mamako!.. hilo kwanza muulize ananijua vizuri, pengine wewe mwanangu kakuficha..
Pili, nasikitika sana sikuwepo kukupa matunzo maana elimu yako duni hujui ulifanyalo kiasi kwamba unajuipa majina ya Kiarabu wakati hujui hata maana yake.. Ili mradi uonekane mwarabu..lakini pamoja na yote Urithi nitakukatia..
Tatu, Sharia law sii ibada kwani ibada hufanywa na muumini wa dini na sio kila mtu.. kama sheria law hutumika kwa mtu yeyote.. Ibada ni vitu vya faradhi na sunna ambavyo vinamlazimu Muislaam kuvifanya na hata wewe mkristu una Ibada zako, pamoja na kwamba wewe umechukua Ushoga kuwa ibada.. hatujkali wala hatuko huko...Waislaam wanafanya ibada zao ni pamoja na zaka Kufunga Ramadhani na sunna ambazo ni pamoja na kufunga ndoa - Nikah na Akhadi, kuosha maiti kuzika hivi vyote ini ibadsa ambayo wewe mkrtistu hulazimishwi kuvifuata pamoja na kwamba ni sheria ya kiislaam...hata hivyo mtindiga kama wewe huwezi kuelewa kwani Musilaam kwenu ni yule sheikh mnayekwenda kuchinja kuku kwake..Napoteza muda na wakati...

Wana JF tuepuke lugha za kukera na tuwe na uvumilivu miongoni mwetu hasa kama mmoja wetu kamuandikia mwenzake lugha isyofaa;na wala si busara kwa watu kujibizana kwa lugha zilizokosa maadili!

Kama mwenzako kakukera,wewe muite pembeni na mueleze kuwa alichoandika siyo kizuri-mtafikia tu muafaka!
 
JF bwana imejaa watu wanaotaka kuonekana they are bigger then they actually are. Jamani JF kuna members kama 12,000. Kuna wengine hawapo Tanzania na kuna wengine hata hawana uraia wa Tanzania tena. Je what is the feeling on the ground? Siyo baadhi ya watu hapa wanaoona maoni yao ndiyo the general feeling ya kila mtu. Hata wanaojidai hawana dini naona wameibukwa na dini ghafla.
 
Wana JF tuepuke lugha za kukera na tuwe na uvumilivu miongoni mwetu hasa kama mmoja wetu kamuandikia mwenzake lugha isyofaa;na wala si busara kwa watu kujibizana kwa lugha zilizokosa maadili!
Kama mwenzako kakukera,wewe muite pembeni na mueleze kuwa alichoandika siyo kizuri-mtafikia tu muafaka!
Mkuu huyu mlugaluga kanifuata fuata weee bila sababu kwani sikuwahi kujibishana naye ktk mada wla hoja yoyote. Niliandika kuhusiana na mtu Kupigwa mhuri, mswahili yeyote anajua neno hilo lina maana moja tu kwamba ni mtu ambaye hawezi kubadili msimamo wake hata kama kuna ukweli.
Yeye kaingia toka huko thread za kidini na hamaki na kuanza personal attack kwangu nikamuasa asikianzishe kwani nitamaliza vibaya vibaya..Na kaandika ujuinga wake huo hapo juu..

Nimemwasha na akirudia tena nitaendelea maanake hapa domo tindi limechacha kwa maneno machafu, huwasuubiri watu kama yeye..
Bisides, huko nyuma hata mimi nemesema sikubaliani na mahakama ya Kadhi na sababu zimeziweka pamoja na kwamba mimi ni Muislaam lakini yeye asiyaone yoote haya..
Waswahili husema akutukanae hakuchagulii tusi..Maadam kaingia vitani shauri yake kubeba mkuki, mimi naingia na WMD kumaliza..
 
Alaa ndio taratibu hii sio.. sawa mkuu twendeee...na hata nikifungiwa mkuu ujmenifuata mwenyewe wala sintakuachia... Mlugaluga wee..

Kwanza kama ningekuwa zoba nisingemcharaza mamako!.. hilo kwanza muulize ananijua vizuri, pengine wewe mwanangu kakuficha..
Pili, nasikitika sana sikuwepo kukupa matunzo maana elimu yako duni hujui ulifanyalo kiasi kwamba unajuipa majina ya Kiarabu wakati hujui hata maana yake.. Ili mradi uonekane mwarabu..lakini pamoja na yote Urithi nitakukatia..
Tatu, Chukua elimu hii uelewe hata chembe ya Uislaam..
Sharia law sii ibada kwani ibada hufanywa na muumini wa dini na sio kila mtu.. kwani sheria law hutumika kwa mtu yeyote ktk nchi ya kiislaam..
Ibada ni vitu vya faradhi na Suna ambavyo vinamlazimu Muislaam kuvifanya na hata wewe mkristu una Ibada zako ktk dini yako ambavyo havinihusu mimi..hatujali wala hatuko huko...Waislaam wanafanya ibada zao ni pamoja na kusali kutoa zaka, kufunga Ramadhani na kadhalika pia kuna sunna ambazo ni pamoja na kufunga ndoa (Nikah, Akhad), mirathi, kuosha maiti, kuzika kwa misingi na utaratibu wa kiislaam na mengine mengi..hivi vyote ini ibada ambazo wewe mkristu hulazimishwi wala hakuna atakaye kwambia uzifuate pamoja na kwamba ni sheria ya kiislaam ktk ibada...
Hata hivyo mtindiga kama wewe huwezi kuelewa kwani Musilaam kwenu ni yule sheikh mnayekwenda kuchinja kuku kwake..Napoteza muda na wakati...

Mkulu calm down. Narespect hoja zako kwa hiyo hamna maana ufanye uwe banned. Japo mengine hatukubaliani lakini bado una hoja nzuri. Mimi na wewe tuli jadiliana sana siku moja na wala haikufikia kuwa matusi. Kama jamaa kakuudhi pole mkuu ile sasa calm down na uendeleze hoja zako.


Respect.....
 
Akizungumza na waadishi wa habari Sheikh Simba aliweka mabaya jinsi ambavyo BAKWATA haikufurahishwa na uamuzi uliotolewa na Serikali wa kukataa kuanzishwa kwa mahakama hiyo nchini.

Wakati huo huo, maaskofu nchini wameunga mkono uamuzi wa Serikali wa kukataa kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi, wakidai suala hilo likikubaliwa linaweza kuleta mgongano wa kimaslahi baina ya Wakristo na Waislamu ndani ya nchi.

Wakati maaskofu wakiunga mkono uamuzi huo wa Serikali, tayari Waislamu kupitia Kamati Kutetea Haki za Waislam wametangaza kuandamana siku ya Ijumaa kupinga uamuzi huo.

Maskofu hao walisema uamuzi wa Serikali wa kukataa kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi utakuwa umezingatia maoni ya wananchi waliyotoa kwenye Tume iliyoundwa, baada ya kubaini mahakama hiyo haitakuwa na maslahi kwa Taifa.

Askofu Mkuu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Methodius Kilain, alisema msimamo wa Serikali wa kukataa kuanzishwa kwa mahakama hiyo ni mzuri kwa kuwa Tanzania haina dini.

Alisema Katiba ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inatoa uhuru wa kila mtu kuabudu dini apendayo pasipo kubuguziwa.

Askofu Kilaini alisema waislamu kama wanataka, wanaweza kuanzisha Mahakama ya kadhi bila ya kuihusisha Serikali." Wana uhuru wa kuendesha mambo yao kwenye taasisi zao yanayoendana na masuala ya kiroho bila kuishirikisha Serikali.

"Sisi Wakatoliki tunazo mahakama zetu kuanzia ngazi ya Parokia,jimbo hadi Roma tunafanya mambo yetu bila ya kuingiliwa na Serikali."alisema Askofu Kilaini.

Alisema Waislamu hawajakatazwa kuanzisha Mahakama ya Kadhi bali kinachokataliwa ni mahakama hiyo kuwa na mkono wa Serikali.

Alifafanua kuwa msimamo uliotolewa na Waislam kuwa hawatachagua viongozi wa CCM ni sehemu ya uhuru wao wa kutoa mawazo. "Kwa nchi isiyofungamana na misingi ya dini kila mtu ana haki ya kufanya hivyo," alisisitiza.

Askofu Kilaini alisema hakuna sababu ya watu kuendelea kuhoji suala hilo kwa kuwa liliundiwa Tume ya kukusanya maoni na uamuzi uliotangazwa ndiyo msimamo wa Serikali.

Akizungumza na Mjira jumapili kuhusu suala hilo, Askofu wa Kanisa la Africa Inland Churc (AIC), Charles Salala, alisema Waislam hawana sababu ya kuichukia Serikali kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatamka wazi kuwa Serikali haina dini.

"Katiba ya nchi yetu imeweka bayana kuwa Serikali haina dini, hili ndilo chimbuko la amani tunayojivunia," alisema Askofu Salala.

Alisema iwapo Serikali ingekubali kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi nchi ingeelekea pabaya.

"Ingekubalika kama nchi hii ingekuwa na dini moja, lakini kwa mfumo tulionao wa dini nyingi ni vigumu kuwa na Mahakama ya Kadhi," alisisitiza Askofu Salala.

Alisema hatua ya Serikali kuikataa mahakama hiyo inalenga kutoonesha upendeleo kwa dini yoyote.

Alifafanua kuwa kama ingeanzishwa ingeendeshwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo wakristo na wapagani. "Wakristo na Wapangani wasingekubali kuona fedha zao zinaendesha chombo ambacho hawanufaiki nacho," alisema.

Alisema kama Waislam wanahitaji kuwepo kwa Mahakama ya Kadhi wanaweza kuianzisha bila ya kuihusisha Serikali kama inavyofanya kwenye masuala ya usuluhishi wa ndoa na mirathi.

Askofu Salala alisema kitendo cha Waislam kuahidi kutoipigia kura CCM kwa sababu ya Serikali kukataa kuanzishwa kwa mahakama hiyo siyo cha kiungwana.

Naye Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana Tanzania, Dkt. Valentino Mokiwa aliwataka mashekhe hao kutolinganisha msamaha wa kodi uliotolewa na Serikali kwa taasisi za dini na mahakama ya kadhi kwani misamaha hiyo iko kwa pande za dini zote na hailengi kunufaisha upande mmoja.

Alisema si vema kuchang'anya mambo ya dini na sheria za nchi, kwani huduma za serikali inahudumia watu wengi wa dini mbalimbali na si dini ya kiislam tu.

Askofu Mokiwa alisema kama kila dini itamua kuunda mahakama yake Serikali itajikuta ikibeba mzigo mkubwa na kupunguza ufanisi katika idara ya nyingine.

Hata hivyo askofu huyo alisema hapingani kwa uanzishwaji wa mahakama hiyo ndani ya dini hiyo kwani ndiyo utaratibu unaofanywa na madhehebu mengine ambayo yamekuwa na mabaraza yake ya usuluhishi.

Source: Gazeti la Majira;7/7/2009
 
Nilijua tu tutafikia hatua hii hasa ukitilia maanani kuwa baadhi ya madhehebu yasingekubali hela zao za kodi zitumike kuanzisha mahakama ya dini ingine.

Umjini umjini wa CCM ya JK unawatokea puani sasa akina Dr Ngasongwa waliondaa ilani ya uchaguzi ya kitapeli ya CCM kuiba kura za waislam huku wakijua kuwa haiwezekani watumie hela za Hazina kwa mambo ya kidini!

JK na wenzako tunataka tamko!
 
Nchi inakwenda pabaya sasa, hivi hawa CCM walipoweka hili katika ilani yao ya uchaguzi hawakujua kama wngepingana na katiba ya nchi? Najua kwa wakati ule iliwasaidia kweli kwa sababu ya uchaguzi lakini wajitahidi wawe wanaona mbali basi!!madhara yake ndio haya sasa, MUNGU atusaidie watanzania.

Rabin
 
JK na wenzako tunataka tamko!

Nani alikuambia kwamba JK anaweza toa tamko?? Yaani hutujui waTZ? We subiri tu ilani mpya ya uchaguzi basi.... unachotaka kitokee ni sawa na kufukua maiti!!
 
hapa bado, inabidi kila mmoja aguswe na utapeli wizi uongo ufisadi na ahadi za kitapeli za serikali ya CCM na makundi yote yapate uchungu uliotukuka ili kila mmoja awe na hasira ya kweli na CCM na kutoa gamba hili gumu la sivyo bado tupo tupo sana na utapeli huu. Machungu bado hayajafika panapofaa kwani CCM kurudisha free tax kwa madhehebu imepunguza machungu kwa wengine.
 
Mashekh kazeni buti, kazi rasmi ikianza tufahamisheni na wale vijana wetu kule Toraborapia wakotayari wanasubiri vianze, pia Sheik Bin yuko aware na hii stuation. Tunahitaji changes, walishatuburuza vyakutosha. Sheikh Simba (Bakwata) pia wamechoshwa na tabia inayoendelea hapa nchini.

Hii tena haiitaji fat'wa iko very clear, We are on our way.
 
Mashekh kazeni buti, kazi rasmi ikianza tufahamisheni na wale vijana wetu kule Toraborapia wakotayari wanasubiri vianze, pia Sheik Bin yuko aware na hii stuation. Tunahitaji changes, walishatuburuza vyakutosha. Sheikh Simba (Bakwata) pia wamechoshwa na tabia inayoendelea hapa nchini.

Hii tena haiitaji fat'wa iko very clear, We are on our way.
umechoshwa na tabia ipi? Bakwata waanzishe hiyo mahakama ya kadhi waieleze serikali wapi watapata pesa na serikali itawasaidia kwa mawazo sio pesa ya kodi ilpwayo na mtu asiyejua hata umuhimu wa hiyo mahakama ya kadhi.
 
umechoshwa na tabia ipi? Bakwata waanzishe hiyo mahakama ya kadhi waieleze serikali wapi watapata pesa na serikali itawasaidia kwa mawazo sio pesa ya kodi ilpwayo na mtu asiyejua hata umuhimu wa hiyo mahakama ya kadhi.

Nadhani unajua Kenya, Uganda, UK nanchi nying kama hizi waislam wapepewa fursa kuanzisha Mahakama na serikali inalipia kulikoni Tanzania? hii isue imeshaelezwa kirefu tu, kinachotokea hapa niwakristo na serikali kuwafanya waislam kama second class citezen, we need changes, now is camming. kaa mkao wa kula.
 
Nilijua tu tutafikia hatua hii hasa ukitilia maanani kuwa baadhi ya madhehebu yasingekubali hela zao za kodi zitumike kuanzisha mahakama ya dini ingine.

Umjini umjini wa CCM ya JK unawatokea puani sasa akina Dr Ngasongwa waliondaa ilani ya uchaguzi ya kitapeli ya CCM kuiba kura za waislam huku wakijua kuwa haiwezekani watumie hela za Hazina kwa mambo ya kidini!

JK na wenzako tunataka tamko!



Jk hayuko tayari kuvunja katiba ya nchi kwa ajili ya kuwafavour waislamu wenzake. Serikali kulazimishwa kuunda mahakama ya kadhi ni kutowatendea haki wananchi wengine ambao si waislamu,umuhimu wa waislamu kuwa na mahakama yao hakuna anayepinga kinachopingwa ni kwa mahakama hiyo kuundwa kwa sheria za nchi wakati nchi yetu haina dini,sheria ni lazima iwe na saini ya president hivyo ndio kusema inakuwa ni sheria ya nchi,suala la kuwa mashehe au wahudumuaji mahakama hizo watagharimiwa na BAKWATA si hoja kwa kuwa hoja ya msingi ni mahakama hiyo kuwa kwenye sheria za nchi,gharama za serikali mfano kuchapisha muswada na hatimaye kuchapisha sheria zenyewe kwa ajili ya kusomwa na waislamu au wanasheria for that matter ni kodi za wananchi wote. Ni kweli kuwa waislamu hawawezi kuunda mahakama yao isiyokuwa na nguvu za kisheria ndio maana wanataka iwe sheria ya nchi,pamoja na kudai kuwa ni haki yao lakini haki gani ambayo haitambuliwi kisheria? kwani waislamu wamekatazwa kusali?Sheria tayari inatambua kuwepo kwa misikiti na makanisa pamoja na suala zima la uhuru wa kuabudu kwanini basi waislamu wasiendelee na uhuru wao huo ikiwa ni pamoja na kuunda mabaraza yao ya kutatua migogoro ambayo yataheshimiwa na waumini wote? Ingawa kuna barukta na Bakwata? misimamo inaweza tofautiana lakini hilo ni juu yao kwa nini serikali iwe moved kufanya kwa niaba ya dini fulani? Ni haibu kwa waislamu kutoelewa hilo
 
Back
Top Bottom