Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Hii issue ilikuwa kati ya Serikali na Waislamu wanaodai haki yao ya mahakama ya kadhi, lakini issue hiii sasa imechukuwa sura mpya after few myopic Bishops, who are ill-advised, decided to spew their venom. For the sake of our country's peace and tranquility, these Bishops should refrain themselves from the ongoing mayhem.
 
Tumaini punguza hasira, hawa jamaa hawajamaa wameishiwa wanaishia kutukana waache watukane wabaki na aibu zao, kwani hamna dini inayojali haki za binadamu kama uislam hata askofu anajua. Hivi wanaosimamia mauji ya kutisha duniani ni nani? aliefanya mauaji ya kinyama afrika kusini nn nani? anaeua angola na Kongo, burundi ni nani? Tumieni akili alizo wapa mungu vizuri ili mjue kweli, nafikiri serikali ishasema itashuhulikia kwa hiyo tusijadili tena, kwani wakiristo mmeona hii ndo sehemu yakuwatukana waislamu. Nani alieichongea serikali na waislamu mauaji mwembe chai? Sipendi kusema wakiristo but maaskofu ndo waliowachonganisha waislam na serikali mauaji ya mwembe chai, na sasa wanataka kurudia tena, hamtaweza tena kwani serikali imeshajua umafia wa maaskofu!!!!!!!!!!!! Haya ni machache tu kuonyesha ni jinsi gani Maasikofu walivyo, kwa hiyo uislam si dini ovu ila watu wanawezakua waovu.
wapi, bwana/bibi Amwanga, nyie ndio mnajulikana kwa kuminya haki na kulialia hapa duniani. Hivi ndivyo mnakaa kudanganyana kuwa nyie mnatoa haki?
Kuna kesi nyingi tu zinazodhihirisha dini yenu ni mnyongaji mkubwa wa haki. Hasa kujihesabia haki wakati wanaohukumu wengine wao pia hutenda yale yale.
 
Amwaga,
Kama alivyosema Mchukia fisadi, hapa mnaong'ang'ania hii mahakama ya kadhi hasa ni wanaume ili mfanye dhuluma yenu kiwaziwazi kwa wanawake. Hebu toa mfano ni kitu gani cha maana unachokikosa kwenye mahakama zingine katika mambo ya ndoa na mirathi mpaka mtake mahakama ya kiislamu kama si kutaka kuhalalisha hiyo dhuluma? Kwanza hata kusema ni mahakama ya kiislamu ni makosa mngesema ni mahakama ya kiarabu kwani hii inatokana na mila na desturi za kiarabu. Sijui kama kwenye nchi za kiislamu (Kiarabu) kuna mahakama ya kadhi na mahakama ya kawaida. Dini yenu inaendeshwa tu na mila na desturi za kiarabu. Fungueni machoni yenu enyi wanyenyekevu.
 
Sipendi kuanza kutoa kasoro na zaifu nyingi zilizopo kwenye ukiristo kwa kua na waheshimu na kuhofia kufikia kwenye kutukanana kwani si katika mafundisho ya uislam. Ila ndugu yangu navyowasoma wote wakiristo kwenye suala hili mnaonekana kama mapropagandalist, kwani mnasema vitu ambayo sio sifa ya uislam, pili mnasema vitu vyakisikia na hamuujui uislam na najua sababu inayopelekea mkafanya hivyo ni chuki na uongo unaohubiriwa na maaskofu juu ya uislam, kwani maaskofu huwaubiria kua waislamu wote ni wafuga majini na wakandamizaji wa wanawake, huu ni uongo mtupuuuuu. Na kwakua ulishafungwa milango yenu ya fahamu hata mkiambiwa uislam ndo mkombozi wa mwanadamu hutataka kuelewa. Kwa hiyo nikushukuru tu kwa kuekebei uislam but in islam we are tought to respect others and I respect you.
 
Hospitali ulizotaja na shule ulizotaja "Zinatumia kodi yangu mimi muislamu bila aibu"
Na bado nikifika hospitalini "NALIPIA DAU KUBWA" hatuendi bure huko acha ujinga mnatunyonya kotekote mnapenda vya bure....
Hivi nyie wakristo mna laana ya kupenda kunyonya au nini (wakoloni-wakristo,(walitunyonya), US (wakristo) hawaishi kunyonya midle east na Iraq???
Mafisadi (TZ) wengi maofisa serikalin (wakristo) wanasaini madili ya kifisadi mnalaana ya kupenda kunyonya nini?
MyK itakuwepo ndugu "Tumesema basi kunyonywa na kunyimwa haki"

Sawa Mzee nakubali maana Mafisadi wote kweli ni wakristo !! Rostam mkristo, Manji, mkristo, Dau wa NSSF na magodown ya ubungo ni mkristo, Jeet Patel ni mkristo, na wengine kibao wote wakristo.

Kwenye hospital nafikiri bado akili zako za shule hujazitumia, bado unatumia elimu ya madrasa kama avyosema mwanzo kuwa siku hizi mmesoma lakini mwanzo hamkusoma. Hata hospital za serikali unalipia ingawa wanapewa dawa bure na mishahara ya madaktari ni ya serikali!! Sasa ulitegemea hospitali za mission zitoe bure kabisa huduma !! then wangepata wapi mishahara?. Hiyo pesa unayosema ni kidogo sana haitoshi hata mshahara wa Daktari wawili!!. Ni tip tu inatolewa na serikali ili kuonesha ushirikiano tu kwani yenyewe imeshindwa kufikisha hiyo huduma.

Sasa tueleze na wewe kivipi angalau hiyo mahakama nayo itasaidia kidogo wale wasio waislam???
 
Bado pigo kwa serikali hii ya CCM ,kuna mauaji ya Mwembe Chai .kuna mauaji ya Pemba yote haya wameuliwa waislamu ,ipo haja kama hayakupatiwa ufumbuzi bado kuna umuhimu wa kura za Waislamu wa CCM kuhamishwa na kupelekwa kunakojulikana.

Sasa hata kama wamekubali kuianzisha mahakama ya kadhi ,lakini msimamo wa waislamu naona uwe palepale kuinyima CCM kura zao.
 
Sawa Mzee nakubali maana Mafisadi wote kweli ni wakristo !! Rostam mkristo, Manji, mkristo, Dau wa NSSF na magodown ya ubungo ni mkristo, Jeet Patel ni mkristo, na wengine kibao wote wakristo.

Kwenye hospital nafikiri bado akili zako za shule hujazitumia, bado unatumia elimu ya madrasa kama avyosema mwanzo kuwa siku hizi mmesoma lakini mwanzo hamkusoma. Hata hospital za serikali unalipia ingawa wanapewa dawa bure na mishahara ya madaktari ni ya serikali!! Sasa ulitegemea hospitali za mission zitoe bure kabisa huduma !! then wangepata wapi mishahara?. Hiyo pesa unayosema ni kidogo sana haitoshi hata mshahara wa Daktari wawili!!. Ni tip tu inatolewa na serikali ili kuonesha ushirikiano tu kwani yenyewe imeshindwa kufikisha hiyo huduma.

Sasa tueleze na wewe kivipi angalau hiyo mahakama nayo itasaidia kidogo wale wasio waislam???

Kazi kwelikweli, tusijivunie vitu vilivyo wekwa na watu ambavyo wakitoa mikono yao vyote vinakufa, kwa akili yangu si dhani kama huu ni mwenendo sawa waku analyse issues. Manake hapo unapoonyesha kuwa nyie mmefanya nn na wao wamefanya nn haisaidi, wape mahakama uone itawasaidiaje waumini then you can see if has add some thing. Sasa ww mahakama haijawekwa unaanza kutoa majibu what is that??? Nikupe hongera kwa elimu yetu ya kudesa ndo inakufanya ushindwe kukubali mabadiliko. reseach haujafanya ushaanza toa majibu, huo si uongo , tanzania tunahitaji mabadiliko ya elimu kwani jinsi tulivyo hatuwezi leta mabadiliko kwa maendeleo ya nchi kwani blabla nyingiiiiiii.
 
CCM wanaendesha religious politics knowning kwamba hii ni kinyume cha sheria na katiba. CCM waliamua kiungiza mambo ya kidini kwenye ilani ya uchaguzi yao, wakati wakijua kuwa hiyo ni kuvunja sheria ya vyama vya siasa inayokataza vyama vya kidini. CCM wanavunja katiba kwa kuleta mambo ya ibada ndani ya serikali.

Lakini CCM ni chama tawala. Wakati wanaweka mambo ya kidini kwenye ilani yao ya uchaguzi hakuna aliyepiga kelele. Sasa CCM wanaamini walishinda uchaguzi kwa sababu ya mambo hayo. Ndo maana kelele za waislam zimewaswing.

Kuna wanaosema hili lina uhusiano na kodi kwa taasisi za kidini. Misamaha ya kodi ilipofutwa taasisi za kikristo zilitoa sauti zaidi. Tafsiri yake ni kuwa taasisi za kikristo zinanufaika na misamaha ya kodi. Huo ulikuwa mtego!!

Serikali ilikubali kupiga U turn, watu wakasema serikali imenywea kwa maaskofu. Kwa hiyo Masheikh nao wanatumia moto huo huo. Ikiwa ilinywea kwa maaskofu na kukubali kurejesha misamaha ya kodi kwa nini serikali hiyo hiyo isinywee kwa masheikh?? Kwa hiyo mazingira ya victim's game yalishajengwa. Kwa hiyo kuingiza mahakama ya kadhi inakuwa ni haki ya mashekhe kama ilivyokuwa haki ya maaskofu kurejeshewa misamaha ya kodi. Hili hamjaliona??? Haka ndo kamchezo.

Lakini suala la msingi ni la kuvunja katiba, ambayo ilivunjwa mwaka 2005 kwa chama kuingiza dini kwenye election manifesto. Ikiwa CCM wataendelea na hilo iko haja ya vyama vingine vile vile kuanza ku-exploit dini ili kujijengea mazingira ya kupata kura. Sasa hili la kuvunja katiba kwa CCM ambao ndo wenye mpini nani atawaambia wamevunja katiba?

CCM kwa kuingiza dini kwenye election manifesto yao wanajua walichofanya. Ila kwa sababu waliona watu wako kimya, wanaendelea mbele. Kuna mengi waliyoahidi ambayo hawajayatekeleza. Lakini sasa hivi tunapoelekea uchaguzi, wanagusa yale wanayoona ndo yatakayowapa ushindi. Ndo maana nasema CCM ni sera yao na wanaona ni lazima waitekeleze.

Debate ingetakiwa kuwa ni kwa nini CCM wamesimamia dini wakati katiba na sheria zinakataza vyama vya kisiasa kusimamia hayo?

Ndugu zanguni wakristo sasa ndo mlione hilo,mikakati ilianza siku nyingi kwanza ilikuwa ni kuwa na wajumbe wengi waislamu katika Halmashauri kuu ya taifa ya CCM. Tafuta orodha ya wajumbe.
Halmashauri kuu ya CCM ndo mkutano mkuu unaopitisha mgombea wa urais. Sasa wakati nyie mmwebweteka wenzenu walianza kujenga hoja.
Rais Mwinyi alipoingia madarakani ajenda ya siri ilikuwa ni kuhakikisha waislamu wanapewa upendeleo"Alipomteua Harun Mahundi kuwa Ispekta Jenerali wa polisi alifikiri kuwa ni mwisilamu aliwahi kumweleza kuwa ndugu Haruni usiwasahau ndugu zetu waislamu". Leo hii Kikwete anafuata nyayo hizo hizo,Mwema,Mkullo,Othman,na wengine wengi tu wako kwa kusudi maalumu. Kwa hiyo wakristo kama ndo mnaamuka sasa hivi kumbukeni wenzenu wameanza kujenga hii hoja siku nyingi.
Msione hawa wanaopinga kelele wenyewe wamejificha nyuma ya hawa ambao ni vyambo tu vinavyotumiwa tu.Ajenda yenyewe haija kamilika huu mtikiso lengo lake ni OIC ambayo ajenda yake ni kila nchi mwanachama iongonzwe na mwislamu.
Sasa kutokana na ombwe la uongozi tulionao hapa ndo mahala pa kupitisha mambo yao kwani kwa sasa nchi haina uongozi.
Amani mliyokuwa mnaishabikia mngoje itakapotoweka wakati mjahidin watakapo anza kuja kuwalipua makanisani kwa kkujilipua kama ilivyo jadi.Huko ndo tunako elekea.
Sasa ni mawili viongozi wa dini mwendelee kukaa kimya badala ya kuelimisha watu wenu ikibidi wapate uelewa wa kuengua viongozi wababaishaji,
 
Sawa Mzee nakubali maana Mafisadi wote kweli ni wakristo !! Rostam mkristo, Manji, mkristo, Dau wa NSSF na magodown ya ubungo ni mkristo, Jeet Patel ni mkristo, na wengine kibao wote wakristo.

Kwenye hospital nafikiri bado akili zako za shule hujazitumia, bado unatumia elimu ya madrasa kama avyosema mwanzo kuwa siku hizi mmesoma lakini mwanzo hamkusoma. Hata hospital za serikali unalipia ingawa wanapewa dawa bure na mishahara ya madaktari ni ya serikali!! Sasa ulitegemea hospitali za mission zitoe bure kabisa huduma !! then wangepata wapi mishahara?. Hiyo pesa unayosema ni kidogo sana haitoshi hata mshahara wa Daktari wawili!!. Ni tip tu inatolewa na serikali ili kuonesha ushirikiano tu kwani yenyewe imeshindwa kufikisha hiyo huduma.

Sasa tueleze na wewe kivipi angalau hiyo mahakama nayo itasaidia kidogo wale wasio waislam???
We dogo huna aibu.. unajisifia vya bure..kodi zetu zote "sasa muandike kwenye matangazo yenu "hospital ya kanisa la....and Mishahara ya wafanyakazi tunalipiwa na serikali ikiwemo kodi za waislamu" siyo mnajidai mnatoa huduma kumbe mnatangaza ukristo...
 
Amwaga,
Kama alivyosema Mchukia fisadi, hapa mnaong'ang'ania hii mahakama ya kadhi hasa ni wanaume ili mfanye dhuluma yenu kiwaziwazi kwa wanawake. Hebu toa mfano ni kitu gani cha maana unachokikosa kwenye mahakama zingine katika mambo ya ndoa na mirathi mpaka mtake mahakama ya kiislamu kama si kutaka kuhalalisha hiyo dhuluma? Kwanza hata kusema ni mahakama ya kiislamu ni makosa mngesema ni mahakama ya kiarabu kwani hii inatokana na mila na desturi za kiarabu. Sijui kama kwenye nchi za kiislamu (Kiarabu) kuna mahakama ya kadhi na mahakama ya kawaida. Dini yenu inaendeshwa tu na mila na desturi za kiarabu. Fungueni machoni yenu enyi wanyenyekevu.

ndg acha matusi,we endelea kuabudu misalaba na vinyago,wewe ndio wa kufungua macho
 
😀Hawa jirani na rafiki zangu wanaweza kukuchekesha. Hii yote ni kutafuta kuleta dhuruma kwa wakina mama na dada zetu. Kwa kuona serikali imewakalia vibaya side hiyo sasa wanatafuta kurahisisha dhuruma si kwa hao tu ila kwa watanzania wote.
Tumaini kwa nini nyie wakina baba wa dini hii ovu mnatafuta dhuluma????
Wewe si mwanamke wa kiislamu unajuaje kama wanadhulumiwa??
Uliza wake zetu wakwambie kama wanataka kuhukumiwa na sheria zipi?? unauliza mke wako au unamuuliza mchungaji haki za waislamu wapi na wapi?/
Unajua tatizo hamjui tu Mahakama zitakuwepo, hata kama aongoze nani katika nchi hii....sasa ndugu yangu mchukia fisadi...naomba uchukia ufisadi wa kunyima watu wengine haki zao kwa miaka mingi...vinginevyo jiite mpendamafisadi kwasababu unashabikia watu kunyimwa haki
 
Sipendi kuanza kutoa kasoro na zaifu nyingi zilizopo kwenye ukiristo kwa kua na waheshimu na kuhofia kufikia kwenye kutukanana kwani si katika mafundisho ya uislam. Ila ndugu yangu navyowasoma wote wakiristo kwenye suala hili mnaonekana kama mapropagandalist, kwani mnasema vitu ambayo sio sifa ya uislam, pili mnasema vitu vyakisikia na hamuujui uislam na najua sababu inayopelekea mkafanya hivyo ni chuki na uongo unaohubiriwa na maaskofu juu ya uislam, kwani maaskofu huwaubiria kua waislamu wote ni wafuga majini na wakandamizaji wa wanawake, huu ni uongo mtupuuuuu. Na kwakua ulishafungwa milango yenu ya fahamu hata mkiambiwa uislam ndo mkombozi wa mwanadamu hutataka kuelewa. Kwa hiyo nikushukuru tu kwa kuekebei uislam but in islam we are tought to respect others and I respect you.
I did not intended to insult my dear. I respect you too.
Nimesoma literatures nyingi kuhusu islamic ikiwamo islamic history toka kwa learned scholars. Nimezungumza na watu wengi. Nina jirani zangu, marafiki na business partners ambao ni waislamu hivyo si kweli kwamba nafundishwa na maaskofu au wote uliowataja.
Kwanza kwa taarifa yako bibi yangu yaani mama mzaa mama yangu alikuwa muislamu. Na tulipendana sana pamoja na kwamba mimi nilikuwa mkristo pamoja na mama yangu. Hatukubaguana tukimtunza na kafa mikononi mwetu . Tukamzika kwa taratibu zenu. Is this not a respect?
Kwa sababu hiyo the side I know about Islam is true.
 
Wewe si mwanamke wa kiislamu unajuaje kama wanadhulumiwa??
Uliza wake zetu wakwambie kama wanataka kuhukumiwa na sheria zipi?? unauliza mke wako au unamuuliza mchungaji haki za waislamu wapi na wapi?/
Unajua tatizo hamjui tu Mahakama zitakuwepo, hata kama aongoze nani katika nchi hii....sasa ndugu yangu mchukia fisadi...naomba uchukia ufisadi wa kunyima watu wengine haki zao kwa miaka mingi...vinginevyo jiite mpendamafisadi kwasababu unashabikia watu kunyimwa haki

Tumaini,
Tatizo mfumo wa elimu kwani hata research wanazofanya zinakua bias kwa kuwa walishajiaamini kuwa wao wamesoma na ni werevu wa kujua mambo. Kwani mahakama ya kadhi haitawahusu wanawake wa kikiristo sasa wao sijui wanalamikia nn. Utafikiria wao ndo wanawake wakiislam shame!!!!! Tubadilike jamani mbona watanzania tunaabisha?
 
We dogo huna aibu.. unajisifia vya bure..kodi zetu zote "sasa muandike kwenye matangazo yenu "hospital ya kanisa la....and Mishahara ya wafanyakazi tunalipiwa na serikali ikiwemo kodi za waislamu" siyo mnajidai mnatoa huduma kumbe mnatangaza ukristo...

Kumbe matatizo yenu ya kutotumia ubongo bado yapo!!! Nilifikiri baada ya wamissionary kuwaelimisha na kuwasaidia mpate elimu dunia mngebadilika na kuwa na mawazo ya kidunia lakini bado mmebaki kule kule!!!! Poleni sana. Wenzenu duniani wanafikiria jinzi ya kutafuta maendeleo na kufanya utafiti wa kwenda mwezini, nyie mmebaki kudai kitu ambacho mkiulizwa faida zake au hasara zake mnazokosa kwa kutokuwepo hamkijui!! Poleni sana. Nawatakia kilio chema kwani hiyo kitu NEVER on TANZANIA. Byeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, ngoja nifanye kazi za maendeleo
 
Salim Said na Ummy Muya
SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba amesema kuwa hoja ya Mahakama ya Kadhi haijazikwa bali itaendelea kujadiliwa na serikali kwa msaada wa masheikh.

Mufti Simba ametoa kauli hiyo baada ya serikali kutangaza Juni 30 kuwa haitaunda Mahakama ya Kadhi na badala yake itatafsiri sheria za Kiislamu na kuzijumuisha kwenye sheria za nchi ili zitumike kwenye mahakama za kawaida.

Akizungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) jijini Dar es Salaam jana, Mufti Simba alisema walikutana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvi juzi usiku na kukubaliana baadhi ya mambo ambayo yataharakisha kuundwa kwa mahakama hiyo.

“Tumekubaliana kwamba hoja ya Mahakama ya Kadhi haijazikwa, ila serikali inahitaji msaada wa masheikh katika suala hilo na sisi tumekubali kutoa msaada huo,” alisema Mufti.

"Hivyo jopo la masheikh litaundwa na serikali itaunda jopo lake la wataalamu halafu tutakutana, ili kuratibu mfumo ambao utatumika katika Mahakama ya Kadhi nchini.”

Hatua ya serikali kutangaza kuzika mpango huo wa kuanzisha Mahakama ya Kadhi ilipingwa vikali na Waislamu ambao walidai CCM iliwahadaa wakati wa kampeni za mwaka 2005 na hivyo kusema hawatakiunga mkono chama hicho kwenye uchaguzi ujao na pia kupanga kuandamana Ijumaa ijayo.

Lakini Mufti Simba alisema kikao chao na Waziri Pinda, kilichohudhuriwa na wajumbe zaidi ya 20, likiwemo jopo la masheikh aliloliteua kutoka madhehebu yote ya Kiislamu , wamekubaliana suala hilo liendelee kushughulikiwa.

"Niliandaa jopo la masheikh kutoka madhehebu yote nchini. Nashukuru kwa kuitikia wito wangu. Tulienda kwa Waziri Mkuu tukazungumza kwa mapana zaidi kuhusu Mahakama ya Kadhi na amekubali kuwa mahakama haijafa na mchakato unaendelea,” alisema Mufti Simba.

Alifafanua pia wamekubaliana na Waziri Pinda kwamba atazungumza bungeni kukanusha kauli iliyotolewa na Waziri Chikawe Juni 30 mwaka huu bungeni mjini Dodoma kuhusu uamuzi wa kuzika hoja ya mahakama hiyo.

Mahakama ya Kadhi hushughulikia hasa masuala ya mirathi na ndoa kulingana na misingi ya dini ya Kiislamu.

"Kimsingi serikali haijakataa mahakama ya kadhi, lakini inahitaji msaada wa masheikh na tumekubaliana na Waziri Pinda akafute usemi wa kwamba serikali haitaunda tena mahakama hii na yeye amekubali," alisema Mufti Simba.

"Kitakachoendelea ni kujadili mfumo gani wa mahakama unafaa kutumika.”

"Tunayo matumaini makubwa ya kuipata Mahakama ya Kadhi kwa sababu ni haki yetu na tutaendelea kuidai hadi pumzi yetu ya mwisho (mpaka kufa), mchakato unaendelea.

"Jazba hazifai na tutumie hoja au kwa msemo wa kisasa tutumie nguvu ya hoja.”

Mufti Simba pia alitoa onyo kali kwa Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mnyamani uliopo Buguruni, Sheikh Muhammad Idd Muhammad kwa kuzungumza katika vyombo vya habari yale yaliyozungumzwa juzi katika kikao baina ya serikali na jopo la masheikh, kabla ya Mufti kuzungumza.

"Mzungumzaji wa suala la Mahakama ya Kadhi kwa upande wa Waislamu ni mimi tu, hakuna mzungumzaji mwingine. Hivyo namuonya Muhammad Idd kwa kitendo chake cha kutangulia kuzungumzia yaliyojiri katika kikao chetu kabla mimi kuzungumza,” alionya Mufti.

Akizungumza katika kipindi chake cha Arrisala kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Channel Ten juzi usiku, Sheikh Idd alieleza kwa ufupi yale yaliyozungumzwa katika kikao cha masheikh na Waziri Pinda.

Sheikh Idd alikiri kosa na kumuomba radhi Mufti Simba, masheikh wenzake pamoja na Waislamu, lakini aliongeza kuwa hakufanya hivyo kwa nia mbaya.

"Nakiri kosa; lakini pia namuomba radhi Mufti, masheikh na Waislamu licha ya kwamba sikufanya vile kwa nia mbaya. Hata Mufti atajua baadaye kuwa sikufanya kwa nia mbaya,” alisema Sheikh Idd.

Baada ya kumaliza kutoa tamko lake, Mufti Simba alikataa maswali akisema suala hilo la Mahakama ya Kadhi linahitaji umakini wa hali ya juu katika kulizungumza.

"Leo sitaki maswali... sitaki kubabaishwa katika majibu. Nakataa maswali ili haya yakaandikwe kama vile nilivyosema bila ya kupotoshwa,” alisema Mufti.

Kabla ya Mufti kuzungumza na waandishi, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum aliwatahadharisha waandishi kuacha kuandika na kunukuu kauli za watu wengine, badala yake wachukue yale ya Mufti Simba tu kwa sababu yeye ndiye msemaji mkuu katika tukio hilo.

"Waandishi waondoke na kauli ya Mufti tu yeye ndiye msemaji mkuu wa Waislamu Tanzania kupitia chombo chao cha Bakwata. Hakuna msemaji mwingine,” alisema Sheikh Salum.

Hoja ya Mahakama ya Kadhi imekuwa ikidaiwa na Waislamu kwa takriban miaka 20 sasa huku serikali ikitoa ahadi ya kulipatia ufumbuzi, lakini awamu zote za serikali zimekuwa zikipiga danadana.

Wakati huohuo, katibu wa Kamati ya Kutetea Haki za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema maandamano ya amani waliyopanga kuyafanya Ijumaa wiki hii, yatafanyika kama yalivyopangwa.

Sheikh Ponda alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na Mwananchi na kwamba maandamano hayo yataanzia Viwanja vya Mnazi Mmoja na kuhitimishwa katika viwanja vya Biafra vilivyo Kinondoni jijini Dar es Salaam.

“Hakuna kitakachotubadili msimamo wetu. Sisi tunafanya maandamano hayo ya amani kuonyesha hisia zetu na kitu gani ambacho Waislamu tunahitaji,” alisema.

Alisema pamoja na kuwapo na kauli mbalimbali za kuwataka Waislamu wawe na subira, hawatakubali kwa kuwa kauli hizo sio mpya na kwamba wameshazizoea.

“Kauli kama hizo zimekuwa zikitolewa mara kwa mara na viongozi," alisema.

Alieleza kwamba maandamano hayo yataanzia Viwanja vya Mnazi Mmoja na kupitia barabara za Bibi Titi, Morogoro na Kawawa,” alisema.

Naye Katibu wa Kamati Maalum ya Kutetea Mali za Waislamu, Sheikh Khalifa Khamis alisema maandamano hayatakuwa na maana kwa sababu suala hilo limeshazungumzwa na masheikh na serikali.

“Mimi nipo pamoja na Mufti kwa kuwataka Waislamu wawe na subira kwa kuwa hivi sasa anayesubiriwa ni Mufti kuipeleka timu yake kwa waziri wa sheria,” alisema.

“Nina uhakika mahakama hii itapatikana mapema kwa kuwa mazungumzo tumeshamaliza na kinachofuata ni utekelezaji tu,” alisema Sheikh Khamis.

Sheikh Khalifa aliwataka Waislamu kuendelea kuwa na subira kwa kuwa uanzaji wa mahakama hiyo unaweza kuwa kwa awamu na kutoa mfano kwamba inaweza ikaanza Dar es Salaam ama wilaya ya Ilala na mikoa mingine ikafuata.

Alipotafutwa na Mwananchi, Waziri Chikawe alikataa kuzungumza kwa njia ya simu akidai hana uhakika kama anayezungumza naye ni mwandishi kweli wa gazeti hili.

“Nitajuaje kama wewe ni mwandishi, nitajuaje,” alihoji Waziri Chikawe na kuongeza: “Come to my office (njoo ofisini kwangu),” alijibu na kukata simu.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi, ambaye imedaiwa kuwa alikuwemo kwenye kikao hicho, alisema: “Muulize aliyewaita masheikh hao mimi sijawaita.”
Source: Mwananchi
 
I did not intended to insult my dear. I respect you too.
Nimesoma literatures nyingi kuhusu islamic ikiwamo islamic history toka kwa learned scholars. Nimezungumza na watu wengi. Nina jirani zangu, marafiki na business partners ambao ni waislamu hivyo si kweli kwamba nafundishwa na maaskofu au wote uliowataja.
Kwanza kwa taarifa yako bibi yangu yaani mama mzaa mama yangu alikuwa muislamu. Na tulipendana sana pamoja na kwamba mimi nilikuwa mkristo pamoja na mama yangu. Hatukubaguana tukimtunza na kafa mikononi mwetu . Tukamzika kwa taratibu zenu. Is this not a respect?
Kwa sababu hiyo the side I know about Islam is true.

It is good if you know but islam is very wide and has attacked wit so many except quran no one has able to change, when you are talking of islam you should be aware that there are different field like MBA in islam, Law in islam , Engineering , so when it comes to Mahakama ya kadhi you should not conclude because you are not an expert on that area, let we leave the expert to conclude . All the best man.
 
Kumbe matatizo yenu ya kutotumia ubongo bado yapo!!! Nilifikiri baada ya wamissionary kuwaelimisha na kuwasaidia mpate elimu dunia mngebadilika na kuwa na mawazo ya kidunia lakini bado mmebaki kule kule!!!! Poleni sana. Wenzenu duniani wanafikiria jinzi ya kutafuta maendeleo na kufanya utafiti wa kwenda mwezini, nyie mmebaki kudai kitu ambacho mkiulizwa faida zake au hasara zake mnazokosa kwa kutokuwepo hamkijui!! Poleni sana. Nawatakia kilio chema kwani hiyo kitu NEVER on TANZANIA. Byeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, ngoja nifanye kazi za maendeleo

Mpenda nchi ndo mboa nchi, kumbe ww ndo waziri mkuu, manake Pinda kasema atatoa maelekezo wewe ushatoa conclusion, Nashaka na uwezo wetu wa kufanya tafiti na kupitia habari kwani mtoa hitimisho hajatoa ss tushatoa, duuuuu hi kali kwelikweli, ndo wamissionary wanawafundisha hivyo?
 
Back
Top Bottom