Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Ya mwanzo nimeshaandika vya kutosha na naona tutofautiane tu.

Nakuja kwenye suala la gharama:-

Ni rahisi sana kuandika kuwa ukianzisha hiki chombo basi kesi zitapungua. Ila unasahau kuwa tatizo ni PESA siku zote. Kama pesa ingelikuwepo basi kitivo cha sheria kingelipanuliwa, mahakimu wakasomeshwa wengi, mahakama zikajengwa..... naama jengo kubwa kuliko yote Tanzania linakuwa ni mahakama tu. Na haya yanakuwa kila mkoa. Huoni tatizo lingeliisha? Ila kumbuka Tanzania kwanza lazima wale mafisadi, lije jeshi likombe, Polisi, wizara ya afya, maji na umeme, wizara ya elimu, wanafunzi, nauli ya Muungwana kwenda nje, Washa, kongamano, ndege, shangingiS, misafara mikubwa ya Pinda na Muungwana na ................
Unafikiri hiyo pesa ya kuanza kulipia hao KADHI itatoka wapi?

Ndiyo maana Mwanakijiji akashangaa mwanzo kabisa kuwa wakati wengine tunalia na MAFISADI, wenzetu mwalilia KADHI. Haki ya nani, siku moja tukawaondoa MAFISADI na CCM yao, nione mtu anakuja kulialia hapa kuwa "ni sisi tulipigania uhuru..... sasa twadai pesa ya kadhi...." Tungeliungana Waislaam kwa Wakristo na kuwashughulikia MAFISADI na UCHUMI wa Tanzania ukisharudi mikononi mwetu, tukae chini tujadili juu ya hili maadamu pesa zipo, why not? So longer watu watapa ajirra.
a) Argument zako zinaonyesha kama waislamu hawapiganii UFISADI au wananyamaza katika kulisemea hilo...sina uhakika na ukweli wake kila raia mwema nchini atafurahi kuona mafisadi wanashughulikiwa kisawasa mimi si msemaji wa bakwata lakini nadhani hawasupport mafisadi wote (weusi na weupe) bila kubagua hiyo ndiyo haki ya kweli!
b) Mahakama ya Kadhi huwezi kulinganisha na Ufisadi, in fact mtu yeyote anayemnyima mwenzake asipewe haki ya kuukumumiwa kwa haki kwa mujibu ya ibada yake amemnyima haki. kutokutoa haki ni UFISADI kwa MyK ni haki kwa waislamu tena ya iliyonyimwa miaka mingi 20+ ni ufisadi wa zaidi ya miaka 20 huu wa epa umeanza jana tu ndugu??
c) Issue ya gharama nafikiri tumeshakubaliana kwamba hata ingepanuliwa na mahakimu wakasomeshwa wakaongezeka lakini "BADO" waislamu watakuwa hawajapewa haki yao ya kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria zao..
d) MyK bila shaka ikianzishwa itapanuka, itahitaji pesa zaidi lakini ni swala la "pro-rata" kadiri inavyopanuka ndivyo inavyopunguza kesi kwenye mainstream kwahiyo itakuwa pesa zinatolewa kulingana na kesi unazoshughulika what is so difficult kuelewa hapo??
 
Hayati Mwalimu J.K. Nyerere alituasa sana juu ya mambo ya dini. Fikiria hili, kama Waislamu wakikiubaliwa madai yao ambayo naamini ni Genuine, then:
1. Waislamu Watakuwa na Mahakama ya Kadhi, next litakuwa swala la nguruwe. Mnakumbuka yaliyotokea huko nyuma
2. Wahindu watataka Wanyama wasiliwe
3. Wasabato watataka Jumamosi iwe siku ya mapumziko
4. Dini ya jadi watataka nao Mahakama za Kimila n.k.
 
UKWELI NI KUWA TANZANIA LIPO NDIO KINA KIGOMA MALIMA WAKATOA HATA DATA ZA UBAGUZI ZA WAISLAMU . KUNA RESERCH NYINGI HATA ZA ABOUD JUMBE ALIEKUWA MAKAMO WA RAIS JUU YA UBAGUZI WA WAISLAMU HUKO TANGANYIKA

http://www.redet.udsm.ac.tz/documen...working paper 3 - kadhi courts paper 2007.pdf

it is interesting to read..Kama alivosema Abdul hapo mwanzo...hii huwezi kuiita ni research in its strict sense. Ni paper iliyowasilihswa kwenye kongamano. Ingekuwa imechapishwa kwneye peer reviewed journal hapo ingekuwa na uzito zaidi.

pili, hata kwa kuisoma haraka haraka, pamoja na mapungufu yake, hitimisho lake linavuta hisia na hapa naomba niliweke kama lilivyo:

Those opposing the Kadhis Courts and making allegation of bias for Muslims by making reference to the CCM Election Manifesto are politicizing the issue which may result in creating unnecessary tension and disharmony between citizens. We must equally hasten to caution that the establishment of the courts should be conducted in a manner that would not lead to, or have the elements of the State according prominence to one religion
[Majamba, H.2007:29]

Sehemu niliyopigia mstari nadhani ndio imekuwa shemeu ya maoni ya wadau wengi wa hii mahakama...ianzishwe, sawa, lakini si kupitiia serikali. Kama serikali itatia mkono wake hapa (na imeshaanza kuonyesha hivyo) basi ni dhahiri itakuwa imeonyesha upendeleo kwa dini nyingine kama alivosema bwana Majamba.

Full version ya hiyo paperHAPA
 
Hayati Mwalimu J.K. Nyerere alituasa sana juu ya mambo ya dini. Fikiria hili, kama Waislamu wakikiubaliwa madai yao ambayo naamini ni Genuine, then:
1. Waislamu Watakuwa na Mahakama ya Kadhi, next litakuwa swala la nguruwe. Mnakumbuka yaliyotokea huko nyuma
2. Wahindu watataka Wanyama wasiliwe
3. Wasabato watataka Jumamosi iwe siku ya mapumziko
4. Dini ya jadi watataka nao Mahakama za Kimila n.k.
Hapa hujaongea kitu umekurupuka???
 
Watanzania hatuwezi kuanza mchezo wa kulipa kodi ili kulipia mahakama ya kadhi ambayo inahudumia waislam pekee.

Waislam wasitake kutuaminisha kuwa uislam ndiyo imani pekee inayofaa kufuatwa. Wenywewe wanatuambia kuwa mtu asiye mwislam hatakiwi aamue masuala ya kiislam kwa kuwa mtume wao anasema mambo yanayoamuliwa na kadhi ni ibada. Sasa kwa nini watanzania wote tuingize sheria za kufuata ibada ya kiislam. Sisi watanzania katutaki kutoa kodi yetu kuendesha ibada ya kiislam.Hivi mie nilipe kodi ili kadhi akaamua masuala ya kuandama kwa mwezi yaani masualaya ramadhani,halafu kodi yangu itumike kuamua masuala ya talaka katika ndoa wakati imani yangu ni ya mke mmoja bila talaka. Shida nyingine ni eti kadhi athibitishwe na serikali.Maana yake ni kuwa waislam watajitahidi kila wakati awepo rais mwislam ili wasiruhusu ‘kafiri’ awathibitishie Kadhi wao. Maana yake ni kuwa waislam watakuwa wanapiga kura kidinidini.Hatutaki watanzania.

Kadhi anaamua masuala yanayohusu ibada ya kiislam. Kama ilivyo madhehebu mengine vivyohivyo waislam hawana haki ya kulazimisha watanzania kufuata ibada yao. Na hili siyo suala la Pinda na washehe, wala mashehe na JK. Serikali yetu haina dini yoyote na hivyo ni msingi ambao unatakiwa uendelee na hii ndiyo utambulisho wetu sisi kama watanzania. Mahakama ya kadhi ianzishwe na waislam wao wenyewe bila kushirikisha watanzania wote na bila serikali kutumika. Na hapa serikali imeshafanya kosa kubwa lakutenga zaidi ya shili milioni 900 kushughulikia mahakama ya kadhi.

Nchi hii ni ya watanzania wote wala si ya dini ya kiislam. Watanzania wa dini nyingine tujiandae kuikataa CCM ikiwlazimisha watanzania tuabudu kiislamu,kwa vile mahakama ya kadhi inaamua mambo ya ibada ya kiislam pekee. Mbona wengine wana mahakama zao kuanzia zile za mila hadi za madhehebu mengine na hazilipiwi kodi na watanzania?
 
Mtu akiniambia niache kufuga NGURUWE hapa Sikonge na kutokula, niache kutengeneza Wanzuki (Pombe) ina maana nife njaa au nikale POLISI. Hapo Tanzania patakuwa HAPATOSHI.

Mwisho yatakuja madai Masheick na Mapadri na watumishi wengine wa dini wawe wanalipwa na serikali kwani wanatoa huduma kwa Watanzania kama waalimu. Na wao ni haki yao kikatiba. Ehhh, ngoja tusubiri tuone mwisho wake. Mie huu MJADALA NAMALIZIA HAPA. Kila la kheri wenzangu, ngoja nikalishe NGURUWE watu.
 
Mbona uko terrified kwa jambo ambalo hakuna mtu amekwambia uliache? wewe fuga, kula (kilo kumi kwa siku ukitaka!! who cares), kunywa pombe zako who cares???
Tunachotaka sisi MyK inayohukumu kesi za mirathi na ndoa za kiislamu? nguruwe na ufugaji wapi na wapi??
 
Watanzania hatuwezi kuanza mchezo wa kulipa kodi ili kulipia mahakama ya kadhi ambayo inahudumia waislam pekee.

Waislam wasitake kutuaminisha kuwa uislam ndiyo imani pekee inayofaa kufuatwa. Wenywewe wanatuambia kuwa mtu asiye mwislam hatakiwi aamue masuala ya kiislam kwa kuwa mtume wao anasema mambo yanayoamuliwa na kadhi ni ibada. Sasa kwa nini watanzania wote tuingize sheria za kufuata ibada ya kiislam. Sisi watanzania katutaki kutoa kodi yetu kuendesha ibada ya kiislam.Hivi mie nilipe kodi ili kadhi akaamua masuala ya kuandama kwa mwezi yaani masualaya ramadhani,halafu kodi yangu itumike kuamua masuala ya talaka katika ndoa wakati imani yangu ni ya mke mmoja bila talaka. Shida nyingine ni eti kadhi athibitishwe na serikali.Maana yake ni kuwa waislam watajitahidi kila wakati awepo rais mwislam ili wasiruhusu ‘kafiri’ awathibitishie Kadhi wao. Maana yake ni kuwa waislam watakuwa wanapiga kura kidinidini.Hatutaki watanzania.

Kadhi anaamua masuala yanayohusu ibada ya kiislam. Kama ilivyo madhehebu mengine vivyohivyo waislam hawana haki ya kulazimisha watanzania kufuata ibada yao. Na hili siyo suala la Pinda na washehe, wala mashehe na JK. Serikali yetu haina dini yoyote na hivyo ni msingi ambao unatakiwa uendelee na hii ndiyo utambulisho wetu sisi kama watanzania. Mahakama ya kadhi ianzishwe na waislam wao wenyewe bila kushirikisha watanzania wote na bila serikali kutumika. Na hapa serikali imeshafanya kosa kubwa lakutenga zaidi ya shili milioni 900 kushughulikia mahakama ya kadhi.

Nchi hii ni ya watanzania wote wala si ya dini ya kiislam. Watanzania wa dini nyingine tujiandae kuikataa CCM ikiwlazimisha watanzania tuabudu kiislamu,kwa vile mahakama ya kadhi inaamua mambo ya ibada ya kiislam pekee. Mbona wengine wana mahakama zao kuanzia zile za mila hadi za madhehebu mengine na hazilipiwi kodi na watanzania?
Mbona mimi Muislamu nalipia huduma za wakristo ikiwemo mishahara ya masisiter na walimu wa dini kwenye shule za kikristo tangu zamani??/ MoU???
 
Mkuu hiyo serikali ni nani? Si ipo kikatiba? au ni kikundicha watu kimeshuka from above?

Tunaposema ni suala la kikatiba tunamaanisha ni katiba kweli....ndiyo inayosema masuala ya uwepo wa serikali na muundo wake.

Huo mfano wako kuwa serikali ni baba kwa hapa sidhani kama unafaa.
MoU iko kwenye katiba?
Misamaha ya kodi iko kwenye katiba?
 
Tumaini, kwani tatizo liko wapi? unahitaji kibali cha serikali ili kuweza kuhukumu mambo ya ndoa? Mirathi? etc? kweli kabisa unaweza kusema na kusimama kifua mbele kuwa kwa kutokuwepo mahakama ya kadhi utakuwa umenyimwa haki ya msingi! Kwani ninyi ni mabingwa wa kutoa talaka kiasi hicho? Hebu toa a business case ya kutumia pesa ya walipa kodi kwa ajili ya kadhi...mfano katika kila ndoa 10 za waislamu basi 8 huishia na talaka na kisha project kwa population ya waislamu tz. I assume you did some QT and decision models....!
 
Talaka ni haki iliyoruhusiwa katika ndoa!! (Lakini there is lot to learn between the lines siyo rahisi kihivyo...)

Lakini ufahamu hakuna sababu yakuwepo kwenye ndoa ambapo hakuna raha ila karaha lazima ufurahia maisha ya ndoa...sasa usitake kuniambia hakuna wakristo wanaomba mahakamni talaka ?? wako wengi sana ...wengi huishi kwa taabu acha hizo bwana

Business case ndio mjadala yenyewe ndio maana nili-suggest ili wakristo waelewe kuwepo na open debate kati ya "Masheikh, maaskofu na serikali" watakupa hizo statistics unazotaka??? cost -benefit implication unazotaka???

Watu wa serikali (wasomi-experts wakiwemo wakristo) walipewa wakaona hakuna haja ya kukataa MyK ila tatizo liko kwa mtoto anayependa kupendelewa yeye tu (Wakristo for this matter maaskofu) wana wivu ya kufa mtu hata wa kike ni afadhali siyo issue ya cost ndugu??? just wivu na chuki???
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 53 (21 members and 32 guests)
Abdulhalim, Abtideso, araway, care4all, Guma Mlugaluga, Interested Observer, kicheruka, kinombo, Masatu, Mbalamwezi, MLEKWA, Mpendatz, Mpita Njia, Mr. Bean, Mr. Zero, Mugerezi, nyakyegi, wakubaha, Yebo Yebo, Zion Train
 
Hivi mie ngoja niulize swali wakristo peke yao ndio walipa kodi kwanza wafanyabiashara wengi tanzania ni waislamu na ndio walipa wakubwa kama hutaki kachukue daftari la walipa kodi wakubwa TRA ujiangalie mwenyewe. Kuanzia Bakhressa, Zakhem, Zakaria etc je nao hawa wakihoji kodi yao inaenda wapi tutaishi na tutafika. Pili kama kigezo ni kodi mbona kuna hospitali za missionary serikali inazisaidia kujenga tena wakitoa na mchango wao kwa kigezo eti zitasaidia watu swali laja je mahakama ya kadhi haitasaidia watu tanzania if not waislamu si watu katika jamii.

Acheni kuwa biased wachangiaji wa humu ndani ya forums kama mna chuki yenu dhidi ya uislamu semeni lakini hii kitu hailali tunaisubiria kwa hamu ikwame tuone kama hii nchi ya wakristo au yetu sote. Msidhani waislamu wa sasa hivi ni kama wale waliokuwa wakikaa madrasa tumesoma wote shule hizo hizo tujibiwe kwa hoja na uwazi wapi na wapi na sio eti walipa kodi wa kikiristo watachukia kodi zao zinazoenda katika mahakama ya kadhi kwani waislamu hawalipi kodi?????

Kama walipa kodi wakubwa ni waislamu, na kama TRA inategemea zaidi waislam, Basi ingekuwa hao wanaotaka mahakama ya kadhi waanzishe kwa mipango yao na hao matajiri wakubwa waislamu wataisadiia kuiendesha kwa kuwalipa mahakimu wao. That is simple solution.

Hospitali za Mission zote Tanzania hii hazibagui wagonjwa, na ndizo zinaaminika kwa huduma nzuri kwa watu wote wanaokwenda huko. Nenda Peramiho, Nenda KCMC, Nenda Ipamba ( Tosamaganga) nenda Ndada, utakuta vijana kwa wazee wa dini zote wamepanga foleni wanasubiri huduma. Na hakuna ubaguzi. Hivyo usijaribu kuringanisha hiyo mahakama ya Kadhi na hospital kama kweli umesoma.

Ushauri wangu tumieni hiyo elimu mliyosoma shule hizo hizo za Mission vizuri kwa kuwashauri wengine ambao elimu imepita pembeni waelewe umuhimu wa Serikali kutokuwa na dini.!!! Hii hali ya kutokuwa na dini ndiyo inawapa uwezo watanzania kujivunia AMANI iliyopo.
 
Maaskofu wote wanaochochea vurugu za kidini wakamatwe na wawekwe ndani kwa usalama wa nchi. teh teh, kwani wao si serikali iweje waingilie mambo ya waislam na serikali, hawa jamaa hawaitakii nchi mema, washakula sana na sasa wamejisahau mpaka kuingilia mambo ya siasa kupitia mgongo wa mahakama ya kadhi, kuweni na huruma na watanzania, Nkunda amefanya mauji makubwa kongo kwa kujifanya yeye ni mchungaji anatetea maslahi ya wanakongo, kumbe uongo mtupu, Pinda maaskofu wasikuyumbishe tumia busara kuinusuru nchi.

Mchindwe maaskofu msio na huruma!!!!!!!!!!!!
 
Maaskofu na makuhani mtapiga makelele mpaka mtoke mate ,lakini waislamu ndio wanaondoa wapiga kura wao na kuwahamishia wanapopajua wao ,kusema jambo la kutoichagua CCM si la kiungwa basi muelewe na hata kuipigia kura CCM si jambo la kiungwana. Tutangazieni chaguo lingine la Mungu.
 
Kama walipa kodi wakubwa ni waislamu, na kama TRA inategemea zaidi waislam, Basi ingekuwa hao wanaotaka mahakama ya kadhi waanzishe kwa mipango yao na hao matajiri wakubwa waislamu wataisadiia kuiendesha kwa kuwalipa mahakimu wao. That is simple solution.

Hospitali za Mission zote Tanzania hii hazibagui wagonjwa, na ndizo zinaaminika kwa huduma nzuri kwa watu wote wanaokwenda huko. Nenda Peramiho, Nenda KCMC, Nenda Ipamba ( Tosamaganga) nenda Ndada, utakuta vijana kwa wazee wa dini zote wamepanga foleni wanasubiri huduma. Na hakuna ubaguzi. Hivyo usijaribu kuringanisha hiyo mahakama ya Kadhi na hospital kama kweli umesoma.

Ushauri wangu tumieni hiyo elimu mliyosoma shule hizo hizo za Mission vizuri kwa kuwashauri wengine ambao elimu imepita pembeni waelewe umuhimu wa Serikali kutokuwa na dini.!!! Hii hali ya kutokuwa na dini ndiyo inawapa uwezo watanzania kujivunia AMANI iliyopo.
Hospitali ulizotaja na shule ulizotaja "Zinatumia kodi yangu mimi muislamu bila aibu"
Na bado nikifika hospitalini "NALIPIA DAU KUBWA" hatuendi bure huko acha ujinga mnatunyonya kotekote mnapenda vya bure....
Hivi nyie wakristo mna laana ya kupenda kunyonya au nini (wakoloni-wakristo,(walitunyonya), US (wakristo) hawaishi kunyonya midle east na Iraq???
Mafisadi (TZ) wengi maofisa serikalin (wakristo) wanasaini madili ya kifisadi mnalaana ya kupenda kunyonya nini?
MyK itakuwepo ndugu "Tumesema basi kunyonywa na kunyimwa haki"
 
Mtu akiniambia niache kufuga NGURUWE hapa Sikonge na kutokula, niache kutengeneza Wanzuki (Pombe) ina maana nife njaa au nikale POLISI. Hapo Tanzania patakuwa HAPATOSHI.

Mwisho yatakuja madai Masheick na Mapadri na watumishi wengine wa dini wawe wanalipwa na serikali kwani wanatoa huduma kwa Watanzania kama waalimu. Na wao ni haki yao kikatiba. Ehhh, ngoja tusubiri tuone mwisho wake. Mie huu MJADALA NAMALIZIA HAPA. Kila la kheri wenzangu, ngoja nikalishe NGURUWE watu.
Mbona Islamu ndio walaji wazuri wa nguruwe na wanywaji wazuri wa pombe? Fanya utafiti wako mazee😀
 
😀Hawa jirani na rafiki zangu wanaweza kukuchekesha. Hii yote ni kutafuta kuleta dhuruma kwa wakina mama na dada zetu. Kwa kuona serikali imewakalia vibaya side hiyo sasa wanatafuta kurahisisha dhuruma si kwa hao tu ila kwa watanzania wote.
Tumaini kwa nini nyie wakina baba wa dini hii ovu mnatafuta dhuluma????
 
Tumaini punguza hasira, hawa jamaa hawajamaa wameishiwa wanaishia kutukana waache watukane wabaki na aibu zao, kwani hamna dini inayojali haki za binadamu kama uislam hata askofu anajua. Hivi wanaosimamia mauji ya kutisha duniani ni nani? aliefanya mauaji ya kinyama afrika kusini nn nani? anaeua angola na Kongo, burundi ni nani? Tumieni akili alizo wapa mungu vizuri ili mjue kweli, nafikiri serikali ishasema itashuhulikia kwa hiyo tusijadili tena, kwani wakiristo mmeona hii ndo sehemu yakuwatukana waislamu. Nani alieichongea serikali na waislamu mauaji mwembe chai? Sipendi kusema wakiristo but maaskofu ndo waliowachonganisha waislam na serikali mauaji ya mwembe chai, na sasa wanataka kurudia tena, hamtaweza tena kwani serikali imeshajua umafia wa maaskofu!!!!!!!!!!!! Haya ni machache tu kuonyesha ni jinsi gani Maasikofu walivyo, kwa hiyo uislam si dini ovu ila watu wanawezakua waovu.
 
Back
Top Bottom