Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Hii nafikiri ni emosheno na stori za vijiweni Na huko ZENJI walipigana na wakristu wa wapi?

Kitu ambacho nafikiri watu tunashindwa kulogic ni hiki Mimba ikifika umri wake wa mama kujifungua lazima mtoto atoke nje hatajalisha mama yupo wapi na anafanya nini??

mimi pia nafikri tuwe na logic hii Uhuru wetu ulikuwa umefika na umekwiva na haufungamani na Nyerere wala vikundi vya kidini.

Labda unikumbushe kidogo ZUBERI MTEMVU na KASANGA TUMBO walikuwa ni dini ipi? na role yao ktk kuusaka uhuru ilikuwa je? Mbona tunakubali kupotoshwa kwa idea nyepesi nyepesi namna hii .Je uchumi unaohitaji idea nzito nzito tutaweza kuijenga kweli??

Waislam walitumia pesa zao,muda kupanga mikakati ya kuleta uhuru Tanzaia, wakati huo niwakristo wawili/watatu walishirikiana na waislam akiwepo Nyerere, sijui wewe unatoka nchi gani hulielewi hili. Fuatilia hata hutuba za Nyerere ameongea hili na wala sio story za mitaani kama unavyofikiri, history ni history haitobadilika

Uhuru wa TZ hauwezi kufananisha na mimba eti mtotot amefikia time atatoka tu, NO, NO!! lazima kunamtu katia mimba na lazima mkunga awepo karibu

Wakristo hawakushiki kugombea UHURU sababu walisha fubaishwa na neno la bwana kutoka kwa wakolono. Ni waislam ndo freedom fighter si wakristo. Historia ya TZ haitobadilika!!
 
Mahakama zitakuwepo hata kama ni another 20 years, no matter what it takes, no matter period it takes...hiyo ibada bwana ya Mwenye Nguvu, Mwenye Haki Allah hakuna atakayezuia atachelewsha tu iwe CCM, iwe CUF iwe Chadema hata kama Maaskofu waandike waraka mara elfu sabini "Mahakama ni Haki ya Muumini" so it has nothing to do Non-believers,

Mungu gani huyo ambaye mambo yake yanatatuliwa kwa njia ya mahakama? Mna tofauti gani na wapagani nyie? Halafu ukiangalia kwa undani wanaotaka mahakama ya kadhi ni wanaume kwasababu ya ubinafsi wao na ili waweze kuwakandamiza zaidi wanawake wao. Haki iko wapi pale mwanamke anayepata ujauzito nje ya ndoa anahukumiwa kifo wakati mwanaume aliyempa hiyo mimba anakula mpunga mitaani? Ukija kwenye issue ya mirathi wanawake hawana chao ni wanaume tu, hivi ndo mungu wenu kahalalisha mufanye uonevu huo? Hii dini inatia mashaka kwelikweli.
 
Historia ndiyo hiyo ishakwenda na maji...tuendelea kufight for peoples right..kwasababu hiyo duty yetu sisi leo babu zetu walishadai uhuru...sisi tunadai maendeleo na siasa safi sasa....
 
now, this is good 9(?0 news. we can now rest in peace since our Muslim bothers and sisters were at loggerheads with the system over this issue. what says U. i am OUT!
 
tartiibu nasikiliza nyimbo ya abbas mzee wa kikundi cha EGYPTIAN inaitwa HARUSI...
 
eeeeeh! habari hii kama ni kweli kuwa mazungumzo ya Pinda over the weekend yametosha kubadili msimamo wa serikali, nikiunganisha na ile ya kufuta kodi kwa mashirika ya dini kwa kutishiwa kunyimwa kura tu, basi kumbe kuna raha za kuwa madarakani ukiwatishia kuwaondoa inawauma sana. Kama madaraka ni matamu kiasi hicho kwa nini wasitimize wajibu wao? Kwa kuwa tumegundua udhaifu wao tuutumie.
Tuiambie serikali kama hakuna katiba mwakani wote hatupigi kura, bila shaka wataanza mchakato wa katiba mpya.
 
halafu watu wanasema ohh CCM itashidwa

subutu

kwa kadi kama hizi sidhani kama watashindwa

I cant wait kusikia tamko la CHADEMA on this issue
 
Hehe yaani page 19 kumbe original story ilikuwa uzushi? JF sijui tunaenda wapi.
 
Hapana tunamwita mtoto wa kijakazi ,na tena ktk ukatoliki hatuna neno halamu,maana twaamini Mungu alisipendi aghalabu sekunde kadhaa kukifanya kuwepo sasa mwanadamu wawezaje kuita kitu halamu ,ambacho Mungu kasipendi mda wake??
Kwenye ukatoliki kweli hakuna neno Halamu, ila kuna neno Haramu...!
 
Mahakama zitakuwepo hata kama ni another 20 years, no matter what it takes, no matter period it takes...hiyo ibada bwana ya Mwenye Nguvu, Mwenye Haki Allah hakuna atakayezuia atachelewsha tu iwe CCM, iwe CUF iwe Chadema hata kama Maaskofu waandike waraka mara elfu sabini "Mahakama ni Haki ya Muumini" so it has nothing to do Non-believers,

Ibada gani hiyo inahusu Mirathi na Ndoa tu? Masuala mengine vipi? Kwa nini msitekeleze maagizo yote ya Mola wenu na Mtume wenu? Kwa nini mchague baadhi tu ya kutekeleza huku sheria nyingine mnazikanyaga?

Unafiki mtupu!
 
MkamaP,
Hapana tunamwita mtoto wa kijakazi ,na tena ktk ukatoliki hatuna neno halamu,maana twaamini Mungu alisipendi aghalabu sekunde kadhaa kukifanya kuwepo sasa mwanadamu wawezaje kuita kitu halamu ,ambacho Mungu kasipendi mda wake??
Sasa ikiwa Ismail ni mtoto wa kijakazi kwa hiyo Hakubaliki au sio?.. kuna tofauti gani! ni sawa na kusema Mkate badala ya Boflo!

Mkuu ukitaka kuzitazama dini zetu kwa jicho hilo nadhani hutaabudu dini yoyote kwa sababu hata huyo Sarah ni dada yake Abraham kwa kuzaliwa..Kisha basi ukweli wa historia na hadithi (true story) Huyo kijakazi mnayemwita ni mtoto wa kuzaliwa wa Pharaoh ambaye alizawadiwa Abraham na Pharaoh ikifuatiwa baada ya Abraham kumzuga Pharaoh kwamba Sarah alikuwa dada yake huku jamaa alikuwa akila vitu usiku..Sasa tujiulize Sarah alikuwa dada yake Ibrahim au alikuwa mkewe!.
Tuachane na dini, mkuu wangu tunapopishana sisi na nyie ni mila za wazungu na waarabu kuingia ktk dini. Maswali mengi ya mila na desturi za Wayahudi au niseme walotutangulia hatuwezi kuzipatia nafasi sahihi ktk tamaduni zetu.

Ni imani yangu kwamba Ukristu, Uyahudi na Uislaam umechukua ndani yake mengi ya mila na desturi za hao wazungu na waarabu ambazo zimeathiri sana tamaduni zetu, but to my knowledge Torah, Kuran na Biblia ndio mwongozo wetu sote na matatizo mengi ktk imani zetu yametokana na tafsiri mbovu za wale waliotutangulia ama kututawala. Walichojaribu kufanya ni kuuza mila na desturi zao kwa kutumia jina la dini wakati wakitumaliza kama tunavyofungashiwa na UN, IMF na World Bank leo hii..

Hakuna njia moja iliyo bora kwetu kwa sababu sisi wenyewe NDIVYO TULIVYO...
Ukitazama ugawaji wa mirathi kutoka Kuran unafanana sana na ugawaji wa mirathi Kiasili isipokuwa tofauti kubwa imekuja tu kwamba hapa tunatumia imani ya dini inawapa mshtuko..
Kwa ujinga wetu na NDIVYO TULIVYO, nina hakika serikali wakisema toka sasa tumekubali kutumia baadhi ya sheria na haki za kiasili ktk mahakama zetu kila mmoja wenu atakubali hata kama sheria hizo zitakuwa ni za kiislaam..simply we can all relate with, sasa kazi kwa wahindi watatukanwa hao kama hawataki kufuata warudi India na kadhalika.
 
Last edited:
Ishaanza kuwa madrasa na Sunday school humu. Hivi watu hawajui kuna jukwa la dini humu JF?
 
Mungu gani huyo ambaye mambo yake yanatatuliwa kwa njia ya mahakama? Mna tofauti gani na wapagani nyie? Halafu ukiangalia kwa undani wanaotaka mahakama ya kadhi ni wanaume kwasababu ya ubinafsi wao na ili waweze kuwakandamiza zaidi wanawake wao. Haki iko wapi pale mwanamke anayepata ujauzito nje ya ndoa anahukumiwa kifo wakati mwanaume aliyempa hiyo mimba anakula mpunga mitaani? Ukija kwenye issue ya mirathi wanawake hawana chao ni wanaume tu, hivi ndo mungu wenu kahalalisha mufanye uonevu huo? Hii dini inatia mashaka kwelikweli.
Unaweza kutupatia source ya hayo uliyo yaeleza hapo juu, ili tusikudharau kwa kukuona kuwa wewe ni mzushi na unapaswa kudharauliwa!?
 
X-PASTER,
Mkuu huwezi kushindana wala ku reason na watu walojaa hasira.. Haikusaidii kitu wala hutamsaidia kitu kwani kisha pigwa mhuri..

Kitu kikubwa wasichofahamu ni kwamba dini zote zilianza na mahakama ndogo za kadhi kusaidia jamii zilizopo kupata haki zao. Ni katika kuleta haki na usawa baina ya jamii ndipo watu walianza kujenga imani ya dini hizo ambazo leo hii ni tawala na wamejenga mfumo ambao tunautumia.

Tatizo letu wengi hatufahamu historia za dini zetu zaidi ya kusoma Biography ya mitume na jina kubwa la MUNGU, bila kuelewa kwamba moja ya mission kubwa ya dini ni kuongoza jumuiya hizo ktk misingi ya haki na ni hizi dini zilizoangusha falme kubwa kubwa..Haki ni part of Ibada hata ktk lugha ya UN ndioo maana tuna haki za wanawake , watoto na kadhalika.na haki hizi hazikpatikani chumbani ila mahakamani kwenye sheria.
Mahakama zipo kwa sababu kuna watu kama hawa wanaofikiria kwamba hukumu ni mbinguni tu, halafu utawasikia Mafisadi wanatakiwa kufungwa Jela, kwa nini tusiwaachie hadi mbinguni wakahukumiwe!
 
Back
Top Bottom