Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Mkutano umeisha na KADHI HUYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO anakuja

na bado...
 
I said wait and see yesterday! Just less than a day interval and during weekend, Govt works of course during Sunday in cases where the survivor of the part is in jeopardy BUT not when its people are in trouble! Wonderful, really wonderful.

Again I say unto you buddies: Democracy isn't all about voting BUT counting. Tanzania haina demokrasia kamwe ni ubepari tena mbaya kabisa. Afadhali na Kenya where they dare do it in public kuliko hii nchi. Nafikiri hili jina Tanzania lina mashaka na halina baraka. Bora Tanganyika kwani tulivyopata tukiwa Tanganyika ndivyo hivyo hivyo hamna jipya katika Tanzania badala yake ni depletion of resources. Another suspect TANZANIA haikukabidhiwa kwa Mungu tangu uhuru na imekuwa ikitambikiwa sana kwa miungu na mojawapo ni mwenge wa uhuru. Ni taifa la wanga kuanzia mwasisi na kifimbo chake.

Mauaji ya albino, mauaji ya wanaharakati kama Sokoine, Kolimba, Katabalo, and the list goes on. USHETANI UNAFIKI WA IMANI HADI MAKANISANI, MISIKITINI, MIKUTANONI N.K. TANZANIA geuka tubu. Tanzania inapaswa kunyang'anywa kutoka mikononi mwa shetani ndipo maendeleo na furaha mioyoni mwetu itakapopatikana. Viongozi karibia wote ni agents wa shetani. Anayebisha na ahoji hapa. Kimya! Si unaona?

Acheni tunawajua wote kwa majina na mnapoenda na kufanya. Acheni tutaanza kuwabandika hapa mmoja mmoja kwa mauaji ya albino eti kupata umaarufu kisiasa, mali, nk. mipango ya kuuuwa wanaharakati nk. Acheni na muitumikie hii nchi kwa mujibu wa kiapo mlichokula. La sivyo mtakufa vifo vibaya sana na bila hata kupata fursa ya kusema neno.
 
CCM hasa njaa bana yaani wakiambiwa vueni nguo au mwakani hamtopata kura tunaweza tukaona komedi za haja.
By the way, hongereni waislamu kwa kupigania haki zenu, mngezubaa kidogo tu, mngepigwa bao.
 
That-Is-Great-Chorus-3.jpg

Tamko la waziri mkuu kwenye kikao na masheikh ambacho kimeisha 5 minutes ago sasa hivi wanachapa mpunga tuuu

khalas!
 
Last edited:
JAMII FORUMS WHERE WE DARE TALK OPENLY!

Nadhani hata ku break the news hatuwezekaniki sasa kilichobaki ni akina Nipashe et al kuja kukopy na kupaste kwenye magazeti yao
 
Tamko la waziri mkuu kwenye kikao na masheikh ambacho kimeisha 5 minutes ago sasa hivi wanachapa mpunga tuuu
khalas!

Anawavuruga tu hao. Unadhani wangesemaje kwenye hiki kipindi kuelekea 2010? Watakachoambiwa ni kwamba subirini bado tunaandaa kanuni. Politics ni mkusanyiko wa hekima, uhuni na ubabaishaji. Ukiweza mix zote kwa ratio sawa sawa mambo yanakunyookea sana.
 
Habari zinazoingia sasa hivi ni kuwa serikali imekubali kuanzishwa kwa mahakama za Kadhi na itazi gharamia

sioni tatizo la mahakama za kadhi kuanzishwa....muhimu ni lazima waislamu wawe tayari kugharamia..kama sehemu ya kutekeleza matakwa ya imani ...

serikali haina dini...ikijiingiza kugharamia chombo hichi itaibua mgogoro mwingine.....Lazima waislamu wenye mapenzi mema waone haja ya kuchangishana pesa za kugharamia taasisi hii mpya!!

masheikh wameitisha maandamano next friday....ningeshauri watofautishe kudai mahakama ya kadhi serikalini na hoja za serikali na wakrsito...kwani hii inaweza kusababisha tug of war kati ya wakrsito na waislamu....na kupelekea hoja ya kadhi kuwa kigezo cha ushindi ...hii italeta ugumu zaidi....wakristo wengi sasa wanaaunga mkono waislamu kuwa na chombo chao cha kusimamia haki zao ...ambacho wakrsito hawataki ni kuingiza mahakama ya kadhi kwenye mfumo wa katiba au sheria za nchi...na zaidi wanataka ijitegemee kwenye uendeshaji....

nadhani maulamaa wanatakiwa sasa wawashawishi wabunge na serikali...kuwa waislamu watagharamia mahakama hii....na hapo itakuwa haina haja ya serikali kukataa kuwaruhusu waislamu waunde taasisi hii...
 
Hakuna kitu hapo, kikao cha Pinda na mashehe hakiwezi kubadili katiba ya nchi. Mi nashangaa watu wazito hapa JF without critical thinking wanashangilia tu. hakuna kitu hapo.
 
sioni tatizo la mahakama za kadhi kuanzishwa....muhimu ni lazima waislamu wawe tayari kugharamia..kama sehemu ya kutekeleza matakwa ya imani ...

serikali haina dini...ikijiingiza kugharamia chombo hichi itaibua mgogoro mwingine.....Lazima waislamu wenye mapenzi mema waone haja ya kuchangishana pesa za kugharamia taasisi hii mpya!!

masheikh wameitisha maandamano next friday....ningeshauri watofautishe kudai mahakama ya kadhi serikalini na hoja za serikali na wakrsito...kwani hii inaweza kusababisha tug of war kati ya wakrsito na waislamu....na kupelekea hoja ya kadhi kuwa kigezo cha ushindi ...hii italeta ugumu zaidi....wakristo wengi sasa wanaaunga mkono waislamu kuwa na chombo chao cha kusimamia haki zao ...ambacho wakrsito hawataki ni kuingiza mahakama ya kadhi kwenye mfumo wa katiba au sheria za nchi...na zaidi wanataka ijitegemee kwenye uendeshaji....

nadhani maulamaa wanatakiwa sasa wawashawishi wabunge na serikali...kuwa waislamu watagharamia mahakama hii....na hapo itakuwa haina haja ya serikali kukataa kuwaruhusu waislamu waunde taasisi hii...

halafu unataka kuwa rais wa Tanzania

Umeshindwa kujizuia udini wako wee mpaka!

Lo! inaelekea hili limekuuma sana!

mbona hukutia neno kwenye ile memorandum ya Serikali ya Kanisa ambayo serikali inawapa wakristo Pesa?

hebu tupumzishe sie

gharama gharama ebo!
 
Mahakama zitakuwepo hata kama ni another 20 years, no matter what it takes, no matter period it takes...hiyo ibada bwana ya Mwenye Nguvu, Mwenye Haki Allah hakuna atakayezuia atachelewsha tu iwe CCM, iwe CUF iwe Chadema hata kama Maaskofu waandike waraka mara elfu sabini "Mahakama ni Haki ya Muumini" so it has nothing to do Non-believers,
 
Hapa hatuna serikali! Serikali gani isiyoongozwa na Katiba? Tutaona mengi mwaka huu!
 
Hivi kwa nini tunachukulia vitu vizito kama mipasho... jamani hili jambo tujadili kukiwa na tangible facts.
 
Hapa hatuna serikali! Serikali gani isiyoongozwa na Katiba? Tutaona mengi mwaka huu!

Anti terroroims act inavunja katiba left and right na mlinyamaza kima

MoU ya kanisa na serikali ilikuwa biased na mlinyamaza kima

Leo Mahakama ya kadhi ohhh katiba inavunjwa

the bottom line you will have to accept kuwa waislam wataendelea kuwepo na Generation iliopo na inayokuja si vumilivu ma iliyopita na wataendelea kubanana nanyi humo humo

Mkipinga uisadi mnasema mpo pamoja nakini mkifanya ufisadi wa kusign MoU za kifisadi na Lowassa mnauchuna na kudai ahhh si ushapu tuuu..

sasa ushapu ndio huo unaendelea
 
Habari zinazoingia sasa hivi ni kuwa serikali imekubali kuanzishwa kwa mahakama za Kadhi na itazi gharamia

Je akina Askofu Malasusa na wenzao wakihamasisha wakristo wao wasipigie kura CCM hiyo 2010 hao viongozi wa CCM watafanyaje?

Kweli sera pekee ya CCM sasa ni aidha Kuanzishwa au Kutoanzishwa Mahakama za Kadhi, hakuna sera nyinginezo...

Waislamu sasa ni kujiandaa kwa ajira za kufa mtu...
 
Hivi kwa nini tunachukulia vitu vizito kama mipasho... jamani hili jambo tujadili kukiwa na tangible facts.

Tangible facs ni kuwa kikao kimekwisha na Pinda anakula wali nam asheikh na mahakama ya kadhi iko kwenye pile line

what more tangible facts mnataka?
 
Mahakama zitakuwepo hata kama ni another 20 years, no matter what it takes, no matter period it takes...hiyo ibada bwana ya Mwenye Nguvu, Mwenye Haki Allah hakuna atakayezuia atachelewsha tu iwe CCM, iwe CUF iwe Chadema hata kama Maaskofu waandike waraka mara elfu sabini "Mahakama ni Haki ya Muumini" so it has nothing to do Non-believers,

Mahakama ni haki zaidi ikigharamiwa na inayowahusu. Nafikiri Allah ni mwenye nguvu kwa wanaomhusu na hana nguvu kwa asiyemhusu!
 
halafu unataka kuwa rais wa Tanzania

Umeshindwa kujizuia udini wako wee mpaka!

Lo! inaelekea hili limekuuma sana!

mbona hukutia neno kwenye ile memorandum ya Serikali ya Kanisa ambayo serikali inawapa wakristo Pesa?

hebu tupumzishe sie

gharama gharama ebo!

Why mnapigania mahakama? Impression ni kwamba nyie ni waovu sana au miongoni mwenu ni waovu sana? Badala ya kupigania taasisi za elimu na afya mnapigania a useless priority asset?

Waislamu fikirieni nje ya kabati na sii kukariri kiarabu tu!
 
Je akina Askofu Malasusa na wenzao wakihamasisha wakristo wao wasipigie kura CCM hiyo 2010 hao viongozi wa CCM watafanyaje?

Kweli sera pekee ya CCM sasa ni aidha Kuanzishwa au Kutoanzishwa Mahakama za Kadhi, hakuna sera nyinginezo...

Waislamu sasa ni kujiandaa kwa ajira za kufa mtu...

Wakkristo wao tayari walikuwa wanayo MoU na serikali ambayo among other things serikali inawapa pesa za kodi za waislam..for your information its in the best interest hao wakristo kuipigia kura CCM kuliko chama kingine kwa sababu wao wamejikita kwenye idara nyeti za serikali ambazo among other things ni kuandika ma MoU ya kuwapendelea watu wenye imani zao

kura wataipigia CCM na Mahakama ya kadhi takuwepo na bila kusahau MoU zingine zitaendelea kuandaliwa

its that simple
 
Back
Top Bottom