Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Ibada gani hiyo inahusu Mirathi na Ndoa tu? Masuala mengine vipi? Kwa nini msitekeleze maagizo yote ya Mola wenu na Mtume wenu? Kwa nini mchague baadhi tu ya kutekeleza huku sheria nyingine mnazikanyaga?

Unafiki mtupu!

Yaani ni unafiki mtupu. Ibada gani hiyo wanayodai hali ni kwa ajili ya kuwanufaisha wanaume tu? Ibada gani hiyo ya kuingizwa kwenye serikali? Si wangeifanyia huko misikitini basi?
 
RMashauri,
Wewe Mjita usokuwa na haya vipi kinakuuma nini haswa! wenzako wanabeba msalaba mmoja wewe mitatu utaiweza! Kwanza ni kufur kwa dini yako kuonyesha hiyo misalaba mitatu kwa sababu ile misalaba mingine miwili yalisulubiwa majambazi..
 
X-PASTER,
Mkuu huwezi kushindana wala ku reason na watu walojaa hasira.. Haikusaidii kitu wala hutamsaidia kitu kwani kisha pigwa mhuri..

Kitu kikubwa wasichofahamu ni kwamba dini zote zilianza na mahakama ndogo za kadhi kusaidia jamii zilizopo kupata haki zao. Ni katika kuleta haki na usawa baina ya jamii ndipo watu walianza kujenga imani ya dini hizo ambazo leo hii ni tawala na wamejenga mfumo ambao tunautumia.

Tatizo letu wengi hatufahamu historia za dini zetu zaidi ya kusoma Biography ya mitume na jina kubwa la MUNGU, bila kuelewa kwamba moja ya mission kubwa ya dini ni kuongoza jumuiya hizo ktk misingi ya haki na ni hizi dini zilizoangusha falme kubwa kubwa..Haki ni part of Ibada hata ktk lugha ya UN ndioo maana tuna haki za wanawake , watoto na kadhalika.na haki hizi hazikpatikani chumbani ila mahakamani kwenye sheria.
Mahakama zipo kwa sababu kuna watu kama hawa wanaofikiria kwamba hukumu ni mbinguni tu, halafu utawasikia Mafisadi wanatakiwa kufungwa Jela, kwa nini tusiwaachie hadi mbinguni wakahukumiwe!

Mkandara nakuheshimu sana mkuu lakini kwenye hiyo nyekundu sasa unaanza kutoka nje ya ukweli. Hatujakataa kusiwe ma mahakama. Mahakama zipo za secular ambako mafisadi na wakosaji wengine watahukumiwa huko. Na after all mmesema hii mahakama ya kadhi itahusu mambo ya ndoa na mirathi tu sasa issue ya mafisadi inaingiaje hapa? Kama na mafisadi mtawashugulikia basi mseme, maana tutatarajia muanze na mfilisi wa nchi yetu RA & Co.,
 
rmashauri,
Mkuu niemandika haya kwa sababu wewe ni mmoja kati ya watu waliokuja kuuharibu huu mjadala.. na kama waja kwa matusi bila heshima na dharau nadhani bila shaka nitauvua msuli wangu.. sasa kama wewe upo tayari kuzitazama nyanga za mzee Mkandara, basi karibu sana.. Upuuzi huu umekuwa.. tumeanza vizuri mnakuja na mambo yenu ya Ukristu na Uislaam kama vile tuna chuki za Jadi..
Mnaboa sana..
 
RMashauri,
Wewe Mjita usokuwa na haya vipi kinakuuma nini haswa! wenzako wanabeba msalaba mmoja wewe mitatu utaiweza! Kwanza ni kufur kwa dini yako kuonyesha hiyo misalaba mitatu kwa sababu ile misalaba mingine miwili yalisulubiwa majambazi..

Hahahahahahahahahahahahahaha,
Hiyo misalalaba mitatu ni kuonyesha mazingira halisi ya kifo cha BWANA YESU kilivyokuwa. Ila ukiangalia utaona mingine ni midogo midogo na wa YESU ni mkubwa. Kifo hiki kilikuwa ni cha kutisha YESU akilipa gharama ya dhambi zetu wanadamu. Kuna somo pia hapo maana jambazi mmoja aliomba toba palepale salabani kwake na akasamehewa hali kadhalika mwingine alimdhihaki YESU na kuishia jehanamu.
 
X-PASTER,
Mkuu huwezi kushindana wala ku reason na watu walojaa hasira.. Haikusaidii kitu wala hutamsaidia kitu kwani kisha pigwa mhuri..

Kitu kikubwa wasichofahamu ni kwamba dini zote zilianza na mahakama ndogo za kadhi kusaidia jamii zilizopo kupata haki zao. Ni katika kuleta haki na usawa baina ya jamii ndipo watu walianza kujenga imani ya dini hizo ambazo leo hii ni tawala na wamejenga mfumo ambao tunautumia.

Tatizo letu wengi hatufahamu historia za dini zetu zaidi ya kusoma Biography ya mitume na jina kubwa la MUNGU, bila kuelewa kwamba moja ya mission kubwa ya dini ni kuongoza jumuiya hizo ktk misingi ya haki na ni hizi dini zilizoangusha falme kubwa kubwa..Haki ni part of Ibada hata ktk lugha ya UN ndioo maana tuna haki za wanawake , watoto na kadhalika.na haki hizi hazikpatikani chumbani ila mahakamani kwenye sheria.
Mahakama zipo kwa sababu kuna watu kama hawa wanaofikiria kwamba hukumu ni mbinguni tu, halafu utawasikia Mafisadi wanatakiwa kufungwa Jela, kwa nini tusiwaachie hadi mbinguni wakahukumiwe!
Swadakta maneno yako...!

Yatubidi tuwavumile hakuna jinsi, japo wamepigwa mihuri...!
 
Ili tusikuweke kwenye kundi la wasema uongo.
Unaweza kutupatia source tafadhali...!

Kaka angu X-P, just be the bigger man & let this go. Unajua hizi hoja sasa zinaenda off topic. Kama unavyo ona sasa jukwa la siasa limekua ni jukwa la dini. Siku zote tupo united against ufisadi na wahujumu uchumi nw take a look at us. Nakuomba my bro let's just keep out of this debate isiende mbali na ilipo fika sasa.
 
Hahahahahahahahahahahahahaha,
Hiyo misalalaba mitatu ni kuonyesha mazingira halisi ya kifo cha BWANA YESU kilivyokuwa. Ila ukiangalia utaona mingine ni midogo midogo na wa YESU ni mkubwa. Kifo hiki kilikuwa ni cha kutisha YESU akilipa gharama ya dhambi zetu wanadamu. Kuna somo pia hapo maana jambazi mmoja aliomba toba palepale salabani kwake na akasamehewa hali kadhalika mwingine alimdhihaki YESU na kuishia jehanamu.
Dah! Jamaa kwa kuchapia... eti aliomba toba... oh msalaba wake ulikuwa mkubwa... duh!
 
Kaka angu X-P, just be the bigger man & let this go. Unajua hizi hoja sasa zinaenda of topic. Kama unavyo ona sasa jukwa la siasa limekua ni jukwa la dini. Siku zote tupo united against ufisadi na wahujumu uchumi nw take a look at us. Nakuomba my bro let's just keep out of this debate isiende mbali na ilipo fika sasa.
Nimekuelewa mkuu, ila jamaa wanaboa kichizi yaani!

Ila nomba nimalizie konzi la mwisho... pleeeeeease!
 
Hahahahahahahahahahahahahaha,
Hiyo misalalaba mitatu ni kuonyesha mazingira halisi ya kifo cha BWANA YESU kilivyokuwa. Ila ukiangalia utaona mingine ni midogo midogo na wa YESU ni mkubwa. Kifo hiki kilikuwa ni cha kutisha YESU akilipa gharama ya dhambi zetu wanadamu. Kuna somo pia hapo maana jambazi mmoja aliomba toba palepale salabani kwake na akasamehewa hali kadhalika mwingine alimdhihaki YESU na kuishia jehanamu.
Noo ndugu yangu hiyo mislaba mingine has nothing to do with YESU.. walitundikwa kwa makosa mengine kabisa huwezi kuhusisha vitu hivi ktk imani ya Kikristu hata iwe midogo vipi..
 
Kaka angu X-P, just be the bigger man & let this go. Unajua hizi hoja sasa zinaenda of topic. Kama unavyo ona sasa jukwa la siasa limekua ni jukwa la dini. Siku zote tupo united against ufisadi na wahujumu uchumi nw take a look at us. Nakuomba my bro let's just keep out of this debate isiende mbali na ilipo fika sasa.

Mwanafalsafa,
Utamweza huyu jamaa? Kazi ni kufuatilia tu pale uislamu unapoguswa. Fanya sensa ya post zake hapa nyingi utaona ni za kujibizana kwenye dini tu achilia zile za kwenye jukwaa letu kule la dini. Hachangii vitu vya maana kwenye thread zingine. Ukimkata damu yake inatoa harufu ya dini yake tu.
 
Hahahahahahahahahahahahahaha,
Hiyo misalalaba mitatu ni kuonyesha mazingira halisi ya kifo cha BWANA YESU kilivyokuwa. Ila ukiangalia utaona mingine ni midogo midogo na wa YESU ni mkubwa. Kifo hiki kilikuwa ni cha kutisha YESU akilipa gharama ya dhambi zetu wanadamu. Kuna somo pia hapo maana jambazi mmoja aliomba toba palepale salabani kwake na akasamehewa hali kadhalika mwingine alimdhihaki YESU na kuishia jehanamu.

[FONT=Arial,Helvetica]" Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao,
wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu auawe
kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe".
[/FONT][FONT=Arial,Helvetica]Kum 24:16

[/FONT][FONT=Arial,Helvetica]"Bali kila mtu atakufa kwa sababu ya uovu wake mwenyewe..."
[/FONT][FONT=Arial,Helvetica]Yer 31:30 [/FONT]

[FONT=Arial,Helvetica]" Roho itendayo dhambi ndio itakayokufa, mwana hatachukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanae, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na haki yake mwenye uovu itakuwa juu yake".[/FONT][FONT=Arial,Helvetica]
Eze 18:20
[/FONT]
 
Ohooooo! sasa tunaingia ktk ukumbi wa dini makubwa haya!

Kwa herini!.. nilikuwepo.
 
Kaka angu X-P, just be the bigger man & let this go. Unajua hizi hoja sasa zinaenda off topic. Kama unavyo ona sasa jukwa la siasa limekua ni jukwa la dini. Siku zote tupo united against ufisadi na wahujumu uchumi nw take a look at us. Nakuomba my bro let's just keep out of this debate isiende mbali na ilipo fika sasa.
Nakuelewa sana mkuu, ila jamaa wakiishiwa hoja za kujadili wanafanya juu chini kupindisha mada na kuingiza uzushi wa kidini ili thread zihamishwe au watu waache kujadili kinachojiri kwenye mada na kuelekea sipo.

Tuna safari ndefu sana JF...!
 
Wakulu wangu mimi naona hii mijadala iishe. Najua we have all said things out of the heat of debate but tusameheane. Tuvunje hizi kambi za sijui ukristo au uislamu. We are all Tanzanians. Mimi binafsi nasema kwa yoyote niliyemkosea au kumvunjia heshima anisamehe. I hope na mimi nita samehewa. For the sake of Tanzania let's end this debate. After all we are the United Republic of Tanzania. Not the Islamic Republic of Tanzania or the Christian Republic of Tanzania.
 
Nakuelewa sana mkuu, ila jamaa wakiishiwa hoja za kujadili wanafanya juu chini kupindisha mada na kuingiza uzushi wa kidini ili thread zihamishwe au watu waache kujadili kinachojiri kwenye mada na kuelekea sipo.

Tuna safari ndefu sana JF...!

Cha kufanya sasa mkuu ni wapenda amani wote tunyamaze. Watu wakinyamaza basi wanaoendeleza mabishano ndiyo tutawajua siyo wapenda amani. This has gone too far.
 
Mwanafalsafa,
Utamweza huyu jamaa? Kazi ni kufuatilia tu pale uislamu unapoguswa. Fanya sensa ya post zake hapa nyingi utaona ni za kujibizana kwenye dini tu achilia zile za kwenye jukwaa letu kule la dini. Hachangii vitu vya maana kwenye thread zingine. Ukimkata damu yake inatoa harufu ya dini yake tu.

kwa 20% umesema kweli, ila 80% uzushi
 
Back
Top Bottom