ma lawayer waliosign mikataba ya kifisadi almost wote ni wakristo
waliofikishwa mahakamani kwa tuhuma za kifisadi almsot wote wakristo
make up our own conclusion
Hongera kwa ushindi...isije ikaja taarifa nyingine??CHADEMA wanasherehekea ushindi wa biharamulo! Una ingine?
Wanajamvi nijulizeni hivi GT ana mume?
-Bwa ha ha ha ha ha wenzako wanasheherekea ushindi hayo ya kadhi kaeni nayo nyie wanywa kahawa chungu......Ningependa kujus msimamo wa CHADEMA juu ya mahakama ya kadhi na na hiyo MoU kati ya Kanisa na serikali iliyotiwa saini na Lowassa
this should be interesting kujua CHADEMA wamesimama wapi kwenye haya
Ningependa kujus msimamo wa CHADEMA juu ya mahakama ya kadhi na na hiyo MoU kati ya Kanisa na serikali iliyotiwa saini na Lowassa
this should be interesting kujua CHADEMA wamesimama wapi kwenye haya
Wakristo wamesahau historia ya nchi hii kua niwaislam ndo waliovujajasho kupambana na wakristo wakoloni, wakati huo wakristo walikua hawafikiri kuusu uhuru wa TZ. sasa wanajisahau wanafikiri wao ndo wanstailil kila kitu hapa nchini. Nimeonaniwakumbushe history ya nchi hii kila muda ilimuweze kujielewa nyie wakristo naona mmejisahau sana.
Wakristo wamesahau historia ya nchi hii kua niwaislam ndo waliovujajasho kupambana na wakristo wakoloni, wakati huo wakristo walikua hawafikiri kuusu uhuru wa TZ. sasa wanajisahau wanafikiri wao ndo wanstailil kila kitu hapa nchini. Nimeonaniwakumbushe history ya nchi hii kila muda ilimuweze kujielewa nyie wakristo naona mmejisahau sana.
Mimi sina pingamizi na kuwepo kwa Mahakama ya Kadhi provided yanaanzishwa na waumini wa Kiislamu kama a Non-Governmental Organization kwa mujibu wa sheria inayohusu N.G.O.s.
Mufti katika maelezo yake amesisitiza kwamba Mahakama itashughulika na masuala ya MIRATHI na NDOA tu, na kwamba masuala ya jinai baina ya waumini wa Kiislamu yataendelea ktk mahakama ya kawaida ya serikali. Akifafanua, Mufti alitamka kwamba masuala hayo ya mirathi na ndoa yanachukuliwa na waumini kama ni IBADA.
Kutokana na maelezo hayo, ni dhahiri kwamba Serikali haiwezi kutumia fedha za walipa kodi, wakiwemo wananchi ambao si Waislamu, kugharimia Mahakama ya Kadhi. Hatua kama hiyo itakuwa ni kinyume na Katiba ya Tanzania inayotamka kwamba serikali haitakuwa na dini.
Kwa hiyo nashauri kwamba ili kupata fedha za kuiendesha, Mahakama ya Kadhi , kama NGO, ikusanye michango ya hiari toka waumini wa Kiislamu Tanzania na pia iruhusiwe kupokea ruzuku toka kwa wafadhili wengine wa ndani na nje kama NGOs nyingine.
Itakuwa ni jambo la kusikitisha sana kama Serikali ya CCM itang'ang'ania kuingiza Sheria Law ktk mfumo wa Sheria zetu za Tanzania, kama Waziri wa Sheria na Katiba alivyotangaza Bungeni, eti ili mahakama za kawaida zishughulikie masuala hayo ya Waislamu, ambayo Mufti, Mkuu wao mwenyewe, ametamka ni sehemu ya IBADA kwao.
Ni kama vile TZ nayo inaongozwa ma 'Supreme Leaders" wa kidini kama kule persia. Maana viongozi wa Kikristo au wa Kiislam wasipopendezwa na maamuzi yoyote secular leaders wananywea! Huu ni udhaifu? Tulianza na kodi, imekuja kadhi, na kwa mwendo huu haitaishia hapa.
A meeting of church leaders in Kenya has been called to discuss how they can remove a clause in the draft constitution that recognises Muslim courts - also referred to as Kadhi's courts.
Sina hakika hili linakubalika kwa Waislamu wa Tanzania - Je hukumu za High Court au Court of Appeal zitaheshimiwa kama zitatengua maamuzi ya Mahakama za Kadhi ? Nafikiri serikali yetu inajitia kitanzi hapa.In Kenya, the decisions of the Court of Appeal are binding on all other subordinate courts, including the High Court.
Kadhis' courts are 'subordinate' courts, meaning that the secular High Court has jurisdiction to supervise any civil or criminal proceedings. Any party involved in the proceedings may refer a question involving interpretation, or directly appeal a decision, to the High Court.
Under the Kadhi's Courts Act, Parliament has established twelve Courts. The Kadhi's Courts Act passed in 1967 initially established 6 Kadhi's Courts, subordinate to the High Court, four having jurisdiction within the area of the former protectorate, one in Nyanza, Western and parts of Rift Valley Province and the last one having Jurisdiction over the former Northern Frontier Districts of Garissa, Wajir and Mandera (Ghai & McAuslan).
An appeal from the Kadhi's Court can be lodged with the Chief Kadhi's Court or to the High Court. The High Court will sit in appeal with the Chief Kadhi or other Kadhi's as assessors. The opinion of the Kadhis as assessors is however not binding on the judge in deciding the appeal, especially if he disagrees with their opinion. An appeal also lies to the Court of Appeal from the High Court and in that final Court, the Chief Kadhi or any other Kadhi does not sit even as assessors.
Mkandara,
Pamoja na shule yako nzito, naona hakuna kilichozaliwa. Mahakama hiyo na watoto haramu sasa kwishieni. Mume akifariki, basi mkewe aanze kutafuta nguzo yake yataa ya barabarani ili aanze kuwa changu doa maana atanyanganywa kila kitu.
Kila la kheri waislaam.............