MSHANA JR UMEOKA AU BADO UPO KWENYE HII FANI,KUNA JAMBO NATAKA TUMFANYIE MTU MMOJA UMU NDANI
Mtu wa vizinga secretarybird
Tumfute alafu tumchole Tena Kisha tumueke na tutitiii sa 6 palipo bak tuachie masela kumsumbua full approach aloo 😂😂😂😂😂🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
Niachen jaman msinikalipie NALUD...
Elininyo elininyo tubuni damu za wale watoto hazitawaacha salama.
Nyie mnajiona wajanja ila nawaambia zile damu ni mbaya sana kwa hili taifa.
Viongozi wa dini mnasisitiza tuliombee taifa wakati kuna damu zinalia zipo ardhini? Huu ni mtego mbaya sana kwa hili taifa.
Bila toba hatutoboi .
Habari za leo?
Wapendwa ningependa kuwe na utaratibu wa member mmoja wa Jf labda kila alhamisi achaguliwe ili members wa humu tuwe free kumuuliza chochote na ajibu postive. Ishu binafsi ambazo zinaweza kumuanika uhusika wake anaweza asizijibu.
NINGEPENDELEA TUANZE NA HAO TAJWA HAPO JUU MAANA...
Naomba Brother Mshana Jr aweke link za NYUZI zake zote kwenye hii part iwe rahisi kupata content zake za miaka ya kale.
tangu enzi za South Africa kujifunza ubuddist na uchawi mpaka kuokoka na kumrudia Sr.God.
Siku kama ya leo, mwezi wa sita, mwaka fulani… ndio tulibarikiwa Mganga wa JF😎
kabla ya wokovu aliitwa Mganga wa kilingeni msata hukooo
Ila now kama ni Mganga basi ni wa level nyingine… not ulozi tena, but something different, deeper
Kila mtu ana jina lake la kumuita, but me I prefer kumuita...
Shikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana
Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na dada yangu ninayemfata
Badala afanye Siri anayanya makusudi akiwa na washkaji zangu wengine...
Jamaa yangu juzi kafunga 40yrs old,
Analalama ameanza kuumwa viungo vya mwili vibaya mno, anadai miguu yake imekufa ganzi Muda MREFU unyayoni,
Analalama mwili wake wote kuwa Kuna vitu vinamchoma choma km sindano anaishia kujikuna Kuna.
Ngozi yake aina ushirikiano na mwili miguu imempauka km...
Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa.
01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa)
02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute.
03.kwenye maisha Kuna...
Siku kadhaa nyuma member mwenzetu Mshana Jr aliibua hoja nzito akiuliza kwa namna gani wataweza kumsafisha??sababu kaharibu pakubwa sana, image yake imeharibiwa vibaya.mikataba,ukatili,Mauaji,uhuru wa kutoa maoni,ugomvi na viongozi wa dini,matumizi mabaya ya serikali,Kesi ya Lissu n.k,.
Mambo...
Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi.
Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF
Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana.
Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya...
Huyu jamaa kwa kweli ni Guru, Ila siku za karibuni amepoteza kabisa mvuto na content pia.
Nyuzi anazotuma zinakosa kabisa wachangiaji, kiasi kwamba kuanzia post ya kwanza hadi ya ishirini ni yeye mwenyewe amekuwa akizituma.
Tangu ameacha uchawi, mambo yake mtandaoni yamemwendea mrama.
Mzee...
Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii
Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa)
Anyway nakumbuka niliomba mazungumzo binafsi nacwewe mkuu mshana(PM) na kwakuwa umefunga PM basi uliniahidi utanicheki na nimekuwa...
Huyu mshana ni kichwa sana mwisho wa mwaka akija kupewa tuzo ya content bora za ubunifu msije kuona kapendelewa tusimnyanyase tumpe maua yake aiseee.
Kitambo sana sijapost kwa mwezi wote wa pili nilikuwa busy sana kuwabembeleza kuku wangu wanitagie na kutonoa mayai na kweli wamefanya hivohivo...
Heri ya jumapili: Jana juzi bhn Kuna jamaa yangu alipata kesi kubwa hapa dsm sasa katika kuhangaika jamaa wakashauri twende Kwa msisi tanga tukaroge tuokoe jahazi safari ya watu watatu ukaanza tumefika handeni tunaelekezwa Kwa msisi kumbe ni ndani ndani kabsa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.